Jamani wandugu poleni na mapumziko.
Ni hivi,naomba kujua kazi ya kungu ni nini,inaandaliwa vipi,inaliwa na nini ili ifanye kazi vizuri kabisa na uweze kuickia.inapatikana wapi.mwenye kujua naomba anifahamishe tafadhali.
Nawakilisha
Ni hivi,naomba kujua kazi ya kungu ni nini,inaandaliwa vipi,inaliwa na nini ili ifanye kazi vizuri kabisa na uweze kuickia.inapatikana wapi.mwenye kujua naomba anifahamishe tafadhali.
Nawakilisha
Kuna kungu aina mbili. kuna kungu tunda linalo chumwa mtini, hili ni la kawaida tunda kama matunda mengine.
Alafu kuna kungu ile wanayotumia wadada hasa wa pwani kama Tanga, Zanzibar hata bara pia watumiaji wameongezeka, hii sio tunda bali ni madini inayopikwa wenyewe wanajua zaidi na inakua kama kashata yenye kung'ara, hii ukila ndo inaregeza macho, inachosha mwili na kumfanya mwanamke aonekane ni mwenye hisia nyingi, na wanatumia ili kumvutia mwanaume, hamna kazi ingine zaidi ya hiyo, km vile mwanamke akivaa shanga kiunoni wala haina faida yyte kwake illa ni kwa lengo la kumvutia mwanaume.
Lakani hii yote ni kwa wale wenye mawazo ya kingono ngono ndo itamvutia, wale wa kuangalia sana muvi za ngono alafu anataka amjaribie mkewe au demu wake wakati wale wanafanya mazoezi mtu kabinuliwa unataka kumbinua mpenzi wako utamvunja kiuno.
Tuacheni mawazo ya ngono, mwanaume asie na mawazo hayo wala hawawezi kushawishika na shanga wala hizo kungu, au sijui bikini, akah, bibi zetu hawakuvaa hizo bikini lakana mbona babu zetu walikua wakivutiwa sana na wanawake wao?
wanaume wote, tuacheni mawazo ya ngono na tufatilie yale yaliokua muhimu kwenye maisha yetu. ni hayo tu
