Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida ya ugali hauna protein, hata carbs content ni ndogo kwa sembe, sasa imagine mtu anakula ugali na sansa😂😂?
Au ugali na mchunga 😂
Hapo kura kuibiwa ni viongozi kujijali wenyewe ......AFu pia sisi ukiangalia idadi kubwa ya wapumbavu ni nyingi kuliko wenye akili maana hatupendi kujifunza na kusoma vitabu kwahio ubongo hatuupi chakula chakeMbona Israel hakuna Ujinga kama huku,
Yaani Ule ngano isiyokobolewa, saa ngapi uwaze kuongoza watu kimabavu Kwa kuiba kura?
Wanataka tule ngano tulale siku nzima😂Kweli kwa haya mangano tutashiba sawasawa tuweze kulima ? Acheni tu tule ugali
Chakula Cha ubongo ni kusoma vitabu sio nganoSalaam, Shalom!!
Mtu alivyo ni matokeo ya chakula anachokula,
Ni Kweli waafrika tunapenda ugali, lakini ugali Hauna faida sana kiafya na kiakili kama ngano,
Sasa tusilalamike tena kusema wazungu Wana akili kutuzidi, tutafute kujua wanakula nini kama tutaukuta ugali.
NB: Ngano iwe brown wheat, isokobolewa, ukitaka ugali, pika ugali wa ngano isokobolewa.
Karne ya ishirini na Moja, Ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia, ulaji wa ugali Hauna nafasi zaidi ya kuongeza ukubwa tu wa miili bila msaada kwenye ubongo na akili.
Tanzania na Afrika stand up!!
Karibuni 🙏
Shida ya ugali hauna protein, hata carbs content ni ndogo kwa sembe, sasa imagine mtu anakula ugali na sansa😂😂?
Ni hatari sanaNimejikuta nacheka sana, eti "Ugali na Mchunga" ile mboga bwana.
Unauponda ugali wakati huo huo nimetoka kumuona Cardi B akiwa ame pack lunch box yenye mahindi ya kuchemsha kwa ajili ya mwanae shuleniSalaam, Shalom!!
Mtu alivyo ni matokeo ya chakula anachokula,
Ni Kweli waafrika tunapenda ugali, lakini ugali Hauna faida sana kiafya na kiakili kama ngano,
Sasa tusilalamike tena kusema wazungu Wana akili kutuzidi, tutafute kujua wanakula nini kama tutaukuta ugali.
NB: Ngano iwe brown wheat, isokobolewa, ukitaka ugali, pika ugali wa ngano isokobolewa.
Karne ya ishirini na Moja, Ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia, ulaji wa ugali Hauna nafasi zaidi ya kuongeza ukubwa tu wa miili bila msaada kwenye ubongo na akili.
Tanzania na Afrika stand up!!
Karibuni 🙏
Ni mwafrika huyo Kwa asiliUnauponda ugali wakati huo huo nimetoka kumuona Cardi B akiwa ame pack lunch box yenye mahindi ya kuchemsha kwa ajili ya mwanae shuleni
Eeebwana hata home kod anaita yugaliHAta kuutamka hawajui,wanaita yugalai
TunajilibwasaSalaam, Shalom!!
Mtu alivyo ni matokeo ya chakula anachokula,
Ni Kweli waafrika tunapenda ugali, lakini ugali Hauna faida sana kiafya na kiakili kama ngano,
Sasa tusilalamike tena kusema wazungu Wana akili kutuzidi, tutafute kujua wanakula nini kama tutaukuta ugali.
NB: Ngano iwe brown wheat, isokobolewa, ukitaka ugali, pika ugali wa ngano isokobolewa.
Karne ya ishirini na Moja, Ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia, ulaji wa ugali Hauna nafasi zaidi ya kuongeza ukubwa tu wa miili bila msaada kwenye ubongo na akili.
Tanzania na Afrika stand up!!
Karibuni 🙏
Umetoa ushauri mzuriNi umasikini wetu tu, lakini ugali hauna tatizo lolote. Hata hivyo vyakula mnavyodhani vinavirutumisho, huwa vinaongezewa viwandani. kama mtengenezaji ana claim kuna Carb, sijui Vit kiasi fulani, mara nyingi zinaongezwa.
hata kwenye unga unaweza ongeza hizo vitamins au nutrients unazotaka ukala ugali wako ukawa sawa na aliye kula vyakula unavyodai vinaleta akili.
Sisi vyakula yetu vingi tuna kula organic au unprocessed food, hivyo havina hizo label za content lakini vina virutubisho vingi tu, tena kushinda hata hivyo mnavyosema.
Tuna kula samaki fresh, tuna kula mboga toka shambani, matunda toka mtini moja kwa moja, tunalima kizamani, na siyo indor farms kama wazungu. hivyo naamini vyakula vyetu laba useme havian muonekano mzuri, lakini nutrients ni za kumwaga.
Tanzania Food Nutrition Center(TFNC) wanaweza kukujuza haya yote unayodharau hapa. Mnajali Protein added Value label bila kujua hizo added value zinatoka wapi, siyo natura zinatengenezwa. Lakini zakwetu ni natural.
Unataka Carbs, kula ugali wa Mtama mwekundu, utazipata carbs za kutosha, Ukitaka protein kula samaki, Nyama au kunywa maziwa.
Sisi tunaakili na ugali wetu huu huu, sema kuna wachache wanatuangusha, wanakula mbegu zetu za asili, halafu wanapiga pesa wana taka kutuletea GMO's. Nyie mnawaita wanasiasa, wanatuletea minazi mifupi sijui ya wiki mbili, tunapokea. Miche ya maembe ya siku 10, tunapokea, sijui Michungwa ya siku 3 tunapokea, halafu mnakuja humu mnatunanga soote hatuna AKILI kwasababu tunakula ugali.
Hatutaki ngano, tunataka unga wa Muhogo,Mahindi, Mtama ,Uwele, au Ulezi, Ngano kuleni nyie mnaotaka Protein.