Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kwa mimi naona radio ndio innanipa Habari zote moto moto kabla ya kila kituUnawezaje kusema haina maana kwa kuangalia tu mazingira yako wewe tu.
Hivi unaweza kuendesha gari huku unaangalia TV, ili kupata habari na burudani na michezo na mengineyo, unajua kuwa unaweza kufanya kazi ofisini au shambani huku unasikiliza redio, na kazi zikaenda vizuri, kuliko kufanya kazi huku unaangalia TV.
Unajua watu wengi, wakienda kulala wanapenda kutumia redi kupata habari burudani na michezo, kuliko kutumia kitu kichotoa mwanga kama TV. Hebu tembea Jiji la Dar, miji mingine mingine mikubwa siku Simba au Yanga wanacheza mechi zao, Uone watu wafuatilia mpira kuoitia Radio.
Unaendesha gari alfajiri unapata latest
Sasa wanaongelea kitabu cha prince Harry
Amelivuruga vibaya na ime leak
Hata jf hakuna