Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Mataifa yaliyofanikiwa yaliwekeza kwenye rasiliamali watu wao waliamini hakuna mtu mjinga hakuna mtu anayekuja Dunia bure hata yule aliyefeli shule bado waliamini ni ana akili kama watu wengine sisi waafrika tulichelewa tuliamini mtu aliyefeli shule ni kilaza mwisho tunakuja kuona hata wale walioshindwa shule wanamaisha mazuri kuliko wasomiSalaam, Shalom!!
Mtu alivyo ni matokeo ya chakula anachokula,
Ni Kweli waafrika tunapenda ugali, lakini ugali Hauna faida sana kiafya na kiakili kama ngano,
Sasa tusilalamike tena kusema wazungu Wana akili kutuzidi, tutafute kujua wanakula nini kama tutaukuta ugali.
Tanzania na Afrika stand up!!
Karibuni 🙏