Matumizi ya ngano yawe mbadala wa ugali Afrika Ili kuondoa Ujinga

Matumizi ya ngano yawe mbadala wa ugali Afrika Ili kuondoa Ujinga

Uswahilini ngano ndio chakula yao. Mbona hamna akili kule.akili zipo sawa na za watu wa vijijini.Ni vizuri ingeweka na tafiti ili kuushawishi uma kuwa ugali haufai.
 
Salaam, Shalom!

Mtu alivyo ni matokeo ya chakula anachokula.

Ni Kweli waafrika tunapenda ugali, lakini ugali Hauna faida sana kiafya na kiakili kama ngano,

Sasa tusilalamike tena kusema wazungu Wana akili kutuzidi, tutafute kujua wanakula nini kama tutaukuta ugali.

NB: Ngano iwe brown wheat, isokobolewa, ukitaka ugali, pika ugali wa ngano isokobolewa.

Karne ya ishirini na Moja, Ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia, ulaji wa ugali Hauna nafasi zaidi ya kuongeza ukubwa tu wa miili bila msaada kwenye ubongo na akili.

NB: Si Rahisi kiongozi utumie ngano isiyokobolewa kama chakula Kisha upate mawazo ya kutawala kimabavu Kwa wizi wa kura. Ugali ukomeshwe Africa.

Tanzania na Afrika stand up!!

Karibuni 🙏
Kama ipo ipo tu.Kwani wachina staple food yao ni ngano?
 
Yani Niggers mnapenda na kuendekeza anasa za kula kula tu wakati kulima na kufanya kazi hampendi. Mada za kula nakutomba zimetamalaki sana humu jamvin.

FANYENI KAZI NYIE
kula na kut****mba

kazi na dawa...
Screenshot_20241201-160549.jpg
 
😁😁😁juzi nimeenda kwenye graduation nikawakuta madogo geto wanakula ugali na tomato sauce ndo mboga!
Duh akili huleta maarifa.
Kuna watu wana nunua ubuyu wa rangi kisha wanautia maji wanatengeza sosi la Ubuyu wakiweka na limao linakuwa mtindi wanalia ugali
 
Duh akili huleta maarifa.
Kuna watu wana nunua ubuyu wa rangi kisha wanautia maji wanatengeza sosi la Ubuyu wakiweka na limao linakuwa mtindi wanalia ugali
Huu ugali huu🤣
 
Back
Top Bottom