Naunga mkono hoja, ugali hauna faida yeyote mkuuSalaam, Shalom!
Mtu alivyo ni matokeo ya chakula anachokula.
Ni Kweli waafrika tunapenda ugali, lakini ugali Hauna faida sana kiafya na kiakili kama ngano,
Sasa tusilalamike tena kusema wazungu Wana akili kutuzidi, tutafute kujua wanakula nini kama tutaukuta ugali.
NB: Ngano iwe brown wheat, isokobolewa, ukitaka ugali, pika ugali wa ngano isokobolewa.
Karne ya ishirini na Moja, Ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia, ulaji wa ugali Hauna nafasi zaidi ya kuongeza ukubwa tu wa miili bila msaada kwenye ubongo na akili.
NB: Si Rahisi kiongozi utumie ngano isiyokobolewa kama chakula Kisha upate mawazo ya kutawala kimabavu Kwa wizi wa kura. Ugali ukomeshwe Africa.
Tanzania na Afrika stand up!!
Karibuni 🙏
Labda tuufanyie fortification, unga wa ugali uongezwa Iron, vitamins na madini mengine kadhaa. lasivyo, tunaangamia kama taifa.
Sijui kwa nini watu wa afya hawaoni hili.
Majirani zetu unga lazima uwe fortified na kuwekwa kwenye vifungashio vya karatasi na sio viroba