Matukio yangu binafisi ambayo Huwa nikiota yanakuwa kweli Kwa 100%

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
12,463
Reaction score
27,556
Ni kijana Sasa huku nautazamia uzee huo unakaribia .
Kawaida yangu nilikuwa na puuza sana ndoto Kila nikiota na ipuuza sitilii maanani!

Nikiwa mdogo sana almost miaka 7 hapo sijaanza shule Kwa miaka hiyo niliota ndoto zaidi3 ya tukio Baya (sitalitaja) ila lilihisu kifo Cha kinyama nikamwambia muhusika akanipiga sana.

Hazikupita siku nyingi ikawa hivyo Kwa 100%

Siku zikasonga nikaja nikaota Tena ng'ombe wetu Moja imeibwa then ikapatikana baada ya siku si nyingi iliibwa na kuja kupatikana Kwa 100%

Hili tukio sikumwambia mtu yeyote japo kipindi tunaitafuta maporini Mimi nilikuwa najua kabisa imeibwa Kwa 100% na itapatikana Kwa 100% ikawa hivyo.

Nikiwa la darasa la Tano Kuna binti nilikuwa na kaa nae dawati Moja shuleni nikaota kafariki.

Ile asubhi namuona sikumwambia kesho yake nikaota Tena tuna mzika yaani tumeenda wanawafunzi wa darasa lake kwenye mazishi.

Asubuhi Ile Tena tukiwa tumekaa nae nikapitiwa usingizi hapohapo darasani nikaota vilevile japo sikumwambia ila nilihama siti maana niliogopa Sana nikaenda kukaa nyuma kabisa.

Tulitawanyika kwenda kula Ile saa6 mchna na saa7:30 tukarudi tukiwa tumekaa pamoja muda ule wa mchana akaniambia anaumwa kichwa nikamwambia nenda nyumbani nitaenda kukuombea ruhusa Kwa mwalimu ila usiende Kwa mganga nenda hospital japo hospital ilikuwa mbali sana kipindi hicho.

Kweli alienda Hadi kufika kwao by saa2 usiku akafariki Dunia. Niliumia sana kifo Cha yule dada kwani tulikuwa tunapendana mno kiasi kwamba ilikuwa mmoja wapo asipokuja shuleni lazima atoroke kuja nyumbani kujua kama anashida.

Matukio mengine ya kawaida sitayaandika mengi nimesahau na mengine nakumbuka.

Kuna kipindi niliota pia mjomba kaugua HIV Ile ya zamani na aliyemuambukiza ni msimbe fln alikuwa mwanza then akaja Kijijini

Hii nilimwambia mjomba japo Sasa ukimwi sikuujua nikamwambia nimeota fln kakuambukiza li ugonjwa libaya sana na hakuna dawa yaani umekonda Hadi ndg hawakushiki nilimpa picha lote aisee nae akanipiga na ikumbuke kipindi kile alikuwa Bado ndo analitongoza na Mimi sijui kitu kama wametongozana ila ule ugonjwa ulinitisha ikabidi Nimwambie.

Kwa vile ukimwi wa zamani ulikuwa huendi round ndefu dalili unaanza kuziona hakuchelewa yule dada akawa mahututi na Taarifa zikaenea.

Mjomba nae hakuchukua muda na wengine watatu kijijn mlemle wakaunga reli ndo mjomba akaniambia kuwa mjomba kama kweli uliota wewe utakuwa mtu wa ajabu...aliugua na kweli ndg wakawa hawamsogelei isipokuwa mama tu mjomba alikuwa anaharisha sijawahi ona.

Mwaka 2012 nikiwa kayenze ya butundwe Geita Kwa ndg nikiwa nimelala na binamu yangu niliota nimeugua ugonjwa wa ajabu sana yaani Nina maupele ya ajabu mwili wote isipokuwa sehemu zilizo wazi yaani sehem ambazo shati ama bukta hazifiki ndo hazina.

Ile ndoto ilinifanya nisilale Tena kabisa usiku ule nikamuasha binamu na kumwambia kesho tuondoke hapa akauliza kwanini nikamsimulia Ile ndoto.

Uzuri yeye alikuwa ananijua vizuri nikiota kuwa nimeota Hivi na Hivi kinakuja kutokea Kwa 100%

Basi asubuhi Ile tuliaga ndg yule akashangaa sana akauliza Kuna Nini jamaniii mbona sio kawaida sikumwambia shida lkn Hadi alilia maana alikuwa dada yetu na alihisi Kuna kitu huenda tumeona na imetulazimu.

Baada ya kuondoka siku 3 tu mbele dada naye akajakuuliza kulikoni tulifanya vile. Hapa Sasa ilibidi Nikwambie ukweli huku nikamwambia dada iwapo ningebaki na then nikaugua hakika huenda ungebeba lawama kuwa Kuna kitu umetufanyia maana nilivyoota sijawahi ona ugonjwa wa namna Ile.

Nikamwambia Mimi Huwa nikiota Huwa inatokoea Kwa 100% japo Huwa sijui siku tu itakuwa lini hivyo Ile ilikuwa kama tahadhar kwetu.

Hakuamini japo ilibidi akubaliane nalo tu.

Basi kutoka 2012 Hadi 2022 ndo nikawa nimeugua huo ugonjwa! Yaani nilivyo ota ni vilevile na ulivyotokea ni kakwea pipa Hadi hospital Moja maarufu hapa Tz nikawa nimetibiwa na ule ugonjwa ukajulikana Kwa jina la Lichen planus

Picha yangu hii hapa na hapa Tyr nimeshapata nafuu Nina siku4 nimelazwa na kupewa matibabu makali

IMG-20230226-WA0037.jpg
IMG-20230226-WA0045.jpg

Kama nilivyosema Kuna matukio mengi tu yasiyo ya muhimu sana ku share nanyi hapa lkn Kuna vitu vingi sana nimeshaviota na havijatokea.

Nilimwambia mzee wangu kuwa Jpm Atafariki Dunia baada tu ya uchaguzi mkuu kupita mzee alinicheka sana. Hata humu niliahisema kwenye comment Moja kuwa Jpm hata dumu hapo Tyr nilikuwa Sha ota vilevile.

Tukiwa kama ma casual Mimi na jamaa yangu niliota Kuna mtu ananiambia kuwa Ili wewe uweze kupata ajira company mama basi ni lazima kwanza rafiki Yako fln aajiliwe kwanza then wewe ndo utafuata hivyo muombee sana apate ajira company mama.

Kwa sababu najua Huwa inatokoea Kwa 100% nilimwambia huyu jamaa yangu alikuwa hajui hata kuandika barua ya maombi nafasi zikatoka nikamwandikia Mimi Kila kitu Hadi sahihi yake asee yeye anajua kusoma na kuandika kama chekechekea na hata sahihi pia anajua Ili mradi

Basi niliandika nikampa akatuma maombi then mchongo na connection tukaanza kutafuta wote. Tumeingia Kwa boss kuomba kazi akaniuliza kwanini unamuombea huyu na sio wewe?

Swali Hilo lilinifanya niwaze kidogo lkn jibu likaja kuwa huyu jamaa yangu ana familia na analea wazazi wake hivyo najua anayopitia ni magumu kuliko Mimi yule Boss (foreman) aliniangalia sana then akasema sawa halafu akamugeukia na jamaa yangu akamuuliza una marafiki wangapi? Akasema ninao wengi tu akasema huyu sio rafiki Yako tu ila ndg Yako basi kama kwenye interview nitakuwepo Mimi nitahakikisha unapita.

Inshort kazi alipata jamaa alifurahi sana ila furaha yake ilikuwa kidogo maana Mimi ndo nilikuwa na furaha zaidi kuona Ile ndoto inaenda kutimia mlemle aisee nilifurahi sana.

Nikaenda Kwa wife nikamwambia achinje kuku tule maana fln amepata kazi kampuni mama

Imagine kutoka kulipwa 260,000/= Hadi milioni3 na Hela Kwa mwezi!! Ni zaidi ya maajabu

Niliendelea kuwa casual japo jamaa yng alipolipwa ule mshahara wa kwanza alinipa m1 nzima nzima nikaipokea then niachukua laki1 tu nyingine nikamrudishia nikamwambia nikiwa na shida nitakuja muda wowote hata kama ni usiku wa manane nawewe utanipa tu hivyo usiwe na shaka.

Inshort nilikuja kuajiliwa baada ya miezi4 kupita ila kitengo tofauti yeye aliajiriwa process plant Mimi Mining kwenye mgodi huohuo.

Hivi karibuni niliota ninaumwa kifua kiasi kwamba siwezi hata nyanyuka Juzi,Jana na hata Leo Nina maumivu makali ya kifua japo Leo nipo poa Kwa 77% maana naweza hata kuwapa kuku chakula.

Kwa Sasa matukio ambayo nasubiri yatimie na hayana budi kutimia ni kifo cha mpendwa wangu(.......) kipindi Cha naanza kuota kuhusu Hali yake nilikuwa namwambia na kunyonya aache kutumia vitu kadhaa wa kadhaa maana vitamletea shida kubwa sana na kweli imekuwa hivyo.

Ajabu ni kwamba kifo chake niliota nitakuwa nikiwa Sina Hela kiasi kwamba hata kusafirisha familia itakuwa changamoto sana.

Bado nasubiri Mimi kuwa na kuku wengi sana zaidi ya 6000 na kanga wengi sana hii ndoto ni zaidi ya mara5 naota nazungukwa na kuku wasiokuwa na idadi yaani wengi mno

Niliwahi kumwambia Dada yangu kuwa mtoto wangu wa kwanza wa ndoa atakuwa wakiume na nikamhakikishia ikiwa sivyo huyo si wangu akaniambia wewe usimkufuru mungu. Nilikuwa hata sijaoa baada ya miaka Saba nikaoa wife nikamwambia hivyohivyo basi akabeba mimba akawa anasema ameota mtoto ni wa kike nami mwambia shauri Yako akiwa wa kike siyo wangu kumwambia hivyo akashitaki Kwa wazee nikawaambia hivyohivyo lazima awe wa kiume hii haipingwi. Majirani nao wakawa wanamtbiria utazaa wa kike mmeo amekupenda mno nk.

Siku anajifungua mi nikiwa kazini night shift Nikiwa kama jumbo offsider nikajiegesha kwenye ukuta wa underground nikapitiwa na usingizi Tena nikaota wife kajifungua mtoto wa kiume mara hiyo nikasituka Nika mufuata yule mzungu Op nikamwambia Zima machine kwanza akazima nikamwambia akacheka then akaniambia wewe ni mpumbavu sana. Jamaa alikuwa Msela sana na alikuwa amenikubali sana kwenye kazi hii baada ya kutoka kazini nilifika nyumbani sikukuta mtu kwakua najua nikazima na simu nikalala kwanza by saa2 nikaenda hospital nikakuta mtoto wa kiume wife anacheka tu.

Hata mama anacheka tu nikamcheki mzungu hakuamini akaniomba aje aone nikamwambia karibu muda si mwingi akaja Hadi hospital akaacha zawadi ya Dola 200 yaa noti za Dola 100 Hadi 2.
........

Na mengine mengi

Nime share hapa kama kumbukumbu.
 
Ni kijana Sasa huku nautazamia uzee huo unakaribia .
Kawaida yangu nilikuwa na puuza sana ndoto Kila nikiota na ipuuza sitilii maanani!

Nikiwa mdogo sana almost miaka 7 hapo sijaanza shule Kwa miaka hiyo niliota ndoto zaidi3 ya tukio Baya (sitalitaja) ila lilihisu kifo Cha kinyama nikamwambia muhusika akanipiga sana.

Hazikupita siku nyingi ikawa hivyo Kwa 100%

Siku zikasonga nikaja nikaota Tena ng'ombe wetu Moja imeibwa then ikapatikana baada ya siku si nyingi iliibwa na kuja kupatikana Kwa 100%

Hili tukio sikumwambia mtu yeyote japo kipindi tunaitafuta maporini Mimi nilikuwa najua kabisa imeibwa Kwa 100% na itapatikana Kwa 100% ikawa hivyo.

Nikiwa la darasa la Tano Kuna binti nilikuwa na kaa nae dawati Moja shuleni nikaota kafariki.

Ile asubhi namuona sikumwambia kesho yake nikaota Tena tuna mzika yaani tumeenda wanawafunzi wa darasa lake kwenye mazishi.

Asubuhi Ile Tena tukiwa tumekaa nae nikapitiwa usingizi hapohapo darasani nikaota vilevile japo sikumwambia ila nilihama siti maana niliogopa Sana nikaenda kukaa nyuma kabisa.

Tulitawanyika kwenda kula Ile saa6 mchna na saa7:30 tukarudi tukiwa tumekaa pamoja muda ule wa mchana akaniambia anaumwa kichwa nikamwambia nenda nyumbani nitaenda kukuombea ruhusa Kwa mwalimu ila usiende Kwa mganga nenda hospital japo hospital ilikuwa mbali sana kipindi hicho.

Kweli alienda Hadi kufika kwao by saa2 usiku akafariki Dunia. Niliumia sana kifo Cha yule dada kwani tulikuwa tunapendana mno kiasi kwamba ilikuwa mmoja wapo asipokuja shuleni lazima atoroke kuja nyumbani kujua kama anashida.

Matukio mengine ya kawaida sitayaandika mengi nimesahau na mengine nakumbuka.

Kuna kipindi niliota pia mjomba kaugua HIV Ile ya zamani na aliyemuambukiza ni msimbe fln alikuwa mwanza then akaja Kijijini

Hii nilimwambia mjomba japo Sasa ukimwi sikuujua nikamwambia nimeota fln kakuambukiza li ugonjwa libaya sana na hakuna dawa yaani umekonda Hadi ndg hawakushiki nilimpa picha lote aisee nae akanipiga na ikumbuke kipindi kile alikuwa Bado ndo analitongoza na Mimi sijui kitu kama wametongozana ila ule ugonjwa ulinitisha ikabidi Nimwambie.

Kwa vile ukimwi wa zamani ulikuwa huendi round ndefu dalili unaanza kuziona hakuchelewa yule dada akawa mahututi na Taarifa zikaenea.

Mjomba nae hakuchukua muda na wengine watatu kijijn mlemle wakaunga reli ndo mjomba akaniambia kuwa mjomba kama kweli uliota wewe utakuwa mtu wa ajabu...aliugua na kweli ndg wakawa hawamsogelei isipokuwa mama tu mjomba alikuwa anaharisha sijawahi ona.

Mwaka 2012 nikiwa kayenze ya butundwe Geita Kwa ndg nikiwa nimelala na binamu yangu niliota nimeugua ugonjwa wa ajabu sana yaani Nina maupele ya ajabu mwili wote isipokuwa sehemu zilizo wazi yaani sehem ambazo shati ama bukta hazifiki ndo hazina.

Ile ndoto ilinifanya nisilale Tena kabisa usiku ule nikamuasha binamu na kumwambia kesho tuondoke hapa akauliza kwanini nikamsimulia Ile ndoto.

Uzuri yeye alikuwa ananijua vizuri nikiota kuwa nimeota Hivi na Hivi kinakuja kutokea Kwa 100%

Basi asubuhi Ile tuliaga ndg yule akashangaa sana akauliza Kuna Nini jamaniii mbona sio kawaida sikumwambia shida lkn Hadi alilia maana alikuwa dada yetu na alihisi Kuna kitu huenda tumeona na imetulazimu.

Baada ya kuondoka siku 3 tu mbele dada naye akajakuuliza kulikoni tulifanya vile. Hapa Sasa ilibidi Nikwambie ukweli huku nikamwambia dada iwapo ningebaki na then nikaugua hakika huenda ungebeba lawama kuwa Kuna kitu umetufanyia maana nilivyoota sijawahi ona ugonjwa wa namna Ile.

Nikamwambia Mimi Huwa nikiota Huwa inatokoea Kwa 100% japo Huwa sijui siku tu itakuwa lini hivyo Ile ilikuwa kama tahadhar kwetu.

Hakuamini japo ilibidi akubaliane nalo tu.

Basi kutoka 2012 Hadi 2022 ndo nikawa nimeugua huo ugonjwa! Yaani nilivyo ota ni vilevile na ulivyotokea ni kakwea pipa Hadi hospital Moja maarufu hapa Tz nikawa nimetibiwa na ule ugonjwa ukajulikana Kwa jina la Lichen planus

Picha yangu hii hapa na hapa Tyr nimeshapata nafuu Nina siku4 nimelazwa na kupewa matibabu makali

View attachment 3373924View attachment 3373925

Kama nilivyosema Kuna matukio mengi tu yasiyo ya muhimu sana ku share nanyi hapa lkn Kuna vitu vingi sana nimeshaviota na havijatokea.

Nilimwambia mzee wangu kuwa Jpm Atafariki Dunia baada tu ya uchaguzi mkuu kupita mzee alinicheka sana. Hata humu niliahisema kwenye comment Moja kuwa Jpm hata dumu hapo Tyr nilikuwa Sha ota vilevile.

Tukiwa kama ma casual Mimi na jamaa yangu niliota Kuna mtu ananiambia kuwa Ili wewe uweze kupata ajira company mama basi ni lazima kwanza rafiki Yako fln aajiliwe kwanza then wewe ndo utafuata hivyo muombee sana apate ajira company mama.

Kwa sababu najua Huwa inatokoea Kwa 100% nilimwambia huyu jamaa yangu alikuwa hajui hata kuandika barua ya maombi nafasi zikatoka nikamwandikia Mimi Kila kitu Hadi sahihi yake asee yeye anajua kusoma na kuandika kama chekechekea na hata sahihi pia anajua Ili mradi

Basi niliandika nikampa akatuma maombi then mchongo na connection tukaanza kutafuta wote. Tumeingia Kwa boss kuomba kazi akaniuliza kwanini unamuombea huyu na sio wewe?

Swali Hilo lilinifanya niwaze kidogo lkn jibu likaja kuwa huyu jamaa yangu ana familia na analea wazazi wake hivyo najua anayopitia ni magumu kuliko Mimi yule Boss (foreman) aliniangalia sana then akasema sawa halafu akamugeukia na jamaa yangu akamuuliza una marafiki wangapi? Akasema ninao wengi tu akasema huyu sio rafiki Yako tu ila ndg Yako basi kama kwenye interview nitakuwepo Mimi nitahakikisha unapita.

Inshort kazi alipata jamaa alifurahi sana ila furaha yake ilikuwa kidogo maana Mimi ndo nilikuwa na furaha zaidi kuona Ile ndoto inaenda kutimia mlemle aisee nilifurahi sana.

Nikaenda Kwa wife nikamwambia achinje kuku tule maana fln amepata kazi kampuni mama

Imagine kutoka kulipwa 260,000/= Hadi milioni3 na Hela Kwa mwezi!! Ni zaidi ya maajabu

Niliendelea kuwa casual japo jamaa yng alipolipwa ule mshahara wa kwanza alinipa m1 nzima nzima nikaipokea then niachukua laki1 tu nyingine nikamrudishia nikamwambia nikiwa na shida nitakuja muda wowote hata kama ni usiku wa manane nawewe utanipa tu hivyo usiwe na shaka.

Inshort nilikuja kuajiliwa baada ya miezi4 kupita ila kitengo tofauti yeye aliajiriwa process plant Mimi Mining kwenye mgodi huohuo.

Hivi karibuni niliota ninaumwa kifua kiasi kwamba siwezi hata nyanyuka Juzi,Jana na hata Leo Nina maumivu makali ya kifua japo Leo nipo poa Kwa 77% maana naweza hata kuwapa kuku chakula.

Kwa Sasa matukio ambayo nasubiri yatimie na hayana budi kutimia ni kifo cha mpendwa wangu(.......) kipindi Cha naanza kuota kuhusu Hali yake nilikuwa namwambia na kunyonya aache kutumia vitu kadhaa wa kadhaa maana vitamletea shida kubwa sana na kweli imekuwa hivyo.

Ajabu ni kwamba kifo chake niliota nitakuwa nikiwa Sina Hela kiasi kwamba hata kusafirisha familia itakuwa changamoto sana.

Bado nasubiri Mimi kuwa na kuku wengi sana zaidi ya 6000 na kanga wengi sana hii ndoto ni zaidi ya mara5 naota nazungukwa na kuku wasiokuwa na idadi yaani wengi mno

Na mengine mengi

Nime share hapa kama kumbukumbu.
Wasukuma ndivyo mlivyo. Ndo maana kila familia lazima iwe na mpiga ramli huko kanda ya ziwa
 
Tupe update ya uchaguzi ujao. Nini kitatokea? Reforms zitafanyika cdm ashiriki? TAL atashinda kesi yake inayomkabili? vp kuhusu chauma na mbowe...
Mkuu Mimi Huwa naota tu kile kitu ambacho hata sijawahi kukifikiria yaani naota tu. Au naweza sema Huwa siombi niote hiki Wala kile hivyo Kwa ulichouliza sijawahi kuota siku nikiota nitawajuza
 
Pole sana mimi nipo hivyo yani nikiota ndoto ni balaa na balaa zaidi ile ndoto ikija mara tatu ohoooooo!!!! Kuna dada niliota anapiga picha na mume wake ila mume wake hana mkono.
Nikaota tena wamefilisika nikaota huyo dada ana mimba ya miezi 9 anahangaika aende wapi... mpaka sasahivi wana mtoto mwenye ulemavu na ni wafanyakazi wote kwa zaidi ya mika kumi na hawana nyumba ya kuishi.
 
Hatari sana
 
Back
Top Bottom