Angalau wametuona sisi wa ChakeChake....Big up sana Chief Hangaya...
Pemba ina wakazi wasiozidi laki tano ila inapokea fedha kwa mabilioni kuizidi hata Dar yenye wakazi karibu milioni saba.
Ndio Mambo yaliyomchafua Roho Spika Mstaafu mpaka akajiuzulu
Tanzania ni zaidi ya kuchafukwa kwake roho.....Ndio Mambo yaliyomchafua Roho Spika Mstaafu mpaka akajiuzulu
Pemba ina wakazi wasiozidi laki tano ila inapokea fedha kwa mabilioni kuizidi hata Dar yenye wakazi karibu milioni saba.
KHAÀPemba oyeeee! Kojani oyeeee! Mwana kwerekwe oyeeee! Chake chake oyeee! Mchamba wima oyeeee! Zanzibar oyeeee!!
Chifu Hangaya oyeee! Mpemba Mimi oyeee!! @Abdalla mpemba oyeee! Ali Kombo oyeee! Makame oyeee!
Hapo Mwanza na Tanga zimewekwa kama geresha. Huo msaada ni wa Pemba. Wakatafune Halwa
Huyu SSH anajaribu kila njia, kila janjajanja kupeleka pesa nyingi zaidi ya inavyotakiwa nyumbani. Hakuna uwiano wowote wa idadi ya watu na kiasi cha pesa kinachopelekwa.
Kungekuwa na formula ya kuamua haya mambo sio mtu mmoja kujiamulia atakavyo. Kuweka Mwanza na Tanga ni kutaka kuwazuga Watu.
Ni bora tu hii mikopo yake yote awe anapeleka Zanzibar, ila kwenye kulipa wasikimbie.
Je huku kwetu MAKUNDUUCHI tutapata chuma ngapi[emoji15][emoji15]Zamu ya mchamba wima.
Hivi sisi wa ,Mapumbavu haya ni kuyasaka na kupiga pini.
Uhuru wa Maoni ukiachwa kwa wapuuzi una gharama ya upotoshaji na uchochezi.
Mama usiwachekee Hawa wapuuzi.
Mbona unateseka wazanzibari kukopewa??? Watu wa sampuli kama wewe ndiyo maana hamuendelei. Huu mkopo umewauma sana.
Hebu nikuulize, je, awamu zilizopita nchi ipi ilineemeka na mikopo/misaada kutoka nje kati ya zanzibar na Tanzania bara??
Dar umeiona hapo??Pemba ina wakazi wasiozidi laki tano ila inapokea fedha kwa mabilioni kuizidi hata Dar yenye wakazi karibu milioni saba.
Ni cabinet ya Kigoma?! Mbwa koko wewe.Hawapendi kwao sijui Wana shida gani,toka enzi za Mwendazake wamejaa kwe cabinet lakini hopeless kabisa..
Sio mkopo tu huu muungano hauna faida yoyote kwa Watanganyika, angalia, ardhi, ajira, attitude zenu kwa Watanganyika.
Mtanganyika anapata haki Kenya, Uganda kuliko Zanzibar. Tuuvunje tubaki wote EAC. Tutakuwa tunakutana huko.
Issue sio sana mkopo, mtalipa kwa kiwango hichohicho mnachopewa?
Hujui maendeleo yangu wewe, hakuna anayeteseka. Jikite kwenye mada. Kama huwezi usini-quote.
Inaitwa jamii forum for a reason where we dare to talk openly.
Muhimu tuuvunje huu Muungano mkope mnavyotaka.
Hebu nikuulize, je, awamu zilizopita nchi ipi ilineemeka na mikopo/misaada kutoka nje kati ya zanzibar na Tanzania bara??