Matumizi ya hela za EU ni zamu ya Pemba

Sukuma gang mmefura hatari. Hakuna namna kuweni wapole tu. Sukuma gang sahauni kurudi ikulu tena.
Labda jeshi lichukue nchi lakini sisi wananchi wenye nia njema na tz hatuwezi kuwaachia nchi ukoo wa kikwete habadani
 
SWALI WADAU:
Nilimsikia rais wa huo umoja pesa ilikotoka akisema Tanzania ni kati ya nchi ambayo unufaika na huo mgao.

Ila kuna watu hapa wanamshukuru Rais Samia as kama aliomba au kakasimishwa huo mgao,
Why this?.
 
Pemba ina wakazi wasiozidi laki tano ila inapokea fedha kwa mabilioni kuizidi hata Dar yenye wakazi karibu milioni saba.
Kwani umeambiwa itapata shilingi ngapi? Halafu Dar kwa miaka yote hiyo imepata jumla ya ngapi kuliko mikoa mingine?
 
Mbona yule kichaa alikuwa anapeleka hela Chato bila taarifa lkn hamkusema?

Pemba ni sehemu ya Tanzania acheni ujinga

Yule mwehu alidiriki hata kubeba wanyama toka Serengeti N.P kwenda Chato lkn mlikaa kimya
Umeongea point.
 
Pemba ina wakazi wasiozidi laki tano ila inapokea fedha kwa mabilioni kuizidi hata Dar yenye wakazi karibu milioni saba.
Nyie si mnalazimisha Muungano, ndio gharama zake hizo.
 
Mbona yule kichaa alikuwa anapeleka hela Chato bila taarifa lkn hamkusema?

Pemba ni sehemu ya Tanzania acheni ujinga

Yule mwehu alidiriki hata kubeba wanyama toka Serengeti N.P kwenda Chato lkn mlikaa kimya
Daraja la Busisi linaendelea vizuri sana kwa kweli.
 
Mbona yule kichaa alikuwa anapeleka hela Chato bila taarifa lkn hamkusema?

Pemba ni sehemu ya Tanzania acheni ujinga

Yule mwehu alidiriki hata kubeba wanyama toka Serengeti N.P kwenda Chato lkn mlikaa kimya
Pemba ni sehemu ya nchi ya Zanzibar achen ukipofu.
 
Hawajakuambia ni sukuma gang wazee wa sukuma phobia?
 
Itakuwa vizuri, sasa ni wakati wenu wa kupigania sana uvunjike. Marais wote ni wenu. Sisi Watanganyika tutawapa ushirikiano wote unaohitajika. Ni wakati muafaka, hii style ya Muungano imepitwa na wakati.

Sioni harakati zenu kama hapo awali.
Siku za muungano zinahesabika.
 
Reactions: lum
Majimbo ndio mwarobaini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…