Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Kinywaji kikianza kua na mashart
SITAKI
Kama yapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinywaji kikianza kua na mashart
SITAKI
Dudu kufa kazi maana moyo ushapata madhara kwa presha damu haiendi kwenye uume kuifanya iwe stiff iweze kufanya uchokonozi.Kama yapi?
Kijiji gnMaeneo ya vijijini Mkoani Manyara ,vijana wanakunywa hivi vinywaji Hadi inatisha
changanya spirit na juice au soda.Toa sababu za kuto changanya na nichanganye na nn sas mkuu
Ni kama shetani tu. Mungu angeweza kumteketeza ili sote twende mbinguni. Lakini kamuacha kitaani anasumbua tu kama chiziHivi kama zina madhara hivyo why wasiache tu kutengeneza, maana ni kweli huku mitaani watu wanatumia sana😪
Acha watu wafurahie maisha,Kama ni hivyo basi watu wasitumie ARV maana ARV ni chanzo kikuu cha kuharibu figoNakutajia moja; inaathiri figo kwa asilimia kubwa sana. Kwa miaka ijayo, kutakuwa na ongezeko kubwa sana la watu wenye matatizo ya figo. Omba sana Mungu haya maradhi yapite kushoto, manake figo zikiharibika, moyo utaharibika, ini litaharibika...hizi vital organs zikiharibika niambie nini kinafata.
NB: mimi sio mtu wa afya!
Kama yapi?
🤣🤣Usinywe zaid ya kimoj
Usinywe unavyolala
Unywe huku umechuchumaa[emoji28][emoji28]
Wewe huna pesa ya kulipa kodi kuendesha nchi hii. Viwanda makampuni binafsi na ya kubet bandali ndo nchongoHivi kama zina madhara hivyo why wasiache tu kutengeneza, maana ni kweli huku mitaani watu wanatumia sana😪
Nina vibanda vyangu kama 7 hivi nimevitega sehemu tofauti tofauti uswahilini uswahilini sehemu kuna junction na stand za bodaboda..nimewajazia energy drinks zakutosha na spirits za vibobo..highlife,kitoko,boss, diamond, Rivera nk nk..nanunuaga cartoon kumi kumi kila baada ya siku 3..vibanda vyangu ni 24/7..na winston sigara zakutosha..kila baada ya siku 3 napitia vibanda vyangu nakusanya 30000*7=210000..profits..hivyo vidude vina ela sana..ukivipatia angle..ILA MIMI ATA LADHA YAKE SIIJUI..NAJUA TU FAIDA ZAKE KWA ELAHawa vijana ni wapumbavu sana mkuu!
Hasa mashabiki wa simba na ki energy chao cha yule mfadhili wao huwaambii kitu.
Wanaihatarisha tu[emoji28]Mmekalia tu kuandika "hatari sana" bila kuweka hiyo hatari yake watu wakajifunza.
Wekeni madhara yake.
Mkuu umetukosea heshima kabisa sisi mabingwa watetezi na wawakilishi pekee waliosalia kimataifa.Hawa vijana ni wapumbavu sana mkuu!
Hasa mashabiki wa simba na ki energy chao cha yule mfadhili wao huwaambii kitu.
unazinguaNdiposa unakuta wenye kampuni zote zinazozalisha vinywaji hivyo hatari ndiyo wanaongoza kwenye Imani zao kwa kuaminiwa na wanatoa zaka na kusaidia masikini kila ijumaa.
basi hii ndoinatrend now kitaani wwngi wanachanganya hivi