Matumizi ya E-mail kuchepuka

Matumizi ya E-mail kuchepuka

Ngoja nisikusanue... Ila trust me ukute anajua unamfuatilia na ana mbinu zake za kukuepuka.
Binadamu hachungwi

Hajui, maana wananiteta sana na Mama yake, vibaya mno, mno, Mama anamwambia jitahidi basi unitumie hela, tafuta namna huyo mwanaume hawezi kukunyima, naona zote...

Naona text anatongozwa mpaka na ndugu zangu, naona mpaka wakati mwingine anawaambia watu wanaomtongoza, mimi nimerizika na mume wangu.

Naona vitu ambavyo angekua naona asingekuwa na amani kabisa, mengine ananitukana na ma best zake kiaina, etc.
 
Shkamo, Una moyo hasa.....Ila huyo unamtafutia angle ya kumuacha au wewe kujidhuru.....huwezi kumchunguza bata hivo huku unapenda nyama yake.....too much
 
Hapana, nampenda sana, nilianza mchunguza nilipoenda nje kwa miaka 4 on and off, hapo ndo nikiset mitambo.

Dhambi pekee nitakayimhesabia mke wangu ni kulala na mwanaume, mengine yote nitavumilia.
 
Back
Top Bottom