Pateni Exposure madogo, tembeeni nchi kama INDIA, NIGERIA, SOUTH AFRICA, Nk.Una IQ ndogo waache wenye IQ kubwa wajadili suala hili
sauti inatosha kabisa bro ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐Pateni Exposure madogo, tembeeni nchi kama INDIA, NIGERIA, SOUTH AFRICA, Nk.
Usaili unafanya na unaruhusiwa kuchanganya Lugha nyingine, mfano SA unaweza ongea English na ukachanganya na Kizulu nk.
Unashindwa nn kuelezea mfumo wa kitu fulani unavyofanya kazi kisa lugha? Mbona tumesoma BIOLOGY na tunatumia maneno ya KIGIRIKI kibao tu.
Acheni kukariri na ndio maana mnakosa ajira.
Ina maana akitokea mtu asiyejua lolote kuhusu kada yako na hajui kiingereza utashindwa kumuelezea kipi hasa ulichosomea na kinahusika na nini.
WAPUMBAVU.
Jamaa ni wajinga kweli, yaan wao wanakariri misamiati ndio wanaona kama wanajua. Mm fani ni mhasibu na ukiniuliza chochote nitakuelekeza na utajua iwe kiswahili au Kiingereza lazima utaelewa.sauti inatosha kabisa bro [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kwani utumishi wao kwa sasa wanatumia kiswahili mkuu??Jamaa ni wajinga kweli, yaan wao wanakariri misamiati ndio wanaona kama wanajua. Mm fani ni mhasibu na ukiniuliza chochote nitakuelekeza na utajua iwe kiswahili au Kiingereza lazima utaelewa.
Na hakuna kitu nafurahi kama kuelewa nilichosoma na sio kukariri. Yaan mtu anaelewa kabisa hiko kitu ila kuweka katika kiingereza ni ishu so kwann asiruhusiwe kutumia kiswahili katika kurahisisha kueleweka kwake??
Serikali imeajiri wapumbavu wengi kila kukariri maana ya kitu (definition) wakati kiuhalisia hana analojua.
Ndio unaruhusiwa kutumia na kiswahiliKwani utumishi wao kwa sasa wanatumia kiswahili mkuu??
Jamaa ni wajinga kweli, yaan wao wanakariri misamiati ndio wanaona kama wanajua. Mm fani ni mhasibu na ukiniuliza chochote nitakuelekeza na utajua iwe kiswahili au Kiingereza lazima utaelewa.
Na hakuna kitu nafurahi kama kuelewa nilichosoma na sio kukariri. Yaan mtu anaelewa kabisa hiko kitu ila kuweka katika kiingereza ni ishu so kwann asiruhusiwe kutumia kiswahili katika kurahisisha kueleweka kwake??
Serikali imeajiri wapumbavu wengi kila kukariri maana ya kitu (definition) wakati kiuhalisia hana analojua.
Hakuna kitu ukashindwa elezea kwa kiswahili ww PIMBI, vinginevyo umekariri, mimi najua kwa ufasaha lugha 5.Sad...
napata feeling wewe ndio wale watu lugha haipandi unakazana kishwahili kiwe kila mahali... wakati ukweli kiswahili bado kinakuwa hakina misamiati ya kutosha
Kuna MNCs brother utatumia kishwahili?
Pia punguza matusi unajichoresha wewe brainless hamster
Na Kama umesoma vzr kwa nn unataka kutafasiri? Ugumu unaupata vp wakat ulifaulu kwa hyo lughaKama umesoma na umeelewa KOZI yako hauwezi kupata shida.
Kumbe ni Mmakonde? No wonder uko hivyoHakuna kitu ukashindwa elezea kwa kiswahili ww PIMBI, vinginevyo umekariri, mimi najua kwa ufasaha lugha 5.
1. Kiswahili
2. Kiingereza
3. Kireno
4. Kidanish
5. Kimakonde.
Wewe hujafika hata Burundi hapa unataka kusema hujui kujieleza kiswahili, acha ushamba dogo. Watu tumeishi nje ya Afrika na tunaongea Kiswahili hata utuulize nini.
Mtu akikuuliza software fulani inafanyaje kazi wewe kwa ujinga wako utashindwa elezea??
Au tuseme umeulizwa RAM kazi yake ni nini wewe huwezi elezea mtu akaelewa??
Acha ushamba, tafuta Passport katoe ushamba boya wewe.
Software engineer anaulizwa RAM kazi yake nini tuko primary au?Hakuna kitu ukashindwa elezea kwa kiswahili ww PIMBI, vinginevyo umekariri, mimi najua kwa ufasaha lugha 5.
1. Kiswahili
2. Kiingereza
3. Kireno
4. Kidanish
5. Kimakonde.
Wewe hujafika hata Burundi hapa unataka kusema hujui kujieleza kiswahili, acha ushamba dogo. Watu tumeishi nje ya Afrika na tunaongea Kiswahili hata utuulize nini.
Mtu akikuuliza software fulani inafanyaje kazi wewe kwa ujinga wako utashindwa elezea??
Au tuseme umeulizwa RAM kazi yake ni nini wewe huwezi elezea mtu akaelewa??
Acha ushamba, tafuta Passport katoe ushamba boya wewe.
Sishauri hili kabisaJamani Mnaonaje matumizi ya Kiswahili katika usaili wa kaziโฆ.toa maoni yako
Make nimecheka hapa ofisiniNi sawa na kubadirisha gia angani..!!! Siwezi fundishwa kwa kiingereza then uje unisaili kwa kiswahili..!!! Hii inatakiwa ianzie darasani. Mfano leo hii ukiulizwa jinsi MFULUMBATO unavyofanya kazi, bila desa hapo ulipo utaweza..!? Lakini huo huo MFULUMBATO ukitajiwa kwa kiingereza, mbona utaseleleka..!
NB. Kutumia lugha yako inatakiw uwe na nguvu kiuchumi
Umemaliza kila kituSishauri hili kabisa
Wakiruhusu ni kama tunajikata kutoka kwenye international community and business
Kutatokea disconnect kati ya Private Sector na Public Sector...
Kutakua na nchi mbili ndani ya nchi moja....
Hakuna Private Sector inataka Kiswahili kwenye company operations
Nachoona serikali inaweza kufuata maana serikali hua inafuata kile wajinga wanachotaka kwasababu hua ni wengi na wao ndio wapiga kura
Hivyo govt itaendeshwa kwa pure Kiswahili na private sector itakua ni pure English.....very big disconnect
Huna nchi hapo....una nchi ya wenye akili,sophisticated,globally sensitive na nchi ya wajinga ambao ndio wengi ambao ndio wapo kwenye maofisi ya serikali
Sidhani kama umeelewa mada, rudia kusoma upya, ndo uje na hoja za akili mbugila wewePateni Exposure madogo, tembeeni nchi kama INDIA, NIGERIA, SOUTH AFRICA, Nk.
Usaili unafanya na unaruhusiwa kuchanganya Lugha nyingine, mfano SA unaweza ongea English na ukachanganya na Kizulu nk.
Unashindwa nn kuelezea mfumo wa kitu fulani unavyofanya kazi kisa lugha? Mbona tumesoma BIOLOGY na tunatumia maneno ya KIGIRIKI kibao tu.
Acheni kukariri na ndio maana mnakosa ajira.
Ina maana akitokea mtu asiyejua lolote kuhusu kada yako na hajui kiingereza utashindwa kumuelezea kipi hasa ulichosomea na kinahusika na nini.
WAPUMBAVU.
Kasema kweli bhana. Ishu sio softweea ishu ni jinsi unavojieleza bobSoftware engineer anaulizwa RAM kazi yake nini tuko primary au?
Samahani mkuu kwani na wewe unafanya kazi kwenye serikali ya Tz, halafu wewe ni muhasibu uko certified kabisa? ๐
Mhasibu wa mchongo huyo, [emoji706][emoji706]Software engineer anaulizwa RAM kazi yake nini tuko primary au?
Samahani mkuu kwani na wewe unafanya kazi kwenye serikali ya Tz, halafu wewe ni muhasibu uko certified kabisa? [emoji28]
Kwanini?Make nimecheka hapa ofisini
Mm sio mmakonde ila wazazi wangu walihamia huo miaka na miaka hivyo nami najiona ni mmakonde maana huko kwenye Asili yetu sijawahi hata kuishi.Kumbe ni Mmakonde? No wonder uko hivyo
Hujaelewa mantiki ya hayo maelezo??? Hujaelimika na sina shaka kwanini hujaajiriwa hadi leo.Software engineer anaulizwa RAM kazi yake nini tuko primary au?
Samahani mkuu kwani na wewe unafanya kazi kwenye serikali ya Tz, halafu wewe ni muhasibu uko certified kabisa? [emoji28]