Matumizi ya Kiswahili katika usaili wa kazi

Una IQ ndogo waache wenye IQ kubwa wajadili suala hili
Pateni Exposure madogo, tembeeni nchi kama INDIA, NIGERIA, SOUTH AFRICA, Nk.

Usaili unafanya na unaruhusiwa kuchanganya Lugha nyingine, mfano SA unaweza ongea English na ukachanganya na Kizulu nk.

Unashindwa nn kuelezea mfumo wa kitu fulani unavyofanya kazi kisa lugha? Mbona tumesoma BIOLOGY na tunatumia maneno ya KIGIRIKI kibao tu.

Acheni kukariri na ndio maana mnakosa ajira.

Ina maana akitokea mtu asiyejua lolote kuhusu kada yako na hajui kiingereza utashindwa kumuelezea kipi hasa ulichosomea na kinahusika na nini.

WAPUMBAVU.
 
sauti inatosha kabisa bro 😅😅😅😅😅😅😅
 
sauti inatosha kabisa bro [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Jamaa ni wajinga kweli, yaan wao wanakariri misamiati ndio wanaona kama wanajua. Mm fani ni mhasibu na ukiniuliza chochote nitakuelekeza na utajua iwe kiswahili au Kiingereza lazima utaelewa.

Na hakuna kitu nafurahi kama kuelewa nilichosoma na sio kukariri. Yaan mtu anaelewa kabisa hiko kitu ila kuweka katika kiingereza ni ishu so kwann asiruhusiwe kutumia kiswahili katika kurahisisha kueleweka kwake??

Serikali imeajiri wapumbavu wengi kila kukariri maana ya kitu (definition) wakati kiuhalisia hana analojua.
 
Kwani utumishi wao kwa sasa wanatumia kiswahili mkuu??
 
Jamaa ni wajinga kweli, yaan wao wanakariri misamiati ndio wanaona kama wanajua. Mm fani ni mhasibu na ukiniuliza chochote nitakuelekeza na utajua iwe kiswahili au Kiingereza lazima utaelewa.

Na hakuna kitu nafurahi kama kuelewa nilichosoma na sio kukariri. Yaan mtu anaelewa kabisa hiko kitu ila kuweka katika kiingereza ni ishu so kwann asiruhusiwe kutumia kiswahili katika kurahisisha kueleweka kwake??

Serikali imeajiri wapumbavu wengi kila kukariri maana ya kitu (definition) wakati kiuhalisia hana analojua.

Sad...
napata feeling wewe ndio wale watu lugha haipandi unakazana kishwahili kiwe kila mahali... wakati ukweli kiswahili bado kinakuwa hakina misamiati ya kutosha

Kuna MNCs brother utatumia kishwahili?

Pia punguza matusi unajichoresha wewe brainless hamster
 
Hakuna kitu ukashindwa elezea kwa kiswahili ww PIMBI, vinginevyo umekariri, mimi najua kwa ufasaha lugha 5.
1. Kiswahili
2. Kiingereza
3. Kireno
4. Kidanish
5. Kimakonde.

Wewe hujafika hata Burundi hapa unataka kusema hujui kujieleza kiswahili, acha ushamba dogo. Watu tumeishi nje ya Afrika na tunaongea Kiswahili hata utuulize nini.

Mtu akikuuliza software fulani inafanyaje kazi wewe kwa ujinga wako utashindwa elezea??

Au tuseme umeulizwa RAM kazi yake ni nini wewe huwezi elezea mtu akaelewa??

Acha ushamba, tafuta Passport katoe ushamba boya wewe.
 
Kumbe ni Mmakonde? No wonder uko hivyo
 
Software engineer anaulizwa RAM kazi yake nini tuko primary au?

Samahani mkuu kwani na wewe unafanya kazi kwenye serikali ya Tz, halafu wewe ni muhasibu uko certified kabisa? 😅
 
Jamani Mnaonaje matumizi ya Kiswahili katika usaili wa kazi….toa maoni yako
Sishauri hili kabisa

Wakiruhusu ni kama tunajikata kutoka kwenye international community and business

Kutatokea disconnect kati ya Private Sector na Public Sector...

Kutakua na nchi mbili ndani ya nchi moja....

Hakuna Private Sector inataka Kiswahili kwenye company operations

Nachoona serikali inaweza kufuata maana serikali hua inafuata kile wajinga wanachotaka kwasababu hua ni wengi na wao ndio wapiga kura

Hivyo govt itaendeshwa kwa pure Kiswahili na private sector itakua ni pure English.....very big disconnect

Huna nchi hapo....una nchi ya wenye akili,sophisticated,globally sensitive na nchi ya wajinga ambao ndio wengi ambao ndio wapo kwenye maofisi ya serikali
 
Ni sawa na kubadirisha gia angani..!!! Siwezi fundishwa kwa kiingereza then uje unisaili kwa kiswahili..!!! Hii inatakiwa ianzie darasani. Mfano leo hii ukiulizwa jinsi MFULUMBATO unavyofanya kazi, bila desa hapo ulipo utaweza..!? Lakini huo huo MFULUMBATO ukitajiwa kwa kiingereza, mbona utaseleleka..!
NB. Kutumia lugha yako inatakiw uwe na nguvu kiuchumi
Make nimecheka hapa ofisini
 
Sishauri hili kabisa

Wakiruhusu ni kama tunajikata kutoka kwenye international community and business

Kutatokea disconnect kati ya Private Sector na Public Sector...

Kutakua na nchi mbili ndani ya nchi moja....

Hakuna Private Sector inataka Kiswahili kwenye company operations

Nachoona serikali inaweza kufuata maana serikali hua inafuata kile wajinga wanachotaka kwasababu hua ni wengi na wao ndio wapiga kura

Hivyo govt itaendeshwa kwa pure Kiswahili na private sector itakua ni pure English.....very big disconnect

Huna nchi hapo....una nchi ya wenye akili,sophisticated,globally sensitive na nchi ya wajinga ambao ndio wengi ambao ndio wapo kwenye maofisi ya serikali
Umemaliza kila kitu
 
Pateni Exposure madogo, tembeeni nchi kama INDIA, NIGERIA, SOUTH AFRICA, Nk.

Usaili unafanya na unaruhusiwa kuchanganya Lugha nyingine, mfano SA unaweza ongea English na ukachanganya na Kizulu nk.

Unashindwa nn kuelezea mfumo wa kitu fulani unavyofanya kazi kisa lugha? Mbona tumesoma BIOLOGY na tunatumia maneno ya KIGIRIKI kibao tu.

Acheni kukariri na ndio maana mnakosa ajira.

Ina maana akitokea mtu asiyejua lolote kuhusu kada yako na hajui kiingereza utashindwa kumuelezea kipi hasa ulichosomea na kinahusika na nini.

WAPUMBAVU.
Sidhani kama umeelewa mada, rudia kusoma upya, ndo uje na hoja za akili mbugila wewe
 
Software engineer anaulizwa RAM kazi yake nini tuko primary au?

Samahani mkuu kwani na wewe unafanya kazi kwenye serikali ya Tz, halafu wewe ni muhasibu uko certified kabisa? 😅
Kasema kweli bhana. Ishu sio softweea ishu ni jinsi unavojieleza bob

Haya asa mfano kwa jamii za kitanzania ukipewq nafasi ukatoe elimu utawaelezeaje?? na jamii za kitanzania hawajui kiingereza 😅😅😅
 
Software engineer anaulizwa RAM kazi yake nini tuko primary au?

Samahani mkuu kwani na wewe unafanya kazi kwenye serikali ya Tz, halafu wewe ni muhasibu uko certified kabisa? [emoji28]
Mhasibu wa mchongo huyo, [emoji706][emoji706]
 
Software engineer anaulizwa RAM kazi yake nini tuko primary au?

Samahani mkuu kwani na wewe unafanya kazi kwenye serikali ya Tz, halafu wewe ni muhasibu uko certified kabisa? [emoji28]
Hujaelewa mantiki ya hayo maelezo??? Hujaelimika na sina shaka kwanini hujaajiriwa hadi leo.
 
Back
Top Bottom