Matukio yanayoonesha uongo kwenye vitabu vya dini

Wewe ndiyo unahitaji msaada kama huwezi kuunganisha hiyo bible verse na Utume wa MUHAMMAD ukomaa tu mitume waliomtangulia hawamhusu!!! DIVINE GUIDANCE ZOTE ZIMELETWA KUWAONGOZA WATU SIYO HISTORIA NA MATUKIO YA WATU MAALUM KAMA AKILI YAKO INAVYOWAZA...

Mungu kuwakumbusha ummah husika yale aliyowateremshia wa nyuma yao, mapokeo yao na yale yaliyowafika ili wahusika wapate kujifunza!!!!

MUHAMMAD hakuwa na sababu ya kuandika historia za Wayahudi au kujifunza ILA MOLA MLEZI ALIYEMTUMA KWA WAARABU NA SISI SOTE kupitia kwa MUHAMMAD anatujuza aliyowashushia wa nyuma yetu na yale yaliyoeafika kutokana na namna walivyopokea ujumbe wa MOLA MLEZI ili tujifunze....

Kuna manabii wengine wametajwa ambao kwenye BIBLE HAWAPO mfano DHALKIFUL, au WAJA WEMA kama LUQMAN, KHIDHIR sina hakika kama utakuta story kwenye bible..
 

Kwa hiyo hata Mwamposa naye tumuite Mtume? 😂😂

Hivi hata mambo anayewafundisha ni Nani?

Muhammad stories zake haziwezi kutumika kama rejea Kwa vile ni Stori za hearsay tuu.

Ni Kama Mimi na Wewe hapa,
Hawajui waisrael Ila anasimulia habari zao.

Hajawahi kufika Israel lakini anajifanya Kama anahabari zake.
Wewe uliona wapi mambo Kama hayo?

Naomba niishie hapa, nilikuwa najaribu kuku-challenge kidogo ili uitie akili yako vizuri.
Huwezi pews Stori na mtu ambaye mwenyewe kasikia.
Yaani mtu akusimulie habari za Wamarekani alafu hajawahi kufika marekani na hajawahi kuwaona wahusika wakuu.
Mtume Muhammad anachoweza Kueleza kikaeleweka ni Stori ya maisha yake na wakati anaishi jinsi alivyoupigania uislam aliouanzisha Ila mambo ya kina Musa, Daudi, Suleiman hayo atafute wakuwadanganya
M
 
Andiko lako lote ni takataka kwa sababu tu hujaweka vidhibitisho. Ni kitabu gani, sura ipi na aya gani vinaelezea hizo hoja zako. Ungeweka tungeweza kukoment kukosekana kwa hivyo kunakufanya wewe uwe mtu wa majungu.
 

MUHAMMAD SIYO MSIMULIAJI USICHANGANYE MADESA....

Mwenye kusimulia anajipambanua hapa....


"We relate to you, [O Muhammad], the best of stories in what We have revealed to you of this Qur'an although you were, before it, among the unaware" 12:3
 
MUHAMMAD SIYO MSIMULIAJI USICHANGANYE MADESA....

Mwenye kusimulia anajipambanua hapa....


"We relate to you, [O Muhammad], the best of stories in what We have revealed to you of this Qur'an although you were, before it, among the unaware" 12:3
Msimuliaji ni MOLA MLEZI BCA BWANA WA VIUMBE VYOTE....
 
😲😲😲😲😲😲😲😲😲 hawking umemsoma lakini? 🤷‍♂️ anyway soma kwenye kitabu chake "A brief history of time chapter 11 na 12" .
Mbona kitabu cha miaka ya tisini wakati kuna vitabu vyake ambavyo ni latest, na vitabu vingine vipya vya cosmology
 
MUHAMMAD SIYO MSIMULIAJI USICHANGANYE MADESA....

Mwenye kusimulia anajipambanua hapa....


"We relate to you, [O Muhammad], the best of stories in what We have revealed to you of this Qur'an although you were, before it, among the unaware" 12:3

😀😀😀
Kuna haja gani huyo Allah kusimulia habari ambazo Muhammad wakati wake zilikuwepo?
Yaani Yesu alivyokuja alafu aanze kusimulia habari za kina Nuhu sijui Musa ilhali Wayahudi wanazijua.
Embu funguo ubongo wako
 
😀😀😀
Kuna haja gani huyo Allah kusimulia habari ambazo Muhammad wakati wake zilikuwepo?
Yaani Yesu alivyokuja alafu aanze kusimulia habari za kina Nuhu sijui Musa ilhali Wayahudi wanazijua.
Embu funguo ubongo wako
Kulikuwa na haja gani ya Yesu kuja ma INJILI wakati TORATI ILIKUWEPO?
 
😀😀😀
Kuna haja gani huyo Allah kusimulia habari ambazo Muhammad wakati wake zilikuwepo?
Yaani Yesu alivyokuja alafu aanze kusimulia habari za kina Nuhu sijui Musa ilhali Wayahudi wanazijua.
Embu funguo ubongo wako
Kuna vitu vingine unauliza havina mashiko kabisa....

Mola Mlezi alileta mitume kila baada ya muda kutokana ujumbe wa Mtume aliyetangulia kuharibiwa na wanadamu kukengeuka!!!!

Mungu kutusimulia ya nyuma na kutoonesha ulivyokuwa mwisho wa WEMA na waovu wao ni ILI KUJIFUNZE!!!!

Hata INJILI nayo ni hivyo hivyo!!!!

Ndiyo maana nimekupa CHALLENGE tafuta MSAHAFU WA TAFASIRI YA KISWAHILI AU KINGEREZA SOMA KADRI UTAKAVYOWEZA HALAFU UJE TUJADILI...

Nimekupa mfano mdogo wa matukio ambayo yanaleta shida kwenye BIBLE mfano mitume wa Mungu kusingiziwa UASI kuanzia Ibrahim, Nuhu, Luti, Daud, Mussa mbona umeshindwa KUREFUTE HAPA!!!!

wengine wanasingiziwa UZINZI, wengine Alcoholism na WENGINE INCEST SEX....

Hii HOJA unaisemaje ikiwa MTUME WA MUNGU ANAFIKIA KIWANGO HIKI????
 
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu nina quote 😂😂😂👇🏽👇🏽👇🏽

"Mahakamani hatuwezi kuichukua Quran kama ushahidi kwani ni Stori ya third-party (hearsay).
Wakati Biblia Kwa sehemu kubwa ni ushahidi wa wazi"

swali langu bado lipo pale pale NI MAHAKAMA GANI INATUMIA BIBLIA KAMA USHAUIDI? niwekee mbili tu
 
Kwani Nimesema Wayahudi ni Wakristo au wanaulazima wakuwa Wakristo?
Wayahudi dini Yao ni uyahudi hiyo IPO hivyo tangu kale.
Hata Yesu na mitume wote dini Yao ni uyahudi. Sasa ajabu gani waisrael kuwa Wayahudi?
Why waisraeli kwa asilimia kubwa ni wayahudi na si wakristo na wakati ukristo ulianzia huko?

Inshort pale israel dini zipo hvi
1).judaism=81%
2).islam=14%
3).christianity=2%
4).Druze=2%
5).other region=1%

Focus kwenye hili why only 2% are christians na 81% jews? Na wakati christ alitokea kwa hao jews?? Je? Wewe ndo unamjua vizuri christ kuliko wao ambao alipokuwa mdogo kuna waliocheza naye? Na ndiyo maana kuna RABBI mmoja aliwahi kusema "kama biblia ingekuwa muongozo sahihi basi waisraeli wote wangekuwa christians".
 
Swali lako lilikuwa hili i guess? "string theory umeisomea kwenye kitabu kipi cha stephen hawking"
Yah!!! Lakin sikuwa najua chochote kuhusu string theory.
Actually nimesoma simple answer for big question skuwa nimeona hicho kitu kwa maana hyo hata yeye yawezekana kashafanyia updation hiyo nadharia yake
 
Hivi vitu ni very comolicated btn wayahudi ndio walio msurubisha yesu so hawakumtambua toka mwanzo.
 
M
Mkuu mwenyezi mungu mola mlezi wetu alisema hivi kwenye quran 22:46

"{ أَفَلَمۡ يَسِيرُواْ فِي ٱلۡأَرۡضِ فَتَكُونَ لَهُمۡ قُلُوبٞ يَعۡقِلُونَ بِهَآ أَوۡ ءَاذَانٞ يَسۡمَعُونَ بِهَاۖ فَإِنَّهَا لَا تَعۡمَى ٱلۡأَبۡصَٰرُ وَلَٰكِن تَعۡمَى ٱلۡقُلُوبُ ٱلَّتِي فِي ٱلصُّدُورِ }
[Surah Al-Hajj: 46]

Ali Muhsin Al-Barwani:
Je! Hawatembei katika ardhi ili wapate kuwa na nyoyo zao za kuzingatia, au masikio ya kusikilia? Kwani hakika si macho yanayo pofuka, lakini zinazo pofuka ni nyoyo ziliomo vifuani.

Allah (the exalted one) alishajua watu kama hawa wapo na watakuwepo mtu anataka kuona lakini anaziba macho USIJIUCHOSHE NAO SANA
 
MUHAMMAD SIYO MSIMULIAJI USICHANGANYE MADESA....

Mwenye kusimulia anajipambanua hapa....


"We relate to you, [O Muhammad], the best of stories in what We have revealed to you of this Qur'an although you were, before it, among the unaware" 12:3
We, kina nani hao, allahs ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…