WaoooRelaaaaax, tunachangamsha jukwaa hapa.
Hamna wa kumzidi mume wangu, he is the best man ever.
Ananifikisha safari zangu nnapotaka, nje nikagundue nini? Hii ni Jf tunachangamsha genge.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kubwa kulikoMi ex wangu nimempa mbwinu ya kunitumia text, picha, nk jamiiforums kwenye pm, bas wife akitaka kunichunguza akifungua tu asome text anakutana na mada za rikboy tundakimasihara anaishia hapohapo na kuniambia mmewangu mnafaidi na mm niunganishe na mwambia kujiunga jf laki mbili na kila mwez laki mana ni mtandao wa maboss, madon maskin hatumii jf kutokana na gharama bas wife anatulia nachukua simu yangu naendelea chati na mchepuko
Umemkuta bikira?Naangakia haya for 17 years, na aina ugonjwa, ila namjali, nampa kila kitu anataka, siku akiharibu hana cha kujitetea.
Watu wapo serious humuπ si mchezo
alooohππ humu jf ni sehemu pa kujifunza kwanza, nilishika simu ya dem mmoja anajifanya mjanja nikashika simu yake nikawasha google timeline ,π google map inanimbia alitoka wapi kwenda wapi sa ngapkwauda gani na usafiri ghan mm na mchora tuWatu wapo serious humu
Unaweza jua wanachekesha ila ndo mambo wanayoyafanya ππππ
Duuuh hiyo ya google location...ππππππππππalooohππ humu jf ni sehemu pa kujifunza kwanza, nilishika simu ya dem mmoja anajifanya mjanja nikashika simu yake nikawasha google timeline ,π google map inanimbia alitoka wapi kwenda wapi sa ngapkwauda gani na usafiri ghan mm na mchora tu