Matumizi yako kwa siku ni sh. ngapi? Je, niko vizuri au mimi ni mwananchi mnyonge?

Matumizi yako kwa siku ni sh. ngapi? Je, niko vizuri au mimi ni mwananchi mnyonge?

Of course, sometimes you face un-conducive environments kuweza kufanya Uwekezaji hasa kama uko ndani ndani huko.

Kuna Kijiji niliwahi kufika, ukitaka kupiga simu unatakiwa kutembea kilomita 13 ndiyo ukapige simu Kijiji cha jirani 🙌
Mkuu naomba unielewe jambo moja maana ukomo wa fikra zangu naona ndio unapoenda kufikia, naweza kukaa kigoma lakini nikawekeza Mwanza au kahama? Hasa kwa biashara za uchuuzi hizi? Ninajua biashara ni supervision, kuna watu walifanya hivyo na wakatoboa?
 
Kwenye biashara, uaminifu umekuwa shida Kwa Watanzania wengi Mkuu.

Kuna wakati nilipata tender ya kusambaza dagaa wa Mwanza kwenye mgodi Fulani. Kutokana na u-busy niliamua kumtumia ndugu mmoja kule Bunda akawa ananiagizia kwenye magari ya mizigo then nikawa napokea. Mara ya mwisho akaja akanitapeli milioni 5.5 na mzigo sikuupata hadi leo.

Kwahiyo suala la uaminifu huwa ni gumu sana miongoni mwetu.

Kwa kuwa umesema wewe ni Mwalimu ina maana wiki ijayo mtafunga shule, tumia sehemu ya Likizo hiyo kwenda Mwanza na Kahama kama ulivyosema.

Tafuta Masoko ya bidhaa zako za Migebuka, then utakuwa unawatumia mzigo then wao watakuwa wanakuingizia fedha zako kwenye akaunti baada ya kupokea mzigo ama vyovyote mtakavyo kubaliana.

Kwenye hili unaweza kudraft Mkataba mdogo kwaajili ya kuwa-guide.

Nikutakie mapambano mema kwenye suala la kukuza kipato 💪
 
Asante sana na shukrani, nilikua nafikiria ili nichukue maharage nipeleke mwanza kwa huu muda wa likizo nione trending yake.
 
Asante sana na shukrani, nilikua nafikiria ili nichukue maharage nipeleke mwanza kwa huu muda wa likizo nione trending yake.
Jambo jema, ila kama utaweza uchukie sample kidogo ya labda debe Moja then uwapelekee wateja wako watarajiwa kwaajili ya wao kupima kama watavutiwa na hiyo bidhaa yako ama laa.

Pia uchukue na orodha ya wateja wako kujua yupi anahitaji kiasi gani;

Mathalani mteja Xxx anahitaji debe Zzz
Mteja abc anahitaji debe hijk n.k usisahau kuchukua namba zao za simu.

Mkikubaliana tengeneza Mkataba wa mauziano na terms za Malipo.

Kwa kufanya hayo itasaidia kujua ukusanye Maharage kiasi gani kwaajili ya kuyapeleka Mwanza na kiasi Gani yashuke Kahama.
 
Ingia sokoni hapo kigoma chukua pisi kadhaa za vitenge tafuta na shuka zile za kufumwa za kigoma anza kupost hasa instagram utapata wateja. Kuhusu kupeleka maharage mwanza usijaribu bila kufanya research maana hio biashara ya mazao ina matajiri wakubwa wenye uhakika wa kupata mzigo kwa bei ndogo kutoka mkulima direct.
 
Daah mnaolipa kodi elf 80_70 mna raha sanaa.. nipo mkoa wa kitalii..

Kodi kwa mwezi nalipa 300k ingawa nahamisha kodi ya nyumba yangu ya Dar naweka huku.

Usafiri nafatwa na gari la ofisi hivyo nawez maliza wiki sijatoka na gari yangu.

Chakula kwa siku sina hesabu kamili maana nafanya shopping kila wiki.. hivyo sinunui chakula mgahawani (NAPIKA).

Gharama zingine ndg ndg kwa siku sizidi 4k.. hapo nimespend sana..

Note: SHOPPING ya 30k Kwa siku 7 nasurvive vzr kbs....

Savings inategemea ila ni 1m+ inayobak inaingia ktk maendeleo..

upo wapi mkuu?
 
-Asubuhi hakuna kula
-Mchana Mihogo ya Mia 7 na maji ya 300 jumla 1000
-Usiku tunahesabu mabati.

TOTAL KWA SIKU NI 1300 IKIZIDI SANA 1500/=

CCM MBELE KWA MBELE..!!

Asante.
Umetisha mkuu ,kweli ccm mbele kwa mbele
Na hayo ndio maisha bora kwa kila mtanzania [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] mamaee

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom