Of course, sometimes you face un-conducive environments kuweza kufanya Uwekezaji hasa kama uko ndani ndani huko.Mazingira mzee
Mkuu naomba unielewe jambo moja maana ukomo wa fikra zangu naona ndio unapoenda kufikia, naweza kukaa kigoma lakini nikawekeza Mwanza au kahama? Hasa kwa biashara za uchuuzi hizi? Ninajua biashara ni supervision, kuna watu walifanya hivyo na wakatoboa?Of course, sometimes you face un-conducive environments kuweza kufanya Uwekezaji hasa kama uko ndani ndani huko.
Kuna Kijiji niliwahi kufika, ukitaka kupiga simu unatakiwa kutembea kilomita 13 ndiyo ukapige simu Kijiji cha jirani 🙌
Unakuwa umechelewa sanaKwa ulaya ninakua nimechelewa? Au nimewai?
Kwenye biashara, uaminifu umekuwa shida Kwa Watanzania wengi Mkuu.Mkuu naomba unielewe jambo moja maana ukomo wa fikra zangu naona ndio unapoenda kufikia, naweza kukaa kigoma lakini nikawekeza Mwanza au kahama? Hasa kwa biashara za uchuuzi hizi? Ninajua biashara ni supervision, kuna watu walifanya hivyo na wakatoboa?
Asante sana na shukrani, nilikua nafikiria ili nichukue maharage nipeleke mwanza kwa huu muda wa likizo nione trending yake.Kwenye biashara, uaminifu umekuwa shida Kwa Watanzania wengi Mkuu.
Kuna wakati nilipata tender ya kusambaza dagaa wa Mwanza kwenye mgodi Fulani. Kutokana na u-busy niliamua kumtumia ndugu mmoja kule Bunda akawa ananiagizia kwenye magari ya mizigo then nikawa napokea. Mara ya mwisho akaja akanitapeli milioni 5.5 na mzigo sikuupata hadi leo.
Kwahiyo suala la uaminifu huwa ni gumu sana miongoni mwetu.
Kwa kuwa umesema wewe ni Mwalimu ina maana wiki ijayo mtafunga shule, tumia sehemu ya Likizo hiyo kwenda Mwanza na Kahama kama ulivyosema.
Tafuta Masoko ya bidhaa zako za Migebuka, then utakuwa unawatumia mzigo then wao watakuwa wanakuingizia fedha zako kwenye akaunti baada ya kupokea mzigo ama vyovyote mtakavyo kubaliana.
Kwenye hili unaweza kudraft Mkataba mdogo kwaajili ya kuwa-guide.
Nikutakie mapambano mema kwenye suala la kukuza kipato 💪
Kusave kunategeneana na malengo yako mkuu.Nipunguze nini mkuu, na niongeze nini? Kwa salary hiyo inabidi nisave shingapi?
Jambo jema, ila kama utaweza uchukie sample kidogo ya labda debe Moja then uwapelekee wateja wako watarajiwa kwaajili ya wao kupima kama watavutiwa na hiyo bidhaa yako ama laa.Asante sana na shukrani, nilikua nafikiria ili nichukue maharage nipeleke mwanza kwa huu muda wa likizo nione trending yake.
18,000/=-20,000/= hapa Zanzibar Unguja kwa siku
Niko pekeangu
Sipikagi mimi.
Sina mchepuko
Sana,sana tuu.Dah Zanzibar ni kugumu sana
Sana,sana tuu.
Nilivyofika nilijaribu sana niwe chini ya 10,000/= sikuwahi kufanikiwa aisee.
Inakubidi uzoee tuu
Japo pesa ipo ila pia inatumika haswa
Daah mnaolipa kodi elf 80_70 mna raha sanaa.. nipo mkoa wa kitalii..
Kodi kwa mwezi nalipa 300k ingawa nahamisha kodi ya nyumba yangu ya Dar naweka huku.
Usafiri nafatwa na gari la ofisi hivyo nawez maliza wiki sijatoka na gari yangu.
Chakula kwa siku sina hesabu kamili maana nafanya shopping kila wiki.. hivyo sinunui chakula mgahawani (NAPIKA).
Gharama zingine ndg ndg kwa siku sizidi 4k.. hapo nimespend sana..
Note: SHOPPING ya 30k Kwa siku 7 nasurvive vzr kbs....
Savings inategemea ila ni 1m+ inayobak inaingia ktk maendeleo..
Huku ni mwendo wa wali,ugali,urojo na chips zaidi ya hapo labda uwe unajipikia na vitu havipatikani kirahisikupata balance diet nayo ni shida sana, Matunda na Mboga mboga bei ni juu sana.
AlhamduliLlah nipo.Salaaam aleykum
Nilimiss kukuona hapa mama , siku nyingi sijakuona na kuna uzi walikuulizia niliperuzi mwanzo mwisho sikukuona reply yako .
Ila sasa ninayo amani na furaha kukuona mama .
Ramadhani njema , na Allah aendelee kukutunza .
Dah [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]-Asubuhi hakuna kula
-Mchana Mihogo ya Mia 7 na maji ya 300 jumla 1000
-Usiku tunahesabu mabati.
TOTAL KWA SIKU NI 1300 IKIZIDI SANA 1500/=
CCM MBELE KWA MBELE..!!
Asante.
Umetisha mkuu ,kweli ccm mbele kwa mbele-Asubuhi hakuna kula
-Mchana Mihogo ya Mia 7 na maji ya 300 jumla 1000
-Usiku tunahesabu mabati.
TOTAL KWA SIKU NI 1300 IKIZIDI SANA 1500/=
CCM MBELE KWA MBELE..!!
Asante.
Aende Kanisan akalizwe tena na sadaka za kimchongo[emoji16]Usikate tamaa usiache kwenda kanisani Jumapili. Fanya survey kwa makini ni fursa gani iliyopo unayoweza kufanya unaweza kuomba ushauri pia kwa watu waliofanikiwa hapo.