Mtumishi wa Bwana89
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 3,191
- 4,220
Ila ccm waizi sana wa kura tena bila kificho ila mwisho wao umekaribiaTubadili aina ya vyakula,
Labda tutabadilika na kukataa kuibiwa kura kizembe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila ccm waizi sana wa kura tena bila kificho ila mwisho wao umekaribiaTubadili aina ya vyakula,
Labda tutabadilika na kukataa kuibiwa kura kizembe.
Na hapo ndio umewasanuwa waiba kura ili wapandishe kodi kwenye nganoTubadili aina ya vyakula,
Labda tutabadilika na kukataa kuibiwa kura kizembe.
Hauwezi kukupa hamu ya kusoma vitabu kama hupendi ata ule sufuria zimaSasa ugali haukupi hamu ya kusoma vitabu.
Kula ugali sio tatizo tatizo nipale tunapo hitaji kuwaiga wazungu Kwa Kila wanacho kifanya katika maisha Yao ,na sisi waafrika tunazo akili nyingi tu nasio wajinga ila tu dhana mbovu tulizo jijengea akilini mwetu kuwa hiki hatuwezi ilihali tunaweza pale tunapo amua, wale wazungu pamoja na kuwa Wana sayansi na kula vizuri ila angalia tabia zao mbovu tu akili zao finyu. Mfano juzi Uingereza wabunge walipiga kura za kufupisha vifo vya watu mahututi,walemavu wa akili na wale walio bakiza mda mfupi wa kuishi kulingana na majibu ya daktari na wameshinda wachache walio PingaSalaam, Shalom!!
Mtu alivyo ni matokeo ya chakula anachokula,
Ni Kweli waafrika tunapenda ugali, lakini ugali Hauna faida sana kiafya na kiakili kama ngano,
Sasa tusilalamike tena kusema wazungu Wana akili kutuzidi, tutafute kujua wanakula nini kama tutaukuta ugali.
NB: Ngano iwe brown wheat, isokobolewa, ukitaka ugali, pika ugali wa ngano isokobolewa.
Karne ya ishirini na Moja, Ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia, ulaji wa ugali Hauna nafasi zaidi ya kuongeza ukubwa tu wa miili bila msaada kwenye ubongo na akili.
NB: Si Rahisi kiongozi utumie ngano isiyokobolewa kama chakula Kisha upate mawazo ya kutawala kimabavu Kwa wizi wa kura. Ugali ukomeshwe Africa.
Tanzania na Afrika stand up!!
Karibuni 🙏
Hiki ndio kinaiponza Africa hakuna mtu ambaye hana akili. Katika dunia hii hakuna kitu kinajileta tuu kuna vichocheo vya kila kitu. Kuna vitu vinachagiza cognitive functions ikiwa ni pamoja na chakula. Mfano WHO wana campaign yao ya eating guide ila imelenga western countries kwa sababu kwa upande mwingine kula balanced diet imahitaji kipato cha uhakika pamoja na uelewa.Kama mtu Hana akili hana tu ata umpe debe la ngano
Sasa watu watajuaje kubance diet kati hapendi kusoma na kutaka kujua zaidiHiki ndio kinaiponza Africa hakuna mtu ambaye hana akili. Katika dunia hii hakuna kitu kinajileta tuu kuna vichocheo vya kila kitu. Kuna vitu vinachagiza cognitive functions ikiwa ni pamoja na chakula. Mfano WHO wana campaign yao ya eating guide ila imelenga western countries kwa sababu kwa upande mwingine kula balanced diet imahitaji kipato cha uhakika pamoja na uelewa.
Si afadhali sansa mkuu, mtu ana kula Ugali maharage na viazi mviringo viumeungwa nyanya eti ndo mboga!Shida ya ugali hauna protein, hata carbs content ni ndogo kwa sembe, sasa imagine mtu anakula ugali na sansa😂😂?
Ndio tujifunzeSasa watu watajuaje kubance diet kati hapendi kusoma na kutaka kujua zaidi
Sasa kama ndo umetufikisha hapa tulipo leo tunaachaje kuudharau?Mmekuzwa na kulelewa na ugali, sahivi mnaanza kuudharau...
😁😁😁juzi nimeenda kwenye graduation nikawakuta madogo geto wanakula ugali na tomato sauce ndo mboga!Si afadhali sansa mkuu, mtu ana kula Ugali maharage na viazi mviringo viumeungwa nyanya eti ndo mboga!
😂😂 yani unakula ugali na mchunga, mboga ya kuchemsha na kumwaga maji then ichemshwe tena😂 ila africa jau sanaAu ugali na mchunga 😂
Ni hatari sana
Safi sanaNdio tujifunze
....Dona ?...Salaam, Shalom!
Mtu alivyo ni matokeo ya chakula anachokula.
Ni Kweli waafrika tunapenda ugali, lakini ugali Hauna faida sana kiafya na kiakili kama ngano,
Sasa tusilalamike tena kusema wazungu Wana akili kutuzidi, tutafute kujua wanakula nini kama tutaukuta ugali.
NB: Ngano iwe brown wheat, isokobolewa, ukitaka ugali, pika ugali wa ngano isokobolewa.
Karne ya ishirini na Moja, Ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia, ulaji wa ugali Hauna nafasi zaidi ya kuongeza ukubwa tu wa miili bila msaada kwenye ubongo na akili.
NB: Si Rahisi kiongozi utumie ngano isiyokobolewa kama chakula Kisha upate mawazo ya kutawala kimabavu Kwa wizi wa kura. Ugali ukomeshwe Africa.
Tanzania na Afrika stand up!!
Karibuni [emoji120]
Na mwafrica kaiendekeza akachelewa dunianiPapuchi ndo dunia yenyewe