WaoooRelaaaaax, tunachangamsha jukwaa hapa.
Hamna wa kumzidi mume wangu, he is the best man ever.
Ananifikisha safari zangu nnapotaka, nje nikagundue nini? Hii ni Jf tunachangamsha genge.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WaoooRelaaaaax, tunachangamsha jukwaa hapa.
Hamna wa kumzidi mume wangu, he is the best man ever.
Ananifikisha safari zangu nnapotaka, nje nikagundue nini? Hii ni Jf tunachangamsha genge.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kubwa kulikoMi ex wangu nimempa mbwinu ya kunitumia text, picha, nk jamiiforums kwenye pm, bas wife akitaka kunichunguza akifungua tu asome text anakutana na mada za rikboy tundakimasihara anaishia hapohapo na kuniambia mmewangu mnafaidi na mm niunganishe na mwambia kujiunga jf laki mbili na kila mwez laki mana ni mtandao wa maboss, madon maskin hatumii jf kutokana na gharama bas wife anatulia nachukua simu yangu naendelea chati na mchepuko
Umemkuta bikira?Naangakia haya for 17 years, na aina ugonjwa, ila namjali, nampa kila kitu anataka, siku akiharibu hana cha kujitetea.
Watu wapo serious humu😂 si mchezo
aloooh😂😂 humu jf ni sehemu pa kujifunza kwanza, nilishika simu ya dem mmoja anajifanya mjanja nikashika simu yake nikawasha google timeline ,😂 google map inanimbia alitoka wapi kwenda wapi sa ngapkwauda gani na usafiri ghan mm na mchora tuWatu wapo serious humu
Unaweza jua wanachekesha ila ndo mambo wanayoyafanya 😂😂😂😂
Duuuh hiyo ya google location...🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌aloooh😂😂 humu jf ni sehemu pa kujifunza kwanza, nilishika simu ya dem mmoja anajifanya mjanja nikashika simu yake nikawasha google timeline ,😂 google map inanimbia alitoka wapi kwenda wapi sa ngapkwauda gani na usafiri ghan mm na mchora tu