Matumizi makubwa ya 'energy drinks' hasa kwa vijana, wanafahamu madhara yake?

Matumizi makubwa ya 'energy drinks' hasa kwa vijana, wanafahamu madhara yake?

Sijawahi kunywa Wala vutiwa na hizo drinks kwakweli..Nina Mdogo wangu wa kike siku ipite hajapata hiyo nahisi hua anakosa amani..
Ahsante kwa elimu
 
Vijana awawezi kukuelewa sbbu tulipofikia asilimia kubwa ya Vijana wa saiv bila Energy drink pmja na panado mbili bdo hawezi kupata nguvu za kugegeda
 
Dawa yake ni bia, mtu akizidiwa baada ya kunywa redbull, mpe bia fasta anapona hapo hapo
Natoa shuhuda..
Nikiwa nasafiri kwa usafir binafsi nilopendelea Sana kunywa energy drink...mwez November nikawa na safar nikatumia energy..nilipofika kahama nikaanza huhis tofauti..nikasimama pale Mjin kwamba nipumzike...hali ikazidi kuwa sio..nikaenda hospital..kufika pale nikafanya process zote..kabla sijaingia kwa Dr wakaniambia tunaomba upime uzito,urefu,sukar na presha..nikapima..weeeeee...menngine yoote nilikiwa Norma..ila presha ilikuwa 197/136...Dr akaniuliza nikakweleza..nilipifika kusema nimekunywa energy drink..nikaona amevuta pumzi akasema hiyo ndio tatizo..wakasema hatuwez kukuruhusu utoke..tunakulaza..nikalazwa pale nikachoma sindano..ile sindano ilinifanya nikojoe Sana..keshobyake mchana nikatoka..NIKAKOMA KUNYWA ENERGY NA COKE..Dr alidai Zina madhara kwa Figo na moyo...now Niko poa..
 
Serikali ya Samia ni wakati muafaka sasa kuirudisha TFDA maana TBS imeshindwa kusimamia masuala mazima ya ukaguzi na udhibiti wa ubora wa chakula na vipodozi nchini.

Hivyo kuhatarisha afya za watanzania.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom