Matumizi ya kiingereza: "Somehow" na "Somewhat"

Nafikiri kwa kushindwa kutufundisha kizungu kwa kiswahili fasaha, yaweza kumaanisha kuwa amegoogle kupata tofauti ya maneno hayo na asingeweza kupata maana halisi ya maneno hayo na tofauti zake kwa lugha tofauti.
Samahani kwa kushindwa kueleza kwa kiswahili kizuri. Nilivyosema, kiingereza ni lugha yangu ya kwanza. Shuleni nilijifunza kidogo cha kispanya, kiswahili ndicho cha tatu.
 
Habari gani jamani. Mimi ni mmarekani aliyeishi Tanzania miaka miwili kuanzia 2014 mpaka 2016. Nimejiunganisha na jamii forums hivi karibuni tu lakini... Samahani nimechelewa. Basi...

Wakati nilikuwa kule, nilisikia sana kosa dogo moja la kiingereza. Niliona kwamba, kati ya kiingereza cha Marekani na kile cha Tanzania, matumizi ya "somehow" na "somewhat" kumbe yamegeuka. Kabla sijatoa mifano, nitafsiri hayo maneno kwa maana zao sahihi:

SOMEHOW: kwa jinsi fulani (tukumbuke kwamba "how" ndiyo "vipi" kwa kiswahili)
SOMEWHAT: kiasi fulani, kidogo

KIINGEREZA CHA TANZANIA (ambacho napendekeza si sahihi):

"It is somehow cold today" (Ni baridi kwa jinsi fulani leo) - lugha mbovu, hatueleweani
"It is somehow a problem" (Ni tatizo kwa jinsi fulani) - lugha mbaya sana, ina maana gani hiyo?

KILICHO SAHIHI ZAIDI (tutumie "somewhat" badala ya "somehow")

"It is somewhat cold today" (Ni baridi kiasi fulani leo) - lugha nzuri
"It is somewhat of a problem" (Ni tatizo dogo) - nzuri tu, tunaeleweana
"Somehow, I was able to get to work on time" (Kwa jinsi fulani, niliweza kufika kazini mapema) - matumizi mazuri ya "somehow"

Je, tumeelewa? Kama kuna maswali nitayajibu.

Mwlsamwel

Umeandika kutumia "It is somehow cold today." na "It is somehow a problem." ni makosa.

"It is somehow cold today" na "It is somehow a problem" ni sentensi ambazo hazina makosa kama zilivyo, labda kama zimetumika pasipotakiwa, au kwa muktadha usiofaa.

Nitatoa mfano.

Umeenda sehemu uliyotegemea iwe na joto kwa kufuatilia ratiba za hali ya hewa, ukakuta sehemu haina joto, na inaanza kuwa na baridi ambalo hujalielewa.

Hapo unaweza kusema "It is somehow cold today". Yani kuna jinsi fulani imetokea ikafanya sehemu hii ambayo ilitegemewa kuwa na joto iwe na baridi, sijui ni pepo za kusi, sijui ni maumbile ya kijiografia, lakini kuna namna fulani imefanya pawe baridi,ingawa sijui ni nini kimefanya pawe na baridi.

It is somehow cold today.

"It is somehow a problem".

I like this girl, I respect her. I greet her with all the verve and fanfare of an adoring fan.

Yet to her, it is somehow a problem.

Kwake hata kumsalimia kwa bashasha zote, ni tatizo.

Sijui ana kisirani, sijui hapendi kuongeleshwa, sijui anachukia sura yangu, lakini najua nikimsalimia ananikasirikia.

It is somehow a problem.

Somehow inatumika unapoongelea how.

Somewhat inatumika unapoongelea what

Somewhat inatumika kuongelea extent.

Leo ni baridi, lakini si baridi sana. It is not too hot, actually it is somewhat cold today.

Hapa kazini kuna kitatizo, lakini sitatizo sana.

I couldn't get in, my pass badge is not working, it is somewhat of a problem, but I will call my boss and he will get me in.
 
Nenda kwa google. Ingiza "define: somewhat" na "define: somehow". Hivyo utasoma malinki mengi mengi tu ya makamusi kote kote mtandaoni. Yote yanakubaliana kuhusu maana ya hayo maneno mawili. Unafikiri kila kitu kilichopo kwenye intaneti ni uwongo, kisipokuwa kwenye kitabu cha maktaba?
google sio reliable source.
 
"It is somehow cold today" na "it is somehow a problem" ni sentensi ambazo hazina makosa kama zilivyo, labda kama zimetumika pasipo,kwa muktadha usiofaa.

Nitatoa mfano.

Umeenda sehemu uliyotegemea iwe na joto kwa kufuatilia ratiba za hali ya hewa, ukakuta sehemu haina joto, na inaanza kuwa na baridi ambalo hujalielewa.

Hapo unaweza kusema "It is somehow cold today". Yani kuna jinsi fulani imetokea ikafanya sehemu hii ambayo ilitegemewa kuwa na joto iwe na baridi, sijui ni pepo za kusi, sijui ni maumbile ya kijiografia, lakini kuna namna fulani imefanya pawe baridi,ingawa sijui ni nini kimefanya pawe na baridi.

It is somehow cold today.

"It is somehow a problem".

I like this girl, I respect her. I greet her with all the verve and fanfare of an adoring fan.

Yet to her, it is somehow a problem.

Kwake hata kumsalimia kwa bashasha zote, ni tatizo.

Sijui ana kisirani, sijui hapendi kuongeleshwa, sijui anachukia sura yangu, lakini najua nikimsalimia ananikasirikia.

It is somehow a problem.

Somehow inatumika unapoongelea how.

Somewhat inatumika unapoongelea what

Somewhat inatumika kuongelea extent.

Leo ni baridi, lakini si baridi sana. It is not too hot, actually it is somewhat cold today.

Hapa kazini kuna kitatizo, lakini sitatizo sana.

I couldn't get in, my pass badge is not working, it is somewhat of a problem, but I will call my boss and he will get me in.

Fantastic examples... Asante sana kwa mifano yako mizuri sana. Nakubali kwamba inakubalika kutumia "somehow" kumaanisha matofauti kati ya ukweli na matumaini. Tena mwishoni umeonyesha kwamba umeelewa vizuri ujumbe wangu: kwamba "somehow" haina maana ya "kidogo"--ni bora kutumia "somewhat" hapo.
 
Samahani kwa kushindwa kueleza kwa kiswahili kizuri. Nilivyosema, kiingereza ni lugha yangu ya kwanza. Shuleni nilijifunza kidogo cha kispanya, kiswahili ndicho cha tatu.
Samahani nilikuwa narejea kwa post Ard67 alivyo mnukuu Tabby kwenye post #32. Wewe umetufundisha kizungu kwa kiswahili safi na tabby ndiye hakufanya vizuri kama wewe ndiyo maana nikasema yawezekana amegoogle!
 
Huu umekuwa mjadala mzuri sana na nimejifunza mengi sana. Asante sana mleta mada!
 
Napendelea kutokusema jina la mtaa lenyewe, lakini ukinitambulisha kwake rafiki yako, nitapenda kuongea naye.

Hapo sijakuelewa... najua mchanga ni kile unachokikuta baharini. Unauliza kama nimewahi kula tumbo?

Nafikiri tumetoka mbali na somo la kiingereza. Tafadhali turudi, jamani.
Wee jamaa yaani kama mzungu kweli,kumbe mdogo ake Afande Sele Dumila.

Yote ya yote Uzi wako yan Full Mass indoor(fulu masondo)[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Haya mmarekani !!
Asante kwa kujitambulisha hivyo kwa uzi wa kwanza kwenye hii acaunt mpya
"Acaunt" lugha mbaya

"Account" lugha nzuri

Wewe si mmarekani, eeh?
 
...KILICHO SAHIHI ZAIDI (tutumie "somewhat" badala ya "somehow")

"It is somewhat cold today" (Ni baridi kiasi fulani leo) - lugha nzuri
"It is somewhat of a problem" (Ni tatizo dogo) - nzuri tu, tunaeleweana
"Somehow, I was able to get to work on time" (Kwa jinsi fulani, niliweza kufika kazini mapema) - matumizi mazuri ya "somehow"

Je, tumeelewa? Kama kuna maswali nitayajibu.
Mwalimu unapoteza.
 
Mwlsamwel

Umeandika kutumia "It is somehow cold today." na "It is somehow a problem." ni makosa.

"It is somehow cold today" na "It is somehow a problem" ni sentensi ambazo hazina makosa kama zilivyo, labda kama zimetumika pasipotakiwa, au kwa muktadha usiofaa.

Nitatoa mfano.

Umeenda sehemu uliyotegemea iwe na joto kwa kufuatilia ratiba za hali ya hewa, ukakuta sehemu haina joto, na inaanza kuwa na baridi ambalo hujalielewa.

Hapo unaweza kusema "It is somehow cold today". Yani kuna jinsi fulani imetokea ikafanya sehemu hii ambayo ilitegemewa kuwa na joto iwe na baridi, sijui ni pepo za kusi, sijui ni maumbile ya kijiografia, lakini kuna namna fulani imefanya pawe baridi,ingawa sijui ni nini kimefanya pawe na baridi.

It is somehow cold today.

"It is somehow a problem".

I like this girl, I respect her. I greet her with all the verve and fanfare of an adoring fan.

Yet to her, it is somehow a problem.

Kwake hata kumsalimia kwa bashasha zote, ni tatizo.

Sijui ana kisirani, sijui hapendi kuongeleshwa, sijui anachukia sura yangu, lakini najua nikimsalimia ananikasirikia.

It is somehow a problem.

Somehow inatumika unapoongelea how.

Somewhat inatumika unapoongelea what

Somewhat inatumika kuongelea extent.

Leo ni baridi, lakini si baridi sana. It is not too hot, actually it is somewhat cold today.

Hapa kazini kuna kitatizo, lakini sitatizo sana.

I couldn't get in, my pass badge is not working, it is somewhat of a problem, but I will call my boss and he will get me in.
Mimi nmegundua sio mtalaam ila huenda nimzungumzaji
 
Kwa mtu aliyekulia anaongea Kiswahili, na hana kipaji na ufuatiliaji kuhusu lugha, kujifunza Kiingereza fasaha baadaye kunaweza kuwa kugumu, kwa sababu ni kama kujifunza lugha yenye makosamakosa mengi.

Kiswahili kimenyooka sana, kina sheria za sarufi na matamshi ambazo zinapinda sehemu chache sana.

Kiingereza sheria zake za sarufi na matamshi ni kama nusu ya lugha inafuata sheria, na nusu nyingine imepinda.

Kwa hiyo, kwetu tuliozoea lugha iliyonyooka, kujifunza lugha iliyopindapinda ukubwani inakuwa vigumu sana.
 
Hapa nakubali. Kiswahili kimenyooka sana, na sheria zake za sarufi, mwandiko, na mtamsho ni nzuri kabisa. Kuna mambo machache sana nje ya hizo sheria. Ndiyo sababu ninapenda sana kujifunza kiswahili kuliko kispanya au kijerumani!
 
Back
Top Bottom