Matumizi makubwa ya 'energy drinks' hasa kwa vijana, wanafahamu madhara yake?

Sijawahi kunywa Wala vutiwa na hizo drinks kwakweli..Nina Mdogo wangu wa kike siku ipite hajapata hiyo nahisi hua anakosa amani..
Ahsante kwa elimu
 
Vijana awawezi kukuelewa sbbu tulipofikia asilimia kubwa ya Vijana wa saiv bila Energy drink pmja na panado mbili bdo hawezi kupata nguvu za kugegeda
 
Dawa yake ni bia, mtu akizidiwa baada ya kunywa redbull, mpe bia fasta anapona hapo hapo
 
Serikali ya Samia ni wakati muafaka sasa kuirudisha TFDA maana TBS imeshindwa kusimamia masuala mazima ya ukaguzi na udhibiti wa ubora wa chakula na vipodozi nchini.

Hivyo kuhatarisha afya za watanzania.

#MaendeleoHayanaChama
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…