Umetoa ushauri mzuri
Lakini kilimo ni pure science pia ni biashara.
Je jiulize mara ya mwisho kuyaona matikiti ya kienyeji ni lini, jale matikiti ya rangi nyuesi , haya matikiti ya zebra ni GMO.
Due to global population, tz ss ina watu 60 ml. Mashamba yetu ni heka kumikumi, utavuna kiasi Gani kwa mbegu za kienyeji kwa hii global warming and pollution.
Tunapoelekea ni kubaya Zaidi
Lazima tuambiane ukweli, zitumike njia salama za science kilimo
Hahaha siyo kweli, Matikiti yako aina nyingi sana, matunda ambayo ni GMO hayana mbegu, na Hat yakiwa nazo hazioti hiyo ni sifa moja wapo ya matunda ya GMO. Unadhani Dunia nzima yalikuwa meusi tu? Huku niliko mimi meusi yapo, na tunaotesha maporini yanaota na tuna vuna kama zamani.
Population ya Tanzania haina shida na mbegu za asili, Tumekuwa tukizitumia miaka yote na hatukuwahi kupata shida yoyote, ukame, kiangazi na mvua ni majira yalikuwepo toka enzi hizo na tulimudu maisha kwa mbegu hizi hizi za asili.
Tatizo letu hatukuwa na nyenzo, na utaalam kulima kwa mpangilio, au mnaita kisasa, lakini kama tukitumia technologia kulima na kumwagilia, kuweka mbolea, mbegu zetu za asili zinatosha sana.
Nani alikwambia mbegu za asili hazitoshi kwa population yetu? Wafanya biashara wanataka ununue mbegu zao kila utakapo kulima, sasa kwanini wakuachie mbegu za kwako za asili? Ile biashara kumbuka.
Science haimaaniishi unaondoa uasilia, unaweza kuacha uasilia au ukauboresha tu na mambo yakaenda.
Ng'ombe wa maziwa ni hybrid, lakini hata ng'ombe wetu wa asili wanatoa maziwa mpaka leo. Hizo Angus, na frezan ni maboresho ya kibiashara tu, lakini siyo replacement ya ng'ombe wetu wa asili.
Science inatumika kuboresha pia, lakini siyo ku replace kila kitu.
Unafikiri Global warming, na population raise imeanza leo? hayo ni mambo yapo tangu enzi na enzi.
Usiichukulie science kama ni mbadala, kuna vitu vya asili vina work vizuri tu.
Leo hii unaweza ku clone wanyama, unadhani inashindikana ku clone binadamu? Hakuna sababu, kila kitu kina maana kama kilivyokuwa mwanzo.
Wasikupotoshe ukawaamini, bakiza za kwako.