Matukio yanayoonesha uongo kwenye vitabu vya dini


Ndio maana nikakuambia Wewe bado mchanga.

Ukiwa Darasa la Kwanza ulifundishwa 1-2 jibu ni haiwezekani.
Lakini sasa hivi 1-2 jibu sio haiwezekani Bali ni -1.
Kitu kikikupa mkanganyiko maana yake sio kwamba ni uongo Bali ni Akili yako ni ndogo kukielewa Kwa urahisi.

Kwenye Logic kama ulivyoeleza
True+ True = True
True+ False = False
False + True = False
False + False = False

Sasa yote uliyoyaeleza hakuna uongo wowote hapo.
Ungeomba utatuliwe hiyo kilichokupa mkanganyiko
 
Jibu bora kabisa
 
Mtoa post umeandika kitu cha maana sana tatizo ni kwamba,watu wanaongozwa na mapenzi au hisia (love and emotion) badala ya logic
Mimi ni Mkristo ninayeamini kuwa yupo Mungu ambaye ndiye Alpha na Omega (the existence of the Supreme Being) lakini,ukitumia logic unaona kuna kitu hakiko sawa

NB😀ini haihitaji logic bali inahitaji kuamini (imani ni hakika ya mambo yatarajiwayo) ukitumia logic au akili kwenye dini lazima wewe na dini mtofautiane!
 
Umesahau kwamba njia zake hazichunguzuki au He works in mysterious ways???
 
Nafuatilia hoja kati ya mtoa post na Taikoon wa fasihi ili nijifuanze nimekaa pale.
 
MMkuu
Mkuu wewe una unaabudu nini?
 
Huwezi nipangia jinsi ya kuishi dini umezaliwa umezikuta na utakufa utaziacha hiko kitabu biblia kinamiaka almost 7000 na bado wako wanaokiamin

Kama huamin biblia live your life huwez fanya watu wasiamin biblia kwa hoja zako dhaifu na za kiinga
Dunia ina miaka elfu mbili bible miaka elfu saba acha uongo mjomba
 
NB yako Iko sahihi mno! Mungu yupo.
 
Huwezi nipangia jinsi ya kuishi dini umezaliwa umezikuta na utakufa utaziacha hiko kitabu biblia kinamiaka almost 7000 na bado wako wanaokiamin

Kama huamin biblia live your life huwez fanya watu wasiamin biblia kwa hoja zako dhaifu na za kiinga
Hoja hujibiwa kwa hoja! Ukianza kupandisha, inamaana rahisi, "umeshindwa kujitetea". Kinachotuumiza sana kwenye dini ni kutoruhusu maswali. Lakini maswali ndiyo humjenga mtu na ndipo anaweza confidently kuamua upande upi auamini.
Kwa hiyo huyu jamaa akipata mtu wa kumjibu vizuri, huwenda akaachana kabisa na wazo la kwamba "Mungu hajui kila kitu"
 
Yeye ameshaamin dini ni uongo ni mueleweshe ya nini kwa sisi wakristo suala la kumfuata Mungu halijawahi kuwa la lazima
 
Adam alivyoumbwa alikuwa kama mtoto tu asiyejua kitu. Ndo maana Mungu akamwambia "usitende hivi maana siku ukitenda utajua mema na mabaya". Ni kama kumwelekeza mtoto mdogo kuwa usichezee kisu/wembe maana kitakukata na utaumia" ila kisu hicho kipo kwa malengo ambayo wewe tu ndo unayejua ila mtoto hajui. Na kwa adam alipewa akili yenye ukomo wa kufikiri/uelewa. Hali Mungu akijua wanadamu watataka kudadisi zaidi matendo na maamuzi yake ila kulingana na akili yao ya kibinadamu hawatelewa ndipo akasema yeye (Mungu hachunguziki na wanadam)
Basi ndugu zangu kwakuwa twajua kuwa Mungu yupo, basi tuenende sawasawa na maelekezo yake, mengine ajua mwenyewe.
 
swali 1. kwa nini tulizaliwa wengne weupe wengine weusi wakati kwenye biblia imeandikwa Mungu alimuumba adam badae akamletea msaidizi kutoka kwenye ubavu wake???.

swali 2. hakuna aliyewahi kumuona Mungu sasa kwann biblia inasema Adam aliumbwa kwa mfano wake.

swali 3.hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na dunia ,nani alikuwa shahidi au nani aliyeona
 
nani alikuja na huo uthibitisho ikiwa huyo huyo adam ndo mtu wa kwanza kuumbwa(au kulikuw na mtu pemben aliyeona adam akiambiwa asitende mabaya)
 
Okay. Wacha nikubali unachokisema kwamba uko sahihi biblia haina matatizo ila matatizo ninayo mimi na akili yangu mbovu. Nimekubali lakini naomba unisaidie kuelewa hili swali.

1. Je Mungu alijua kama shetani atakuja kuasi ama hakujua?

2. Mungu anasema yeye ni mkamilifu, hakuna kitu dhaifu kinachotoka kwake, je shetani ni kitu dhaifu ama kikamilifu?

Ahsante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…