Matukio yanayoonesha uongo kwenye vitabu vya dini

Matukio yanayoonesha uongo kwenye vitabu vya dini

Inaonesha hata hujaisoma post yangu.

Kwaheri

Nimeisoma.
Ila nilikuwa najibu hoja ya Izrael pekee,
Kuhusu ufufuo siku ya kiyama, Wakristo wanajua wazi Kabisa aliyepewa jukumu la kufufua Watu siku za mwisho, ambaye ni Yesu Kristo, huku ndugu zao Waislam wakiwa gizani wakiamini kuwa kutakuwa na ufufuo lakini hawajui atakayefufua ni Nani.

Uislam unategemea zaidi Ukristo na uyahudi katika visa vyake. Kwa maana uislam umechukua visa vya wanawaisrael kama msingi Mkuu wa masimulizi yake.

Bila waisrael hakuna uislam, hata hivyo sio kosa dini moja kunukuu au kujenga msingi wake katika Dini zingine.
Hata katika kipengele cha ufufuo wa mara ya pili, uislam hauwezi kujitegemea wenyewe bila Ukristo Kwa sababu Kristo ndiye msingi Mkuu wa Ufufuo. Hiyo ndio maana halisi ya kitabu cha INJILI "yaani habari njema" kwamba Kristo amefufuka katika wafu na atakuja mara ya pili kufufua waliowake.

Uislam haumtambui Yesu Kama mhusika Mkuu katika Ufufuo wa kiyama n hapo ndipo nikasema hauamini na hauna tumaini la ufufuo Kwa wafu.
Huwezi sema kuwa unaamini katika ufufuo wa pili alafu muda huohuo haumuamini Kristo atakayefufua wafu.

Ni Sawa na Mtu ambaye anaamini katika uumbaji wa mwanadamu lakini haamini kuwa Adamu ndiye alikuwa mtu wa Kwanza kuumbwa.

Uislam haujui umuhimu wa kitabu cha Injili lakini muda huohuo unaamini katika Neema ya ufufuo wa wanadamu siku ya kiyama.
 
Okay. Wacha nikubali unachokisema kwamba uko sahihi biblia haina matatizo ila matatizo ninayo mimi na akili yangu mbovu. Nimekubali lakini naomba unisaidie kuelewa hili swali.

1. Je Mungu alijua kama shetani atakuja kuasi ama hakujua?

2. Mungu anasema yeye ni mkamilifu, hakuna kitu dhaifu kinachotoka kwake, je shetani ni kitu dhaifu ama kikamilifu?

Ahsante.
Samahani bwn Te Evil Genius, umemuuliza vyema na kabla hajakujibu naomba nami nijaribu kukujibu kadri nitakavyojaaliwa.
Swali la 1
Jibu ni ndiyo, Mungu alijua si tu shetani kuasi bali hadi dunia ilipofikia na inakokwenda alijua tangu mwanzo wa uumbaji ndo maana masihi aliandaliwa kwa ajili ya ukombozi kwa wanadamu.
Swali la 2
Shetani ni kitu dhaifu mno.
Mungu anaposema kwaki hakitoki kisichokikamilifu hamaanishi vitu vyote anavyovifanya vitakuwa kamilifu kama alivyo yeye. Hapa anamaanisha akisharidhika nacho yeye kuwa kimekamilika basi kimekamilika kweli hata kama kwa macho na fikra za kibinadamu tutaona hakijakamilika. Yeye kafanya kikamilike kwa mujibu wa malengo yake. Shetani aliumbwa kikamilifu kulingana malengo, aina na muundo wake kama Mungu alivyotaka. Kisichokikamilifu kwa Mungu maana yake hakuna hata uwepo wake maana Mungu hukikamilisha ndipo anakileta.
 
Ingekufaa ufuatilie Kwa nini Malaika mtoa roho walimpa jina Izrael ndipo uje hapa ushangae.
Quran haijamtaja personal name ya Malaika mtoa roho lakini Duniani kote Waislam wanamfahamu kama izrael. Sasa tafuta chanzo cha Malaika huyo kupewa jina Hilo.
Lete rejea!!! Wewe ni msomi NASHANGAA NAPOLETA HOJA KOTE.... Uislam unaenda kwa DALILI NA SIYO KIBUBUSA..... Usichanganye TAMADUNI, MISEMO, MAZOEA YA WATU NA DINI.... All Devine rulings and practices are derived from well established sources ambazo ni Qur'an na Sunnah.....

Zingine ni ngonjera na ngano tu.....
 
Ndio maana nikakuambia kuwa Quran haijamtaja Kwa personal name lakini waislam wote Duniani wanamjua huyo Malaika mtoa roho Kwa jina walilompa wakamuita Izrael.
Sasa lilikuwa jukumu lako a Waislam waliomo humu ambao wote bila Shaka wanajua jina hilo, kuwa Kwa nini aliitwa hivyo.
Na mpaka sasa baadhi ya masheikhe kwenye mawaidha Yao wanamtaja.

Reference ni haohao masheikhe ukitaka nikuwekee video humu nitakuwekea tena zaidi ya Moja
Dini haiendi kwa matamko ya masheikh ikiwa matamko hayo hayana rejea sahihi kwenye AUTHENTIC SOURCES....

Ndiyo maana hata sheikh akiteleza anasahihishwa. Lakini pia kwenye IMANI NYINGI KUNA WATU WANAJINASIBISHA UANACHUONI LAKINI NI WAKENGEUFU au NA WENYEWE WANATUMIA MAZOEA...
 
Nishasoma sana biblia na quran.

Ujinga ulioko kwenye biblia, kwenye qurani umekua uharo mara 2.
Wewe hujasoma chochote ILA UNAONGEA KWA AKILI NA MATAMANIO YAKO TU!!

Kwa ushauri wa BURE basi kama wewe ni ATHEIST usikashifu vitabu vya wenye kuamini!!!

"Indeed, in the creation of the heavens and the earth and the alternation of the night and the day are signs for those of understanding" Qur'an 3:190
 
Wewe hujasoma chochote ILA UNAONGEA KWA AKILI NA MATAMANIO YAKO TU!!

Kwa ushauri wa BURE basi kama wewe ni ATHEIST usikashifu vitabu vya wenye kuamini!!!

"Indeed, in the creation of the heavens and the earth and the alternation of the night and the day are signs for those of understanding" Qur'an 3:190
Kitu gani sijasoma? Hii ni very poor argument ambayo wafua dini hasa waislamu hua mnaitumia. Mtu aki challenge uharo wa mola wenu na kutabu chake mnakimbilia kwamba hajasoma sijui hajaelewa, sasa usome nini wakati unaona kabisa mapumbu ya mbuzi yananing'inia wazi halafu unataka mtu aulize tena kama yale ni mapumbu ama maembe?
 
Kitu gani sijasoma? Hii ni very poor argument ambayo wafua dini hasa waislamu hua mnaitumia. Mtu aki challenge uharo wa mola wenu na kutabu chake mnakimbilia kwamba hajasoma sijui hajaelewa, sasa usome nini wakati unaona kabisa mapumbu ya mbuzi yananing'inia wazi halafu unataka mtu aulize tena kama yale ni mapumbu ama maembe?
Kwa akili ya kawaida kama HUWEZI KUJENGA HOJA UNALETA GENERAL ARGUMENTS inaonesha moja kati ya MAWILI. Aidha hujui unachokiongea na unajificha kwenye kichaka cha GENERAL ARGUMENTS Au umeamua kujifanya mjinga ili kukidhi matamanio ya nafsi yako!!!

Unaresort kwenye MATUSI na KEJELI za nini, wewe jenga HOJA madhubuti kwa MIFANO hai......
 
Ok bila shaka hauamini uwepo wa mungu ila unaamini kwenye facts na vile ambavyo tunaweza kuvi prove kwa science yetu hii sivyo?

Ok bila shaka unakubaliana na mimi kwamba science ndiyo jibu la kila kitu kwenye dunia hii sasa nina maswali haya hapa ambayo nahitaji majibu kama hautojali.

1.Nini kilisababisha evolution?
2.Nini kilisababisha Bigbang kutokea?
Hii theory ya big bang ililetwa na padri, alipoileta papa wa wakati huo akataka kuitangaza kuwa ndio ilikuwa mwanzo wa uumbaji wa Mungu katika na kuwa sehemu ya mafundisho ya kanisa, yule padri alimwambia physics doesn't know anything about God(sayansi haijui chochote kuhusu Mungu, na bible haijui cuochote kuhusu sayansi).
Ukisoma kitabu cha reality is not real kabla ya big bang kuliwa na contraction manake big bang haikuwa mwanzo wa ulimwengu ulimwengu uliwa kuwepo kabla ya big bang
 
Story ya huyi cartholic priest kwa majina Georges Lemaître naijua vizuri ila hii haibadilishi ukweli kwamba scientists ndiyo wameikubali na wanaitumia kama basis ya kuelezea nature and origin of the universe muulize scientists yeyote yule lazima ata base hapo so ni universally acceptable theory.

Au una theory nyengine apart from hiyo?ukiweka creation pembeni una theory nyengine tofauti na hiyo?

Kama hauna unaonaje ukanijibu hayo maswali
 
Back
Top Bottom