Matukio yatakayokumbukwa JF miaka 50 ijayo

Matukio yatakayokumbukwa JF miaka 50 ijayo

Dahhh....
Kuna jamaa aliwahi kuja na Uzi akiomba ushauri kule jf Doctor.
Ile jamaa iliuweka kabisa mjegejo, ulikuwa unavipele kwamba ndio vinamsumbua pale kwenye kichwa kinapo zama bila mabega.
Aiseee yule jamaa alikuwa ana roho ngumu sana, sasa kuna mdada akakomenti akawa anausifia wakati mleta mada anaumwa...teh[emoji23][emoji23] yaani skuhiyo nilicheka sana.....😂😂😂😂😂

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kumtaja Ontario kwa uzi ule kumbe nilikosea?
Tukio la kwanza ni mzee mzima Ontario kuja kwa Mbwembwe na baadae kujikuta akiishia kwenye shimo la Tewa baada ya KUPEWA ZA USO NA MEMBERS!

Tukio La pili ni Bwana mkubwa Bujibuji kuja na ID ya Kike kujaribu kuwachora watu! Alichokipata siri yake.

Tukio La tatu ni Mzamiaji Parabora Kuja kwa mikogo kabisa akidai kwamba yeye anaishi Geneva Uswisi. WanaJF wakaunda kikosi kazi ndani ya siku tano ikaja kubainika kuwa jamaa ni MgongaUlimbo tu yupo humuhumu Manzese.

HEBU ONGEZA TUKIO AMBALO UNALIKUMBUKA SANA HAPA JF NA LITAKUMBUKWA.
Kaka Tuchati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom