Matumizi makubwa ya 'energy drinks' hasa kwa vijana, wanafahamu madhara yake?

Matumizi makubwa ya 'energy drinks' hasa kwa vijana, wanafahamu madhara yake?

Hayo madhara unayataja tu bila ushahid wa kisayansi?
Bongo hatuhitaji ushahidi wa kisayansi kupitisha jambo tunatumia formula ya wengi wape.... Halafu hayo madhara sijayataja mimi nimeapreciate tu kwa huyo aliyeyataja maana tunaweza kuwa wahanga bila kujua
 
Matumizi ya vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks), miongoni mwa vijana ni makubwa sana kwa sasa.

Sina hakika kama vijana hawa wanajua athari za matumizi makubwa na ya Mara kwa Mara ya vinywaji hivi haswa kwa siku za mbeleni.

Pengine watu wanahitaji elimu juu ya matumizi ya vinywaji hivi.
Ebu fafanua madhara yake uokoe jamii
 
Mmekalia tu kuandika "hatari sana" bila kuweka hiyo hatari yake watu wakajifunza.

Wekeni madhara yake.
Nakutajia moja; inaathiri figo kwa asilimia kubwa sana. Kwa miaka ijayo, kutakuwa na ongezeko kubwa sana la watu wenye matatizo ya figo. Omba sana Mungu haya maradhi yapite kushoto, manake figo zikiharibika, moyo utaharibika, ini litaharibika...hizi vital organs zikiharibika niambie nini kinafata.

NB: mimi sio mtu wa afya!
 
Nakubali mchango wako.

Nao waje watoe ufafanuzi zaidi.
 
Matumizi ya vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks), miongoni mwa vijana ni makubwa sana kwa sasa.

Sina hakika kama vijana hawa wanajua athari za matumizi makubwa na ya Mara kwa Mara ya vinywaji hivi haswa kwa siku za mbeleni.

Pengine watu wanahitaji elimu juu ya matumizi ya vinywaji hivi.
Nmeacha over 3 months ago nilikuwa nimekuwa addicted na mo energy. Yani nilikuwa nikikaa napata arosto
 
kamwe usichanganye spirit na energy drink, usirudie tena kaka.
Nilikua nakunywa aina fulan ya gin n then naenda kumalizia na red bull,baada ya apo hyo show yake ilikua lazima mmojawapo aombe po.Il
Baadae nikaona najimaliza tu,toka nilivyogundua hvyo nikaachana na huo upuuzi.
 
Matumizi ya vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks), miongoni mwa vijana ni makubwa sana kwa sasa.

Sina hakika kama vijana hawa wanajua athari za matumizi makubwa na ya Mara kwa Mara ya vinywaji hivi haswa kwa siku za mbeleni.

Pengine watu wanahitaji elimu juu ya matumizi ya vinywaji hivi.
Nikadhani unaelezea madhara yenyewe!!!
 
Natoa shuhuda..
Nikiwa nasafiri kwa usafir binafsi nilopendelea Sana kunywa energy drink...mwez November nikawa na safar nikatumia energy..nilipofika kahama nikaanza huhis tofauti..nikasimama pale Mjin kwamba nipumzike...hali ikazidi kuwa sio..nikaenda hospital..kufika pale nikafanya process zote..kabla sijaingia kwa Dr wakaniambia tunaomba upime uzito,urefu,sukar na presha..nikapima..weeeeee...menngine yoote nilikiwa Norma..ila presha ilikuwa 197/136...Dr akaniuliza nikakweleza..nilipifika kusema nimekunywa energy drink..nikaona amevuta pumzi akasema hiyo ndio tatizo..wakasema hatuwez kukuruhusu utoke..tunakulaza..nikalazwa pale nikachoma sindano..ile sindano ilinifanya nikojoe Sana..keshobyake mchana nikatoka..NIKAKOMA KUNYWA ENERGY NA COKE..Dr alidai Zina madhara kwa Figo na moyo...now Niko poa..
 
Madhara ya kunywa energy drink na k vant

ukichanganya energy inakua ina ku boost ujione hujalewa kumbe umelewa so uwezekano wa wewe kunywa kupita kiasi unakua mkubwa na wote tunajua madhara ya kunywa makonyagi, ma k vant kupita kiasi...
 
Back
Top Bottom