Matumizi ya ngano yawe mbadala wa ugali Afrika Ili kuondoa Ujinga

Yani Niggers mnapenda na kuendekeza anasa za kula kula tu wakati kulima na kufanya kazi hampendi. Mada za kula nakutomba zimetamalaki sana humu jamvin.

FANYENI KAZI NYIE
Mkuu, UNASEMAA?
 
Watu wanatakiwa wale ngano ,mchele , viazi , mihogo ,ndizi , nyama na mboga za majani + matunda na si kuendekeza upuuzi wa kula ugali wa mahindi chakula cha nguruwe na ng'Ombe
 
Endelea kula ngano Acha wanaokula mahindi waendelee
 
Walevi wangeongoza kuwa na akili nyingi ajabu wanachoweza ni kutosahau nyumbani kwao tu.

Umeuzwa Bei Chee na umeingia wavuni samaki wa Bei Rahisi wewe.
 
Chakula ambacho huwezi kukila peke yake lazima kitegemee chakula kingine ndo kilike,kuna cha kujiuliza hapo, wali unalika peke yake, mkate unalika peke yake, UGALI sasa…., bila mboga, mmmh 😀…., no wonder Africa ni tegemezi kwa sababu ya kula sana ugali 😂
 
Wewe jamaa una matatizo yani unataja mboga kuu nyumba kwangu. Watoto watatu wote masters wajukuu wawili wote ni ktk top five huko walipo mboga nayo kuwa ketu ni nsansa, tembele na nswalu, acha kujfurahisha.
Hii imegusaa penyewe🤣🤣 hii ni forum,
Factors ziko nyingi hii ni moja wapo, kitu kingine nutritional effect inavary kutokana na factor nyingi mfano blood type na genes,

Ndo maana hao watoto wako usidhani kwamba ulivyo walisha mswalu ukadhani ndo umewafanya wawe bipanga kama unavyo dai pengine zaidi ya asilimia 60 ww ndo umewaharibu,

Kingine masters hazidetermine intelligence
 
Yani Niggers mnapenda na kuendekeza anasa za kula kula tu wakati kulima na kufanya kazi hampendi. Mada za kula nakutomba zimetamalaki sana humu jamvin.

FANYENI KAZI NYIE
Kazi yenyewe tunafanya ili tule mkuu. Sasa huwezi kua na maarifa ya kufanya kazi kama unakula kisicho sitahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…