Matumizi ya kungu

bunited

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2014
Posts
815
Reaction score
216
Jamani wandugu poleni na mapumziko.

Ni hivi,naomba kujua kazi ya kungu ni nini,inaandaliwa vipi,inaliwa na nini ili ifanye kazi vizuri kabisa na uweze kuickia.inapatikana wapi.mwenye kujua naomba anifahamishe tafadhali.

Nawakilisha

 
Sokoni,
inalegeza macho kama mtu kanywa pombe,
inafanya papuchi iwe ya motooooo
inaongeza kama sio kuleta nyegge..
 
naomba kujua maandalizi yafadhali
 
Sokoni,
inalegeza macho kama mtu kanywa pombe,
inafanya papuchi iwe ya motooooo
inaongeza kama sio kuleta nyegge..

Kwani KUNGU na KUNGUMANGA (nutmeg) ni sawa? Wewe umeelezea nutmeg, kikwetu ni vitu tofauti
 
Yaonesha weye kweli hujui kungu ni kitu gani..


Chakula



Kungu lachumwa mtini au waliokota chini liangukapo


Laliwa kwa kutumia meno...


Mtini, chini ya mti au sokoni...

hivi huwa yanafanana na matoke eeh!!
 
jamani wandugu poleni na mapumziko.ni hv,naomba kujua kazi ya kungu ni nn,inaandaliwa vp,inaliwa na nn ili ifanye kazi vzr kabsa na uweze kuickia.inapatikana wapi.mwenye kujua naomba anifahamishe tafadhali.nawakilisha

Wenye utanaka kulegea wenye?eeh!!
 
Yaonesha weye kweli hujui kungu ni kitu gani..


Chakula



Kungu lachumwa mtini au waliokota chini liangukapo


Laliwa kwa kutumia meno...


Mtini, chini ya mti au sokoni...

acha masihara yakhe.tueleweshe wenzio unajua
 
tatizo watu mnapenda masihara.mtu anapouliza kitu badala ya kutoa msaada nyie mnaleta matani.toeni msaada jamani ni muhimu
 
yaan pamoja na picha, bado nimetoka kapa! loh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…