Matumizi ya E-mail kuchepuka

Matumizi ya E-mail kuchepuka

Mambo yanabadilika sana ndugu. Sasa ivi kwa wenye ndoa na wachumba sugu hutumia email kustuana na na kupeana appointment za kunyanduana au kukutana lakini pia kutumiana picha na meseji za mapenzi.
Hii ni kutokana na uelewa mdogo baina ya wanandoa au wachumba juu ya matumizi ya email ha vivyo basi njia hii kuonekana ni salama zaidi.

Wanandoa na wachumba wanaoruhusu simu zao zitumiwe na wenzi wao, hawaweki password WhatsApp na sehemu nyingine zote. Umeshawahi kufungua sehemu ya email ambayo wengi huwa hawana habari nayo?

Michepuko wa sasa huelekezana jinsi ya kutumia email kukwepa ufichuzi wa wenza wao wasio na uelewa wa matumizi ya email.

Mimi hata watumie radio call, atashikwa tu
 
Ki vyovyote mkuu..??
Kuna njia zingine ni ngumu kugundua au wee ni mtundu wa kutumia simu ..

Nakueleza, mimi hapa nilipo nikiwasha laptop, napata raman ya mji mzina na ninaona mke wangu yupo wapi kwenye google map, na hajui. Na miaka yangu 55 siachi gap, maana shemeji yenu mdogo sana.

Na ina sevu hizo route, nikitaka review tarehe 9 January alienda wapi na wapi, naona. Yani hata wawasiliane na makopo na bomba katikati, kushikwa atashikwa tu.
 
Nakueleza, mimi hapa nilipo nikiwasha laptop, napata raman ya mji mzina na ninaona mke wangu yupo wapi kwenye google map, na hajui. Na miaka yangu 55 siachi gap, maana shemeji yenu mdogo sana.
Unajitafutia magonjwa ya Moyo, binadamu hachungwi Kama kuku.

Halafu Kwa akili zetu wanawake anaweza kutoka, simu akaiacha Kwa mtu unayemwamini na akafanya yake....binadamu hachungwi.
 
Unajitafutia magonjwa ya Moyo, binadamu hachungwi Kama kuku.

Halafu Kwa akili zetu wanawake anaweza kutoka, simu akaiacha Kwa mtu unayemwamini na akafanya yake....binadamu hachungwi.

Kwa hao wanaume wenu mafala, Hata hapo kwa rafiki si itasoma tu, wewe uelewi nachosema, na hujui, basi tu mnajiona wajanja, ila kwangu lazima nikushike tu.
 
Back
Top Bottom