Matumizi makubwa ya 'energy drinks' hasa kwa vijana, wanafahamu madhara yake?

Matumizi makubwa ya 'energy drinks' hasa kwa vijana, wanafahamu madhara yake?

Hawa vijana ni wapumbavu sana mkuu!

Hasa mashabiki wa simba na ki energy chao cha yule mfadhili wao huwaambii kitu.
Mo hana energy drink.
Acha kukariri kila kinywaji kidogo cha kwenye chupa ndogo ya plastic chenye utamu ni energy
 
Ila hizi kitu mimi naona wanajaziwa misoda tu humo kwenye hizo chupa, sidhani kama ni energy kweli kama ilivyo redbull
[emoji23][emoji23][emoji23]
Labda kama ni soda tu zisizo na hayo makali, ila kama ni zenyewe na zina madhara basi huku mitaani watu wanazinywa kama maji🤔
 
Nilikuwa kijijini! Maduka haya soda au juice, wanasema haziuziki!! Kumejaa energy drinks tupu, mpaka watoto ndiyo kinywaji chao!!

Walikuwa wananishangaa sijawahi kutumia! Hatari sana
bwan wee niliona jamaa analia andaz
 
Au unataka ninywe dry mkuu niliwahi kunywa kvant na mmzungu yey ajachanganya ila alkiuwa anbugia Sana nakusema nice nice
 
Back
Top Bottom