Matumizi ya E-mail kuchepuka

Mambo yote gb whatsap tu huku kwingine uzush
 
Mbinu mpya imejulikana Tena...

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Watarudia mbinu za kupiga mawe juu ya bati na mluzi...
ni katika kuhakikisha maovu yanaendelea kufanyika kwa kificho na gizani zaidi
 
yaani umeenda mbali zaidi hadi pdf?, inaonekana wewe ni professional eneo hili ee, ,
maana pdf sie tumezoea tu lile la teuzi na tenguzi lile la Zuhura yunusi,
Kumbe nyie mnatumia for appointment
😂 Kaa kitaalam
 
shetani kitu mbaya sana, anachochea binadamu ili wakachomeke zaidi motoni
kwanh yupo? Vp unapoenda kusex nayeye ana msex my beib?? Umeniacha hoi ngoja nicheke taratibu hahaha hahaha the mixing killaaa
 
Duh
 
kwanh yupo? Vp unapoenda kusex nayeye ana msex my beib?? Umeniacha hoi ngoja nicheke taratibu hahaha hahaha the mixing killaaa
yaani ata ukinywa bia 4 useme sasa uondoke nyumbani anakuzonga na upepo wa kisulisuli eti uongeze 2 for the road.....

ata ukiwa na mchepuko anakushawishi uvuke mipaka uwe firauni uingie kwenye kundi lake baya zaidi....

Hapo kiroho unajua kabisa motroo wako wa jehanam unaongezwa tena ni wa mawe yailiyoshika moto hadi mekundu....

Shetani kitu mbaya sana aise
 
Noted my future hubby umekwisha asantee [emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…