Matumizi makubwa ya 'energy drinks' hasa kwa vijana, wanafahamu madhara yake?

Matumizi makubwa ya 'energy drinks' hasa kwa vijana, wanafahamu madhara yake?

Kuna jamaa yangu kwa siku anakunywa Azam energy sio chini ya 6 na peps zaid ya 5 na sigara hata pakti 2.

Na hataki ushauri juu ya hilo.
 
Labda kama ni soda tu zisizo na hayo makali, ila kama ni zenyewe na zina madhara basi huku mitaani watu wanazinywa kama maji🤔
Mkuu inamaana hufahamu kama soda zina kemikali??

Soda zina hatari sana , hazina faida hata moja kwa matumizi ya mwili.

Kisukari na uzito uliopitiliza ... kupata magonjwa hatari yasiyo ya kuambukizwa
 
Muda mwingi wanatumia energy kisha wanachanganya tena na vilevi.. aisee inasikitisha sana ..
watu hawajali kabisa madhara yyte
 
Matokeo ya elimu duni ya afya na lishe kwa vijana wengi
 
Kuna jamaa yangu kwa siku anakunywa Azam energy sio chini ya 6 na peps zaid ya 5 na sigara hata pakti 2.

Na hataki ushauri juu ya hilo.
Mkuu , ubongo huwa una achia kemikali zinazosababisha hali ya dopamine....

Ubongo wake unamwambie akifanya hivyo "atakuwa fresh , au atapata furaha..."

Ubobgo wa binadamu unaweza kumfanya mtu awe addicted na kitu chochote ... hata app tu ya social media
 
Noma sana, halafu zinakuwaga na kaulevi fulani yaani unatamani kilasiku unywe
 
Mbona hukuoanisha madhara yake tuyajue na kujilinda wenyewe wameshakuandikia hairuhusiwi kunywa zaidi ya 2 na kina mam wajawazito hawaruhusiwi pamoja na watoto
We ulitaka madhara gani Zaid ya shambulio la moyo?
 
Vijana fanyeni mazoezi mtakuwa hamuna mashaka na kitu chochote.
Utakuwa na coverage kubwa ya kuwa na afya njema.
 
Hata soda za siku zina ladha tofauti na za zamani, makemikali ni mengi mno, twafwaaa
 
Back
Top Bottom