Matumizi ya ngano yawe mbadala wa ugali Afrika Ili kuondoa Ujinga

Matumizi ya ngano yawe mbadala wa ugali Afrika Ili kuondoa Ujinga

Lakini tuwakumbushe watu - Ngano iliyokobolewa ni hatari mnoo kwa afya.
 
Salaam, Shalom!!

Mtu alivyo ni matokeo ya chakula anachokula,

Ni Kweli waafrika tunapenda ugali, lakini ugali Hauna faida sana kiafya na kiakili kama ngano,

Sasa tusilalamike tena kusema wazungu Wana akili kutuzidi, tutafute kujua wanakula nini kama tutaukuta ugali.

NB: Ngano iwe brown wheat, isokobolewa, ukitaka ugali, pika ugali wa ngano isokobolewa.

Karne ya ishirini na Moja, Ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia, ulaji wa ugali Hauna nafasi zaidi ya kuongeza ukubwa tu wa miili bila msaada kwenye ubongo na akili.

NB: Si Rahisi kiongozi utumie ngano isiyokobolewa kama chakula Kisha upate mawazo ya kutawala kimabavu Kwa wizi wa kura. Ugali ukomeshwe Africa.

Tanzania na Afrika stand up!!

Karibuni 🙏
Kula ugali sio tatizo tatizo nipale tunapo hitaji kuwaiga wazungu Kwa Kila wanacho kifanya katika maisha Yao ,na sisi waafrika tunazo akili nyingi tu nasio wajinga ila tu dhana mbovu tulizo jijengea akilini mwetu kuwa hiki hatuwezi ilihali tunaweza pale tunapo amua, wale wazungu pamoja na kuwa Wana sayansi na kula vizuri ila angalia tabia zao mbovu tu akili zao finyu. Mfano juzi Uingereza wabunge walipiga kura za kufupisha vifo vya watu mahututi,walemavu wa akili na wale walio bakiza mda mfupi wa kuishi kulingana na majibu ya daktari na wameshinda wachache walio Pinga
 
Kama mtu Hana akili hana tu ata umpe debe la ngano
Hiki ndio kinaiponza Africa hakuna mtu ambaye hana akili. Katika dunia hii hakuna kitu kinajileta tuu kuna vichocheo vya kila kitu. Kuna vitu vinachagiza cognitive functions ikiwa ni pamoja na chakula. Mfano WHO wana campaign yao ya eating guide ila imelenga western countries kwa sababu kwa upande mwingine kula balanced diet imahitaji kipato cha uhakika pamoja na uelewa.
 
Sasa watu watajuaje kubance diet kati hapendi kusoma na kutaka kujua zaidi
 
Mmekuzwa na kulelewa na ugali, sahivi mnaanza kuudharau...
Sasa kama ndo umetufikisha hapa tulipo leo tunaachaje kuudharau?

Ugali umechangia pakubwa leo viongozi wetu wanawaza kushinda chaguzi kwa 100%, yaani hawana hata ile akili ndogo ya kufanya reasoning ya kawaida tu kuwa huwezi kukubalika na kila mtu, ni wanaiba kupitiliza na hawaoni hata Soni na bia wanakunywa kushangilia ushindi! Wapigakura hawajitokezi hata kwa 20% ila matokeo ni wote 100% wamepiga kura, kura zote ni za ndiyo na zote ni za sisiem! Upumbavu mtupu.
 
Salaam, Shalom!

Mtu alivyo ni matokeo ya chakula anachokula.

Ni Kweli waafrika tunapenda ugali, lakini ugali Hauna faida sana kiafya na kiakili kama ngano,

Sasa tusilalamike tena kusema wazungu Wana akili kutuzidi, tutafute kujua wanakula nini kama tutaukuta ugali.

NB: Ngano iwe brown wheat, isokobolewa, ukitaka ugali, pika ugali wa ngano isokobolewa.

Karne ya ishirini na Moja, Ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia, ulaji wa ugali Hauna nafasi zaidi ya kuongeza ukubwa tu wa miili bila msaada kwenye ubongo na akili.

NB: Si Rahisi kiongozi utumie ngano isiyokobolewa kama chakula Kisha upate mawazo ya kutawala kimabavu Kwa wizi wa kura. Ugali ukomeshwe Africa.

Tanzania na Afrika stand up!!

Karibuni [emoji120]
....Dona ?...
 
Ugali wenywe tunaupata kwa shida mlo mmoja, hiyo ngano tutaiweza sheikh.

Wacha tupige sembe tuwe ma mbumbumbu zaidi ili tutawaliwe bila shida na CCM, tukila ngano tutawasumbua.
 
Back
Top Bottom