Matumizi ya hela za EU ni zamu ya Pemba

Matumizi ya hela za EU ni zamu ya Pemba

love life live life

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2021
Posts
2,584
Reaction score
3,051
Sasa ni zamu ya pemba.

kuimarisha.jpeg
 
Mama awe anamkumbuka na makamu wake.

Ingependeza “Pemba” iende na “Kigoma”
Watu wa Kigoma ni washamba na wapuuzi Sana.Wako.wengi serikalini,wasanii,Wana michezo,wanasiasa na mawaziri hadi vp lakini hadi kesho kwao kumejaa mavumbi.

Hawapendi kwao sijui Wana shida gani,toka enzi za Mwendazake wamejaa kwe cabinet lakini hopeless kabisa..

Kama hawajui lobbying na hawajali kwao nani wa kuwasemea?
 
Umeongea kwa hisia sana bro , Chillax
 
Back
Top Bottom