Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
- Thread starter
- #21
Hahahaa hapana asee hivihivi inatoshaKuna namna ukijiweka vizuri kidogo tuu, unaanza kupiga hela
Hahahaa hapana asee hivihivi inatoshaKuna namna ukijiweka vizuri kidogo tuu, unaanza kupiga hela
Sameer ndo Nan kwani 😹😹Sameer atakufa lini
We nawe kichwa chako kigumu. Nasema usukumani wapiga ramli ni wengi kwa sababu huwa wanaaon̈a mambo mengi kwenye ndoto kama wewe.Umeona wapi nimeandika nilipigiwa ramli mkuu? Huko Daslamu Huwa hamuoti?
Huyu aliyeimba kinyulinyuli auSameer atakufa lini
Nikishindwa maisha uzeeni nitaanza kupiga Hela au sio😂We nawe kichwa chako kigumu. Nasema usukumani wapiga ramli ni wengi kwa sababu huwa wanaaon̈a mambo mengi kwenye ndoto kama wewe.
Yaani na wewe upo Kwenye kundi hilo bado kidogo tu uwe mchawi.wakukate Kate na mapanga, ila ukitumia hizo ndoto vizuri utatengeneza hela utakuwa unaitwa (FORESEE) kwa lugha ya kitaalamu aka shekh Yahya
ni ngumu sana tena sana kila ndoto kuwa 100%
hata wataalamu wa kweli (waganga) huwa hawako 100% naona ww kila ukiota uko sawa
uwezo wa kuota na kutokea waweza kuwa nao ila si kila tukio kwa ufasaha sana
Mbona Mimi Niko hivyo pia ,Nikishindwa maisha uzeeni nitaanza kupiga Hela au sio😂
We jama nimekusoma kwa miaka miwli sasa. Nakujua una roho nzuri sana.Inshort kazi alipata jamaa alifurahi sana ila furaha yake ilikuwa kidogo maana Mimi ndo nilikuwa na furaha zaidi kuona Ile ndoto inaenda kutimia mlemle aisee nilifurahi sana.
Nikaenda Kwa wife nikamwambia achinje kuku tule maana fln amepata kazi kampuni mama
Imagine kutoka kulipwa 260,000/= Hadi milioni3 na Hela Kwa mwezi!! Ni zaidi ya maajabu
100% perfect.Heshima huja Kwa kuheshimu na kuwathamini wengine kama upo kinyume na hayo utadharauliwa tu.
Nimeota sana sana nikiwa nafanya mtihani......hii ndoto imejirudia mno. Almost kila mwaka mara mbili au tatu.Hongera sana kwa hii karama.......
Ipo kwa tu wachache, basi wasio nayo walivyo wabishi utasikia ndoto haina maana yoyote 😁
nakubali mkuu... Tunza hiyo karama yako mkuu ikiwezekana uiboreshe zaidi unaweza kufika mbaliMkuu Mimi Huwa naota tu kile kitu ambacho hata sijawahi kukifikiria yaani naota tu. Au naweza sema Huwa siombi niote hiki Wala kile hivyo Kwa ulichouliza sijawahi kuota siku nikiota nitawajuza
Hakuna Mganga anayeota tunadanganywa tuni ngumu sana tena sana kila ndoto kuwa 100%
hata wataalamu wa kweli (waganga) huwa hawako 100% naona ww kila ukiota uko sawa
uwezo wa kuota na kutokea waweza kuwa nao ila si kila tukio kwa ufasaha sana
Mfano hapa una boreshaje mkuu?nakubali mkuu... Tunza hiyo karama yako mkuu ikiwezekana uiboreshe zaidi unaweza kufika mbali
Nimewahi mkuu ila hiyo ndoto haikunisumbua kichwani pia najua kufa nitakufa tu hivyo siwezi tilia manaani sana. Vilevile inategemea na ujumbe ulio kuja nao hiyo ndoto ndo naweza kupanic au kuwaza zaidiMkuu hujawahi kuota umekufa?
Hizi ndoto bana Huwa zinakuja indirect na direct Sasa wewe ndo mwamzi pengine huko mbele una mitihani isiyohitaji makaratasi na kukaa darasani ila mitihani ya maisha nk. Shika hiloNimeota sana sana nikiwa nafanya mtihani......hii ndoto imejirudia mno. Almost kila mwaka mara mbili au tatu.
Mpaka sasa ilibidi nimsimulie Mke wanguu. Sijajuaa Maana. Yake maana mimi umri wa kusoma tena nimewachia wanangu
Hadi ukatamani na mke wa marehemu hizo nyege ni za kiwango Gani asee?😹😹😹We jama nimekusoma kwa miaka miwli sasa. Nakujua una roho nzuri sana.
Unanikera tu hapo unaposema ukifa mke wako asiolewe.
Soma Uzi huu mkuu ni maandalizi ya kuitimiza hiyo ndoto Wala sipo hapa kusema kitu kisichokuwepo..huo Uzi nimeuleta mwaka Jana ...Nataka niwe jirani Yako nipande mchicha wangu bila kuweka ulinzi jaruba liwe wazi.
Kuku wako najua watakuja tu kuharibu jaruba langu na Mimi malipo yangu n kuku Kila uharibifu unapotokea.
Mana wewe n tajiri wa kuku Tyr.