Ukiwa Mtu mjinga utasema hivyo maana hujitambuiMwishoni mwa miaka ya 1930s ndio redio zilianza kutumika na ilikuwa teknolojia maarufu sana wakati huo. Wanasiasa kama Hitler na wengineo wakaitumia kueneza propaganda.
Kwa sasa redio hazina jipya, zimeshapoteza wafuasi. Hakuna mtu atakayefanya uwekezaji mpya kwasababu taarifa na burudani zinapatikana mitandaoni. Nyingi zimejigeuza kuwa makampuni ya michezo ya kubahatisha.
Naona umeleta matusi na kuropoka lakini unatakiwa kufahamu kwamba teknolojia hiyo haina faida kwa sasa. Lazima ife natural death kwasababu hakuna fedha za kujiendesha.Ukiwa Mtu mjinga utasema hivyo maana hujitambui
Hujui kuwa ni watu wangapi wanasikiliza wewe ni moja ya watu wapumbavu ndani ya TANZANIA
Una upeo Mdogo sanaNaona umeleta matusi na kuropoka lakini unatakiwa kufahamu kwamba teknolojia hiyo haina faida kwa sasa. Lazima ife natural death kwasababu hakuna fedha za kujiendesha.
Hizo zote zinaishi kwa hisani ya kodi. Kibiashara redio zimeshapitwa na wakati maana watu kwa sasa wanapata habari kwenye mitandao.VOA,BBC,DEUSCH WELLE, RADIO CHINA, kenya kuna utitiri wa radiostations, bado zinaendelea kuwa hewani, au huelewi au hatukuelewi unachikilenga. au mwenzetu uko MARS unaishi kwenye Tianwen-1 iliyopo MARS
Ni mitandao gan ya ndani ya nchi na nje ya nch ambayo ni mizuri kupata taarifa? Ambayo ntakua napata taarifa za uhakika on time!!!!Hizo zote zinaishi kwa hisani ya kodi. Kibiashara redio zimeshapitwa na wakati maana watu kwa sasa wanapata habari kwenye mitandao.
Ni mitandao gan ya ndani ya nchi na nje ya nch ambayo ni mizuri kupata taarifa? Ambayo ntakua napata taarifa za uhakika on time!!!!Kwanza kutegemea habari kupitia tv + redio ni kupitwa na wakati kwasasa technology imekuwa pana sana .... mimi mara ya mwisho kununua gazeti , kusikiliza hizo redio zao , na tv ...kwa lengo lakuoata habari ilikuwa 2010 ... from there cjawahi fanya ivo tena .... najua kuna wakolomije watakuja hapa kusema cjawatendea haki wa kijijini lakini huo ndo ukweli maana hata hao wa kijijini hawapati breaking news ... wanpta tarifa zilizopita muda wake ....xo nisawa na nothing
Huko Kilosa MUFINDI mtandao wanausikia ndotoni,kwahiyo kisicho kufaa kwa dhiki sio rafikiNaona umeleta matusi na kuropoka lakini unatakiwa kufahamu kwamba teknolojia hiyo haina faida kwa sasa. Lazima ife natural death kwasababu hakuna fedha za kujiendesha.
Unaandika usichokijuaNaona umeleta matusi na kuropoka lakini unatakiwa kufahamu kwamba teknolojia hiyo haina faida kwa sasa. Lazima ife natural death kwasababu hakuna fedha za kujiendesha.
Masscommunication na watangazaji kubalini ukweli tuu, usipanic jamaa kakuchana live bila chenga na huo ndo ukweli.Ukiwa Mtu mjinga utasema hivyo maana hujitambui
Hujui kuwa ni watu wangapi wanasikiliza wewe ni moja ya watu wapumbavu ndani ya TANZANIA
Nimesafiri zaidi ya vijiji mia moja vya hapa nchini na asilimia kubwa mitandao na simu janja zipo. Wasiokuwa na simu janja wataendelea kusikiliza redio mpaka pale watakapozipata.Huko Kilosa MUFINDI mtandao wanausikia ndotoni,kwahiyo kisicho kufaa kwa dhiki sio rafiki
Ingawa nimeipenda Tanzania kwa vijijini watu ni wajanja mno.kasoro uchafu tuu hawajawa sawaHizi ndiyo akili za kutegemea siasa za mitandaoni pekee ukijihisi upo relevant na approval rate kubwa kumbe huku vijijini wengi hawasikii habari zako wamekusahau.
Alafu ma-CCM yako redio zote yanasikika hadi maporini huko yanazindua mashimo ya choo mawili shule ya watu 2000 yanajisifu yameleta maendeleo.
Yanapiga kampeni katiba mpya haina umuhimu mchakato huo utaleta vurugu kumbe yanajipanga yabaki milele madarakani.
Kwa hiyo radio zimefungwa!?Masscommunication na watangazaji kubalini ukweli tuu, usipanic jamaa kakuchana live bila chenga na huo ndo ukweli.
Hapana mwandishi unachokisema sicho.Redio ni muhimu sana.ila sasa redio zote hazina mvuto kwa sababu wamejikita kwenye michezo na bahat nasibu hawana habari tena nzuri.chukulia chombo cha habari BBC usauti ya ujeruman born bado zina mvuto kweli yaan ni raha kusikiliza.