Yeye alisema kilichomkuta binamu yake. Wewe mbona kiazi hivyo. Unaeleweshwa unakuwa mbishiKwa hiyo wewe unamuamini huyo mvuta bange na anayejidunga masindano kila siku ili kuongeza matako yake kuliko wataalamu wa Afya?
Hizo unazoleta ndio propaganda sasa. Kachanje, acha kupotoshwa na hao wahafidhina.Umeona series ya Project Veritas? Wale huwa wanaingia sehemu wanaweka kamera na kurekodi mambo ya sirini huko watu wanaropoka wengine hawajui.
Unajua walichovumbua? Nenda kaangalie uone waandishi wa habari za uchunguzi halisi. Achana na propaganda zisizo na msingi.
Watu wanakufa serikali hazitaki waseme.
Hakuna kitu kama hicho ndugu. Hata chanjo ya ndui wapingaji walikuwepo na walikuwa na conspiracies kali tu. Tumechanjwa sote na mabega yana alama mpk leo.Umeona series ya Project Veritas? Wale huwa wanaingia sehemu wanaweka kamera na kurekodi mambo ya sirini huko watu wanaropoka wengine hawajui.
Unajua walichovumbua? Nenda kaangalie uone waandishi wa habari za uchunguzi halisi. Achana na propaganda zisizo na msingi.
Watu wanakufa serikali hazitaki waseme.
Ikumbukwe pia suala la chanjo hizi ni la HIYARI na hili limeshawekwa bayana. Hivyo kama mtu ameelimishwa na bado haoni umuhimu/ulazima wa kubadilisha mtazamo wake then hilo liheshimiwe na isiwe chanzo cha kuleta chuki ama uhasama kati ya wanaokubali kuchanjwa na wasiokubali chanjo hizi kwa sasa.Emergence kwenye afya haitafsiriwe kama hali ya hatari inayohitaji tamko rais. Tafsiri ya emergence kwa afya dharula tu ya kawaida hivyo utekelezaji wa sheria hii hauhitaji matamko. Kaeni tayari kwa kutekeleza wajibu wenu kisheria kuchanjwa
Nineshaweka evidence za kutosha kuonesha hii kitu na ndui ni ujinga kuvilinganisha. Pitia mabandiko yangu utaona. Na evidence ninazoleta ni za waliozitengeneza. Kama unadhani unajua kuliko watengenezaji basi hamna shaka kachanje.Hakuna kitu kama hicho ndugu. Hata chanjo ya ndui wapingaji walikuwepo na walikuwa na conspiracies kali tu. Tumechanjwa sote na mabega yana alama mpk leo.
Wenzio alianza kuogopa visivyoogopekakama unajiamini njoo
Je vipi kuhusu wale viherehereIkumbukwe pia suala la chanjo hizi ni la HIYARI na hili limeshawekwa bayana. Hivyo kama mtu ameelimishwa na bado haoni umuhimu/ulazima wa kubadilisha mtazamo wake then hilo liheshimiwe na isiwe chanzo cha kuleta chuki ama uhasama kati ya wanaokubali kuchanjwa na wasiokubali chanjo hizi kwa sasa.
Kwa mujibu wa sheria ya afya jamii ya mwaka 2009 (Public Health Act, 2009) kifungu cha 24, imeeleza kuwa ni lazima kuchanjwa wala sio hiari.
Na kila aliyechanjwa anapaswa kuwa na kadi/cheti. Vilevile, kifungu hicho cha 24 (2) kinatoa adhabu ya shilingi laki moja au kifungo cha miezi mitatu au vyote kwa pamoja kwa yeyote atakayekaidi.
Hakuna haja ya kubembelezana wakati sheria iko wazi.
Tuwachape bakora 12 kwa kuanzia. Waache viherehere....Je vipi kuhusu wale viherehere
Duh......hatari....... halafu watu bila kutumia akili wanatafuta vifungu vya sheria kulazimisha watu wachanjwe?We jamaa zero kabisa. Aliyekwambia chanjo yenu hiyo ni kinga nani? Unajua walichosema walioitengeneza?
Kama una akili timamu basi soma walichosema kisha piga kimya.
View attachment 1958295
Halafu unadhani una taarifa kuliko staff wa Johnson and Johnson?
Au unafikiri una akili kuliko wataalam wazito wa FDA?
In a major blow to vaccine efforts, senior FDA leaders stepping down
if you don't get this, you are an idiot!
View attachment 1958296
Ondoa ujinga wako na umebaki na siku sita tu uondoke na hiyo chanjo yakoEmergence kwenye afya haitafsiriwe kama hali ya hatari inayohitaji tamko rais. Tafsiri ya emergence kwa afya dharula tu ya kawaida hivyo utekelezaji wa sheria hii hauhitaji matamko. Kaeni tayari kwa kutekeleza wajibu wenu kisheria kuchanjwa
Ukome!! Hakuna huduma ya afya ya lazima!! Hasa kama huduma yenyewe hakuna anayeweza kudhamini usalama wake!!Kwa mujibu wa sheria ya afya jamii ya mwaka 2009 (Public Health Act, 2009) kifungu cha 24, imeeleza kuwa ni lazima kuchanjwa wala sio hiari.
Na kila aliyechanjwa anapaswa kuwa na kadi/cheti. Vilevile, kifungu hicho cha 24 (2) kinatoa adhabu ya shilingi laki moja au kifungo cha miezi mitatu au vyote kwa pamoja kwa yeyote atakayekaidi.
Hakuna haja ya kubembelezana wakati sheria iko wazi.
Ukome, ushindwe na ulegee!! Kachanje mkeo na wanao kama utakuwa bado haujaridhika kachanje baba yako, mama yako na wadogo zako!! Ukiona bado haujaridhika kachanje wakweo!!Emergence kwenye afya haitafsiriwe kama hali ya hatari inayohitaji tamko rais. Tafsiri ya emergence kwa afya dharula tu ya kawaida hivyo utekelezaji wa sheria hii hauhitaji matamko. Kaeni tayari kwa kutekeleza wajibu wenu kisheria kuchanjwa
Usifunue ujinga wako!! Chanjo gani ambaho hakuna serikali aala mtengenezaji wake anayeweza kuthubutu kudhamini usalama wa chanjo? Kachanje mumeo!!Kukataa chanjo ni kama kutaka kujiua au kudhuru wanajamii wengine. Hii sheria ifuatwe tumalize kazi haraka. Kwa ubishi wa watz kama zisingekuwepo sheria hata chanjo zingine za watoto wazazi wangegoma tu. Punguzeni woga chanjo ni salama.
Madalali wa mabeberu mnalo!! Mtazitapika pesa mlizokula!! Pesa ya beberu haitoki bure!! Zitawatokea puani!! Vinginevyo drones zinawahusu!Na corona ikikupata usitusumbue wala usisumbua ndugu zako. Ujinga mzigo kweli, mtu unaishi na chanjo kama tano mwilini tena za haohao wazungu halafu unajifanya mjanja pori kupinga chanjo ya Covid- 19, Pathetic!
Wewe ndiyo kiazi kuamini wanaojivimbisha matako kwa masindano badala ya kuamini waliosomea hayo mambo ya chanjo!!Yeye alisema kilichomkuta binamu yake. Wewe mbona kiazi hivyo. Unaeleweshwa unakuwa mbishi
Kwa mujibu wa sheria ya afya jamii ya mwaka 2009 (Public Health Act, 2009) kifungu cha 24, imeeleza kuwa ni lazima kuchanjwa wala sio hiari.
Na kila aliyechanjwa anapaswa kuwa na kadi/cheti. Vilevile, kifungu hicho cha 24 (2) kinatoa adhabu ya shilingi laki moja au kifungo cha miezi mitatu au vyote kwa pamoja kwa yeyote atakayekaidi.
Hakuna haja ya kubembelezana wakati sheria iko wazi.
ππππHivi wewe, nikuulize kwanza, una akili sawa sawa?!
Yaani uwalazimishe watu kuchanjwa kwa tatizo ambalo wao hawalioni na ni la kusadikika?!
Utata mwingi umejaa juu tu ya report ya uwepo wa hayo maradhi na madhara yake.
Sasa hivi watu wakifa tunaambiwa ni COVID-19, so magonjwa mengine kama kisukari, ukimwi, maralia, presha, ajali, kipindupindu, pumu, magonjwa ya figo, TB na mengineyo hatarishi yamekwenda wapi au yameacha kuua?!
Nyie msitufanye sisi ni watoto.
Wewe na wapuuzi wenzako kama mnajua sana sheria andae document ya kusaini kila mtu atakae chomwa chanjo kuwa kama kutatokea madhara ya kiafya yatayosababishwa na muingiliano wa hiyo chanjo na damu then serikali itatoa fidia ya papo kwa papo bila kunigotiate Chochote na kama ittashindwa ikubali kushitakiwa mahakama ya kimataifa.
Msituletee ufala hapa. Chomeni ninyi na familia zenu. Kama ni madhara kila mtu abakie na yake, ninyi mliochoma mnawasiwasi gani na mshachoma kinga why mnaogopa maambukizi.
Yaani mtu una blaketi unaogopa baridi?!
Labda kwa chanjo zingine.. ila kwa C19 kubembelezana ni kawaida, na wahenga walisema '...kawaida ni kama sheria'Kwa mujibu wa sheria ya afya jamii ya mwaka 2009 (Public Health Act, 2009) kifungu cha 24, imeeleza kuwa ni lazima kuchanjwa wala sio hiari.
Na kila aliyechanjwa anapaswa kuwa na kadi/cheti. Vilevile, kifungu hicho cha 24 (2) kinatoa adhabu ya shilingi laki moja au kifungo cha miezi mitatu au vyote kwa pamoja kwa yeyote atakayekaidi.
Hakuna haja ya kubembelezana wakati sheria iko wazi.