love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Sasa ni zamu ya pemba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nimechagua kuiona pemba tu.Wacheni ubaguzi wa kijinga kwa hiyo hiyo mwanza na tanga hukuziona
Pemba ni nyubani.Pemba ina wakazi wasiozidi laki tano ila inapokea fedha kwa mabilioni kuizidi hata Dar yenye wakazi karibu milioni saba.
Zamu ya mchamba wima.Wasitusahau na sisi watu wa Kojani! Tunazisubiria kwa hamu.
Jina lako linasadikiWacheni ubaguzi wa kijinga kwa hiyo hiyo mwanza na tanga hukuziona
Angalau wametuona sisi wa ChakeChake....Big up sana Chief Hangaya...Wasitusahau na sisi watu wa Kojani! Tunazisubiria kwa hamu.
hahaha!Jina lako linasadiki
Mapumbavu haya ni kuyasaka na kupiga pini.Wacheni ubaguzi wa kijinga kwa hiyo hiyo mwanza na tanga hukuziona
Kwa hiyo unashauri nini?Pemba ina wakazi wasiozidi laki tano ila inapokea fedha kwa mabilioni kuizidi hata Dar yenye wakazi karibu milioni saba.
Watu wa Kigoma ni washamba na wapuuzi Sana.Wako.wengi serikalini,wasanii,Wana michezo,wanasiasa na mawaziri hadi vp lakini hadi kesho kwao kumejaa mavumbi.Mama awe anamkumbuka na makamu wake.
Ingependeza “Pemba” iende na “Kigoma”
Ukweli unauma..Mapumbavu haya ni kuyasaka na kupiga pini.
Uhuru wa Maoni ukiachwa kwa wapuuzi una gharama ya upotoshaji na uchochezi.
Mama usiwachekee Hawa wapuuzi.
Ukweli gani sasa? Upotoshaji ndio unauma sio ukweli.Ukweli unauma..
Umeongea kwa hisia sana bro , ChillaxWatu wa Kigoma ni washamba na wapuuzi Sana.Wako.wengi serikalini,wasanii,Wana michezo,wanasiasa na mawaziri hadi vp lakini hadi kesho kwao kumejaa mavumbi.
Hawapendi kwao sijui Wana shida gani,toka enzi za Mwendazake wamejaa kwe cabinet lakini hopeless kabisa..
Kama hawajui lobbying na hawajali kwao nani wa kuwasemea?
NakaziaPemba ina wakazi wasiozidi laki tano ila inapokea fedha kwa mabilioni kuizidi hata Dar yenye wakazi karibu milioni saba.