Matukio yanayoonesha uongo kwenye vitabu vya dini

Umesahau kwamba njia zake hazichunguzuki au He works in mysterious ways???
Njia gani hazichunguziki? Hii ni njia yake ya kutaka kuziba watu midomo na akili wasifikiri na ku challenge utumbo wake alioufanya.

Anajua amefanya makosa lakini anatishia watu wasihoji alichokifanya kwa kusema njia zake hazichunguziki, njia gani hizo?
 
Yeye ameshaamin dini ni uongo ni mueleweshe ya nini kwa sisi wakristo suala la kumfuata Mungu halijawahi kuwa la lazima
Mkuu, naomba unisaidie, biblia inasema Mungu ni mtakatifu sana, hakuna kitu kichafu ama chenye dhambi kinaweza kumsogelea.

Biblia inasema sisi binadamu ni wadhambi sana hatuwezi kumsogelea mungu., Sasa nikuulize kati ya binadamu na shetani nani ana dhambi nyingi ama nani mdhambi zaidi?

Kumbuka kisa cha nabii Ayubu, mungu na shetani walikua wanapiga stori kuhusu ayubu, how comes shetani mtu mbad anapiga stori na mungu halafu sisi binadamu tunakatazwa hatuwezi kumsogelea mungu?
 
Ndio maana nikakuambia Wewe bado mchanga.

Ukiwa Darasa la Kwanza ulifundishwa 1-2 jibu ni haiwezekani.
Lakini sasa hivi 1-2 jibu sio haiwezekani Bali ni -1.
Kitu kikikupa mkanganyiko maana yake sio kwamba ni uongo Bali ni Akili yako ni ndogo kukielewa Kwa urahisi.

Kwenye Logic kama ulivyoeleza
True+ True = True
True+ False = False
False + True = False
False + False = False

Sasa yote uliyoyaeleza hakuna uongo wowote hapo.
Ungeomba utatuliwe hiyo kilichokupa mkanganyiko
Pia kuna OR, AND au COMMA na PERIOD.
 
Matukio haya yanaonyesha kwamba dini imejaa uongo.

Tuanze na Biblia.
1. Biblia inasema mungu ni alpha na Omega, mwanzo na mwisho, ni yeye aliepo na ataendelea kuwepo. Kwa maana kwamba mungu ndio chanzo cha vitu vyote, hakuna kitu kilianza bila yeye. Mungu ni mjuzi wa kila kitu.

Tukiamini hivyo ni sawa, lakini tukienda mbele zaidi kutafakari, kama mungu anajua vyote, je alijua kama shetani atakuja kumuasi? Kama alijua ni kwa nini bado alimuumba?

2. Kama mungu aliamua tu kumuumba shetani pamoja na kujua kua atakuja kuasi, alikua na maana gani? Biblia inasema yeye ni mkamilifu, hakuna kitu kidhaifu/kibovu kinatoka kwake, sasa unajiuliza shetani alietoka kwake ni mbovu ama mzima ama mkamilifu?

Hapo jibu ni moja tu, mungu hakujua kama shetani atakuja kumuasi hivyo mungu hajui kila kitu.

3. Baada ya shetani kuasi na malaika zake, kwa maelezo ya biblia shetani alitupwa Duniani. Kwa maana kwamba Dunia haikua na kiumbe ila shetani alitupwa huku kukiwa ni empty.

Baadae mungu akamuumba binadamu na kumuweka Duniani. Kwa maana kwamba Adam amekuja Duniani tayari shetani yupo muda mrefu anakula maisha. So Adam kamkuta shetani Duniani.

4. Baada ya Adam kuletwa Duniani, hakuwahi kuambiwa kwamba kuna kiumbe mwingine anaeishi Duniani tofauti na yeye, so hakupewa tahadhari yoyote. Kwa maana nyingine aliachwa kua vulnerable kwa shetani kumshambulia. Swali, kwa nini mungu hakumuonya Adam kuhusu uwepo wa shetani Duniani? Kwa nini alikaa kimia, lengo lake ilikua nini?. Mbaya zaidi mungu hakumuonya shetani asimrubuni adam, so akaacha loop hole ya shetani kujifanyia anayoyataka, baada ya shetani kufanikiwa, lawama ni kwa Adam.

Tu-assume alipewa maelekezo kidogo, lakini alipewa yeye, hakuna maonyo aliyopewa Eva mke wa Adam ambae shetani alimtumia kama kichochoro, je hawa makosa yao ni nini?

Jibu: Mungu aliwaingiza kwenye mtego maksudi, kuanguka kwa adam ilikua ni maksudi ya mungu kutafta justification ya kumlaumu Adam.

5. Kati ya binadamu na malaika mungu anampenda nani zaidi. Biblia inasema shetani alikua malaika mkuu, alipoasi alipata baadhi ya malaika waliomuunga mkono. Maelezo mazuri kabisa.

Biblia inaenda mbali na kusema baada ya shetani na malaika zake kuasi mungu aliwatupa Duniani watatange take. Tunakubali sawa kabisa.

Swali, kati ya binadamu na malaika ni nani anamjua vizuri shetani? Jibu ni malaika kwa sababu wameumbwa pamoja, wameishi pamoja hivyo wanajuana vizuri.

Swali lingine, kwa akili ya kawaida, ni nani alipaswa kuletwa Duniani kupambana na shetani? Jibu, alipaswa iwe ni malaika kwa sababu wanamjua vizuri zaidi shetani kuliko binadamu. Kwa maana kwamba ingekua rahisi sana kwao kumkataa shetani mapema na akakosa wafuasi kwa sababu wanamjua.

Masikitiko ni kwamba, mungu hakutaka kuwaleta viumbe wake anaowapenda Duniani akaamua kuumba viumbe wengine ambao hawajui lolote na kuja kuwapambanisha na shetani ambae ana superiority knowledge kuliko wao.

Ni sawa na wewe una rungu unaenda kupigana na mtu ana mizinga, drones, fighter jets, na kila kitu halafu utegemee utashinda. Hiki ndio mungu alichoamua kuwafanyia binadamu.

B. Nitakuja kuelezea upande wa quran. Mkitaka na vifungu nitaweka.
Nnachojua Mungu alimuumba Lucifer na hakuumba kiumbe kinachoitwa Shetani. Shetani ni baada ya uasi.

Lakini pia Mungu alijua kuwa mambo yote yatatokea lakini alifanya hivyo hivyo maana mipango yake ni kupata kundi la wanaompenda yeye bila hata kushurutishwa. Ndio maana wanadamu tuna uhuru wa kuchagua mema na mabaya.

Na unaposema kwamba hakumwonya Adamu mimi siamini kuwa ni kweli hakumwonya. Maana Biblia ni summary pengine alimwonya lakini haikuandikwa lakini pia hata swala la Mungu kumkataza Adam kula tunda la katikati ya mti ni kiashiria kuwa Mungu alimuonya kuhusu ibilisi pia. Biblia isingetosha kama ingeandikwa kila kitu mkuu.

Kumbuka kuwa Mungu anaujua mwisho kabla ya mwanzo. So alijua vyote hivyo kuwa vitatokea.

Mkuu, hakuna uongo kwenye neno la Mungu yachunguze sana maandiko utapata kujua mambo mengi sana. Biblia na Quran ni kama summary ya vitu tunavyotakiwa kuvijua kuhusu Mungu. Lakini ukimfuatilia sana Mungu kwa undani unaweza kujikuta unajichanganya zaidi. Lakini ukimwomba akuongoze kwa Roho wake utamwelewa kwa kiasi ambacho kitakuondolea sintofahamu.
 
Okay. Wacha nikubali unachokisema kwamba uko sahihi biblia haina matatizo ila matatizo ninayo mimi na akili yangu mbovu. Nimekubali lakini naomba unisaidie kuelewa hili swali.

1. Je Mungu alijua kama shetani atakuja kuasi ama hakujua?

2. Mungu anasema yeye ni mkamilifu, hakuna kitu dhaifu kinachotoka kwake, je shetani ni kitu dhaifu ama kikamilifu?

Ahsante.

Sijasema biblia haina matatizo, nimekupinga hoja zako unazosema zipo kwenye Biblia kuwa ni uongo.

1. Mungu aliumba roho chafu/mbaya/ uharibifu/mauti n.k.
Kisha akaumba Roho safi,/ njema/ wokovu/ na uzima.
Akawaambia viumbe wake wanaouhuru wa kuchagua Kati ya Wema na ubaya. Akawaambia kila upande na matokeo yake.
Mwanadamu alichagua Uovu/uharibifu Kwa hiyari yake wala hakulazimishwa,
Sasa ubaya wa Mungu uko wapi?
Upendo wake wa kukupa Uhuru ndio ubaya?

Biblia inasema hivi;
Kumbukumbu la Torati 30:19
Nazishuhudiza mbingu na nchi juu yenu hivi leo, kuwa nimekuwekea mbele yako uzima na mauti, baraka na laana; basi chagua uzima, ili uwe hai, wewe na uzao wako;

Huyo ni Mungu akimuambia Musa.
Hapo Mungu anakupa mapendekezo kuwa chagua uzima na baraka ili uwe hai.

Sasa ukichagua mauti unataka Mungu afanyaje?

Mfano Mungu ameumba tabia nyingi za nchi Kama Tropiko, Savannah, jangwa na kiikweta alafu suala la kuamua uishi wapi ni wewe kulingana na utakavyoona inakufaa.
Sasa ukiishi jangwani alafu unalalamika kuna jua Kali au ukame na kumlaumu Mungu kuwa hanyeshei mvua wakati kuna Maeneo maalumu yenye mvua huo ni ujinga.

2. Mungu ni mkamilifu aliyeumba vitu vitimilifu.
Shetani ni roho iliyoumbwa na Mungu kama Side effect ya ufanyaji kazi WA Mungu.
Vyote ni viumbe vya Mungu na vyote vinafanya kazi chini ya amri ya Mungu.
 
Matukio haya yanaonyesha kwamba dini imejaa uongo.

Tuanze na Biblia.
1. Biblia inasema mungu ni alpha na Omega, mwanzo na mwisho, ni yeye aliepo na ataendelea kuwepo. Kwa maana kwamba mungu ndio chanzo cha vitu vyote, hakuna kitu kilianza bila yeye. Mungu ni mjuzi wa kila kitu.

Tukiamini hivyo ni sawa, lakini tukienda mbele zaidi kutafakari, kama mungu anajua vyote, je alijua kama shetani atakuja kumuasi? Kama alijua ni kwa nini bado alimuumba?

2. Kama mungu aliamua tu kumuumba shetani pamoja na kujua kua atakuja kuasi, alikua na maana gani? Biblia inasema yeye ni mkamilifu, hakuna kitu kidhaifu/kibovu kinatoka kwake, sasa unajiuliza shetani alietoka kwake ni mbovu ama mzima ama mkamilifu?

Hapo jibu ni moja tu, mungu hakujua kama shetani atakuja kumuasi hivyo mungu hajui kila kitu.

3. Baada ya shetani kuasi na malaika zake, kwa maelezo ya biblia shetani alitupwa Duniani. Kwa maana kwamba Dunia haikua na kiumbe ila shetani alitupwa huku kukiwa ni empty.

Baadae mungu akamuumba binadamu na kumuweka Duniani. Kwa maana kwamba Adam amekuja Duniani tayari shetani yupo muda mrefu anakula maisha. So Adam kamkuta shetani Duniani.

4. Baada ya Adam kuletwa Duniani, hakuwahi kuambiwa kwamba kuna kiumbe mwingine anaeishi Duniani tofauti na yeye, so hakupewa tahadhari yoyote. Kwa maana nyingine aliachwa kua vulnerable kwa shetani kumshambulia. Swali, kwa nini mungu hakumuonya Adam kuhusu uwepo wa shetani Duniani? Kwa nini alikaa kimia, lengo lake ilikua nini?. Mbaya zaidi mungu hakumuonya shetani asimrubuni adam, so akaacha loop hole ya shetani kujifanyia anayoyataka, baada ya shetani kufanikiwa, lawama ni kwa Adam.

Tu-assume alipewa maelekezo kidogo, lakini alipewa yeye, hakuna maonyo aliyopewa Eva mke wa Adam ambae shetani alimtumia kama kichochoro, je hawa makosa yao ni nini?

Jibu: Mungu aliwaingiza kwenye mtego maksudi, kuanguka kwa adam ilikua ni maksudi ya mungu kutafta justification ya kumlaumu Adam.

5. Kati ya binadamu na malaika mungu anampenda nani zaidi. Biblia inasema shetani alikua malaika mkuu, alipoasi alipata baadhi ya malaika waliomuunga mkono. Maelezo mazuri kabisa.

Biblia inaenda mbali na kusema baada ya shetani na malaika zake kuasi mungu aliwatupa Duniani watatange take. Tunakubali sawa kabisa.

Swali, kati ya binadamu na malaika ni nani anamjua vizuri shetani? Jibu ni malaika kwa sababu wameumbwa pamoja, wameishi pamoja hivyo wanajuana vizuri.

Swali lingine, kwa akili ya kawaida, ni nani alipaswa kuletwa Duniani kupambana na shetani? Jibu, alipaswa iwe ni malaika kwa sababu wanamjua vizuri zaidi shetani kuliko binadamu. Kwa maana kwamba ingekua rahisi sana kwao kumkataa shetani mapema na akakosa wafuasi kwa sababu wanamjua.

Masikitiko ni kwamba, mungu hakutaka kuwaleta viumbe wake anaowapenda Duniani akaamua kuumba viumbe wengine ambao hawajui lolote na kuja kuwapambanisha na shetani ambae ana superiority knowledge kuliko wao.

Ni sawa na wewe una rungu unaenda kupigana na mtu ana mizinga, drones, fighter jets, na kila kitu halafu utegemee utashinda. Hiki ndio mungu alichoamua kuwafanyia binadamu.

B. Nitakuja kuelezea upande wa quran. Mkitaka na vifungu nitaweka.
Ngoja waje WATUMISHI wa bwana, wengine upande huu tumeuhama.
 
Sijasema biblia haina matatizo, nimekupinga hoja zako unazosema zipo kwenye Biblia kuwa ni uongo.

1. Mungu aliumba roho chafu/mbaya/ uharibifu/mauti n.k.
Kisha akaumba Roho safi,/ njema/ wokovu/ na uzima.
Akawaambia viumbe wake wanaouhuru wa kuchagua Kati ya Wema na ubaya. Akawaambia kila upande na matokeo yake.
Mwanadamu alichagua Uovu/uharibifu Kwa hiyari yake wala hakulazimishwa,
Sasa ubaya wa Mungu uko wapi?
Upendo wake wa kukupa Uhuru ndio ubaya?

Biblia inasema hivi;
Kumbukumbu la Torati 30:19
Nazishuhudiza mbingu na nchi juu yenu hivi leo, kuwa nimekuwekea mbele yako uzima na mauti, baraka na laana; basi chagua uzima, ili uwe hai, wewe na uzao wako;

Huyo ni Mungu akimuambia Musa.
Hapo Mungu anakupa mapendekezo kuwa chagua uzima na baraka ili uwe hai.

Sasa ukichagua mauti unataka Mungu afanyaje?

Mfano Mungu ameumba tabia nyingi za nchi Kama Tropiko, Savannah, jangwa na kiikweta alafu suala la kuamua uishi wapi ni wewe kulingana na utakavyoona inakufaa.
Sasa ukiishi jangwani alafu unalalamika kuna jua Kali au ukame na kumlaumu Mungu kuwa hanyeshei mvua wakati kuna Maeneo maalumu yenye mvua huo ni ujinga.

2. Mungu ni mkamilifu aliyeumba vitu vitimilifu.
Shetani ni roho iliyoumbwa na Mungu kama Side effect ya ufanyaji kazi WA Mungu.
Vyote ni viumbe vya Mungu na vyote vinafanya kazi chini ya amri ya Mungu.
Ukishasema biblia ina matatizo basi hayo matatizo ndio yanadhihirisha kwamba imejaa uongo.

Kwa kua umekiri biblia ina matatizo naomba niishie hapo. Kitaalam tunasema umepigwa force king ukaingia mwenyewe.
 
Mungu ametupa uhuru wa sisi kuamua tumfuate au tumuasi.

Hiyo haiondoi au haibadilishi ukuu/uungu wake.

Sisi ndio wenye maamuzi wenyewe, kutaka Mungu atuingilie maamuzi yetu kutaharibu dhana nzima ya 'free will' aliyotupa kwa upendo uliotukuka.
"Free will" haipo...kama ingekuwepo kungekuwa hakuna hukumu ya Uovu na watu waovu... Free will gani inayo ingilia uhuru wa mtu kufanya uovu?
 
Ukishasema biblia ina matatizo basi hayo matatizo ndio yanadhihirisha kwamba imejaa uongo.

Kwa kua umekiri biblia ina matatizo naomba niishie hapo. Kitaalam tunasema umepigwa force king ukaingia mwenyewe.

Hivi unaelewa ninachokisema?
Nimekuambia sijasema kuwa biblia haina matatizo kwenye post yangu nilichoandika ni kukupinga hoja yako.

Sawa naona unataka kusema nimesema Biblia unamatatizo.
Embu soma vizuri mtu akiandika ili uelewe mantiki ya unayezungumza naye.

Biblia inamkanganyiko sio matatizo😊😊
Na ukishasema mkanganyiko hii inatokana kuwa watu/binadamu hawalingani Uelewa. Hivyo wenye Uelewa mdogo lazima wapate mkanganyiko katika kupata na kuelewa ujumbe.
 
"Free will" haipo...kama ingekuwepo kungekuwa hakuna hukumu ya Uovu na watu waovu... Free will gani inayo ingilia uhuru wa mtu kufanya uovu?

Hakuna hukumu hata hivyo😂😂

Umepewa njia mbili,
1. Wema
2. Ubaya.
Wema utaishi milele
Ubaya utakufa milele.
Hivyo hakuna atakayekuhukumu isipokuwa wewe mwenyewe ndiye utaamua njia ipi ya kufuata.
 
Back
Top Bottom