Matukio yatakayokumbukwa JF miaka 50 ijayo

Matukio yatakayokumbukwa JF miaka 50 ijayo

Kuna uzi fulan hv ushawahi comment kuhusu "highly paying keywords" kwa kutumia ID yako ya like nikuadd
Kumbe wewe ni mtu wa ajabu,

sasa kama umethibitisha kuwa nina id's mbili na umejiridhisha, unataka nikujibu nini?
 
bujibuji unasomea shujaa wangu Hilary Kipozeo
Ooky! Tayari nimeona alichokuwa ameandika gilesi
1680168945943.png
 
Dahhh....
Kuna jamaa aliwahi kuja na Uzi akiomba ushauri kule jf Doctor.
Ile jamaa iliuweka kabisa mjegejo, ulikuwa unavipele kwamba ndio vinamsumbua pale kwenye kichwa kinapo zama bila mabega.
Aiseee yule jamaa alikuwa ana roho ngumu sana, sasa kuna mdada akakomenti akawa anausifia wakati mleta mada anaumwa...teh[emoji23][emoji23] yaani skuhiyo nilicheka sana.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom