#COVID19 Matumizi ya sheria yatasaidia kuhakikisha Watanzania wote wanaostahili kuchanjwa chanjo ya COVID – 19 wanachanjwa kwa wakati, hakuna kubembelezana

Kwa hiyo wewe unamuamini huyo mvuta bange na anayejidunga masindano kila siku ili kuongeza matako yake kuliko wataalamu wa Afya?
Yeye alisema kilichomkuta binamu yake. Wewe mbona kiazi hivyo. Unaeleweshwa unakuwa mbishi
 
Umeona series ya Project Veritas? Wale huwa wanaingia sehemu wanaweka kamera na kurekodi mambo ya sirini huko watu wanaropoka wengine hawajui.

Unajua walichovumbua? Nenda kaangalie uone waandishi wa habari za uchunguzi halisi. Achana na propaganda zisizo na msingi.

Watu wanakufa serikali hazitaki waseme.
Hizo unazoleta ndio propaganda sasa. Kachanje, acha kupotoshwa na hao wahafidhina.
 
Umeona series ya Project Veritas? Wale huwa wanaingia sehemu wanaweka kamera na kurekodi mambo ya sirini huko watu wanaropoka wengine hawajui.

Unajua walichovumbua? Nenda kaangalie uone waandishi wa habari za uchunguzi halisi. Achana na propaganda zisizo na msingi.

Watu wanakufa serikali hazitaki waseme.
Hakuna kitu kama hicho ndugu. Hata chanjo ya ndui wapingaji walikuwepo na walikuwa na conspiracies kali tu. Tumechanjwa sote na mabega yana alama mpk leo.
 
Emergence kwenye afya haitafsiriwe kama hali ya hatari inayohitaji tamko rais. Tafsiri ya emergence kwa afya dharula tu ya kawaida hivyo utekelezaji wa sheria hii hauhitaji matamko. Kaeni tayari kwa kutekeleza wajibu wenu kisheria kuchanjwa
Ikumbukwe pia suala la chanjo hizi ni la HIYARI na hili limeshawekwa bayana. Hivyo kama mtu ameelimishwa na bado haoni umuhimu/ulazima wa kubadilisha mtazamo wake then hilo liheshimiwe na isiwe chanzo cha kuleta chuki ama uhasama kati ya wanaokubali kuchanjwa na wasiokubali chanjo hizi kwa sasa.
 
Nineshaweka evidence za kutosha kuonesha hii kitu na ndui ni ujinga kuvilinganisha. Pitia mabandiko yangu utaona. Na evidence ninazoleta ni za waliozitengeneza. Kama unadhani unajua kuliko watengenezaji basi hamna shaka kachanje.

Sina tatizo na mtu kuamua kuchanja. Ni hiyari yake na ni mwili wake. Nina tatizo kubwa na walazimishaji kama mtoa mada.
 
Ikumbukwe pia suala la chanjo hizi ni la HIYARI na hili limeshawekwa bayana. Hivyo kama mtu ameelimishwa na bado haoni umuhimu/ulazima wa kubadilisha mtazamo wake then hilo liheshimiwe na isiwe chanzo cha kuleta chuki ama uhasama kati ya wanaokubali kuchanjwa na wasiokubali chanjo hizi kwa sasa.
Je vipi kuhusu wale viherehere
 
Kwenye vitu vya kijinga ndiyo mnajifanya mnajua sheria.
Huko kwenye hospital za serikali muwe mnatibu bure.
Unilazimishe kuchanja km nani? Kuna watu wanakufa kwa magonjwa hawana hela za kujitibia.
Mm ukinichanja kwa lazima, nakuhamzanise wewe pamoja na wenzako
Kwa mujibu wa sheria ya afya jamii ya mwaka 2009 (Public Health Act, 2009) kifungu cha 24, imeeleza kuwa ni lazima kuchanjwa wala sio hiari.

Na kila aliyechanjwa anapaswa kuwa na kadi/cheti. Vilevile, kifungu hicho cha 24 (2) kinatoa adhabu ya shilingi laki moja au kifungo cha miezi mitatu au vyote kwa pamoja kwa yeyote atakayekaidi.

Hakuna haja ya kubembelezana wakati sheria iko wazi.
 
We jamaa zero kabisa. Aliyekwambia chanjo yenu hiyo ni kinga nani? Unajua walichosema walioitengeneza?

Kama una akili timamu basi soma walichosema kisha piga kimya.

View attachment 1958295

Halafu unadhani una taarifa kuliko staff wa Johnson and Johnson?

Au unafikiri una akili kuliko wataalam wazito wa FDA?

In a major blow to vaccine efforts, senior FDA leaders stepping down

if you don't get this, you are an idiot!

View attachment 1958296

Duh......hatari....... halafu watu bila kutumia akili wanatafuta vifungu vya sheria kulazimisha watu wachanjwe?

Public Health Act, 2009 section 24...........doesn't mention anywhere throughout ist clauses that vaccination is mandatory to all public sevants and general citizens as a whole.
 
Emergence kwenye afya haitafsiriwe kama hali ya hatari inayohitaji tamko rais. Tafsiri ya emergence kwa afya dharula tu ya kawaida hivyo utekelezaji wa sheria hii hauhitaji matamko. Kaeni tayari kwa kutekeleza wajibu wenu kisheria kuchanjwa
Ondoa ujinga wako na umebaki na siku sita tu uondoke na hiyo chanjo yako
 
Kwa mujibu wa sheria ya afya jamii ya mwaka 2009 (Public Health Act, 2009) kifungu cha 24, imeeleza kuwa ni lazima kuchanjwa wala sio hiari.

Na kila aliyechanjwa anapaswa kuwa na kadi/cheti. Vilevile, kifungu hicho cha 24 (2) kinatoa adhabu ya shilingi laki moja au kifungo cha miezi mitatu au vyote kwa pamoja kwa yeyote atakayekaidi.

Hakuna haja ya kubembelezana wakati sheria iko wazi.
Ukome!! Hakuna huduma ya afya ya lazima!! Hasa kama huduma yenyewe hakuna anayeweza kudhamini usalama wake!!
 
Emergence kwenye afya haitafsiriwe kama hali ya hatari inayohitaji tamko rais. Tafsiri ya emergence kwa afya dharula tu ya kawaida hivyo utekelezaji wa sheria hii hauhitaji matamko. Kaeni tayari kwa kutekeleza wajibu wenu kisheria kuchanjwa
Ukome, ushindwe na ulegee!! Kachanje mkeo na wanao kama utakuwa bado haujaridhika kachanje baba yako, mama yako na wadogo zako!! Ukiona bado haujaridhika kachanje wakweo!!
 
Kukataa chanjo ni kama kutaka kujiua au kudhuru wanajamii wengine. Hii sheria ifuatwe tumalize kazi haraka. Kwa ubishi wa watz kama zisingekuwepo sheria hata chanjo zingine za watoto wazazi wangegoma tu. Punguzeni woga chanjo ni salama.
Usifunue ujinga wako!! Chanjo gani ambaho hakuna serikali aala mtengenezaji wake anayeweza kuthubutu kudhamini usalama wa chanjo? Kachanje mumeo!!
 
Na corona ikikupata usitusumbue wala usisumbua ndugu zako. Ujinga mzigo kweli, mtu unaishi na chanjo kama tano mwilini tena za haohao wazungu halafu unajifanya mjanja pori kupinga chanjo ya Covid- 19, Pathetic!
Madalali wa mabeberu mnalo!! Mtazitapika pesa mlizokula!! Pesa ya beberu haitoki bure!! Zitawatokea puani!! Vinginevyo drones zinawahusu!
 
Yeye alisema kilichomkuta binamu yake. Wewe mbona kiazi hivyo. Unaeleweshwa unakuwa mbishi
Wewe ndiyo kiazi kuamini wanaojivimbisha matako kwa masindano badala ya kuamini waliosomea hayo mambo ya chanjo!!
 
Kwa mujibu wa sheria ya afya jamii ya mwaka 2009 (Public Health Act, 2009) kifungu cha 24, imeeleza kuwa ni lazima kuchanjwa wala sio hiari.

Na kila aliyechanjwa anapaswa kuwa na kadi/cheti. Vilevile, kifungu hicho cha 24 (2) kinatoa adhabu ya shilingi laki moja au kifungo cha miezi mitatu au vyote kwa pamoja kwa yeyote atakayekaidi.

Hakuna haja ya kubembelezana wakati sheria iko wazi.

Hiyo ni sheria kutoka mbinguni???
 
Hivi wewe, nikuulize kwanza, una akili sawa sawa?!

Yaani uwalazimishe watu kuchanjwa kwa tatizo ambalo wao hawalioni na ni la kusadikika?!

Utata mwingi umejaa juu tu ya report ya uwepo wa hayo maradhi na madhara yake.
Sasa hivi watu wakifa tunaambiwa ni COVID-19, so magonjwa mengine kama kisukari, ukimwi, maralia, presha, ajali, kipindupindu, pumu, magonjwa ya figo, TB na mengineyo hatarishi yamekwenda wapi au yameacha kuua?!

Nyie msitufanye sisi ni watoto.

Wewe na wapuuzi wenzako kama mnajua sana sheria andae document ya kusaini kila mtu atakae chomwa chanjo kuwa kama kutatokea madhara ya kiafya yatayosababishwa na muingiliano wa hiyo chanjo na damu then serikali itatoa fidia ya papo kwa papo bila kunigotiate Chochote na kama ittashindwa ikubali kushitakiwa mahakama ya kimataifa.

Msituletee ufala hapa. Chomeni ninyi na familia zenu. Kama ni madhara kila mtu abakie na yake, ninyi mliochoma mnawasiwasi gani na mshachoma kinga why mnaogopa maambukizi.

Yaani mtu una blaketi unaogopa baridi?!
😀😀😀😀
 
Kwa mujibu wa sheria ya afya jamii ya mwaka 2009 (Public Health Act, 2009) kifungu cha 24, imeeleza kuwa ni lazima kuchanjwa wala sio hiari.

Na kila aliyechanjwa anapaswa kuwa na kadi/cheti. Vilevile, kifungu hicho cha 24 (2) kinatoa adhabu ya shilingi laki moja au kifungo cha miezi mitatu au vyote kwa pamoja kwa yeyote atakayekaidi.

Hakuna haja ya kubembelezana wakati sheria iko wazi.
Labda kwa chanjo zingine.. ila kwa C19 kubembelezana ni kawaida, na wahenga walisema '...kawaida ni kama sheria'
 
Back
Top Bottom