Matumizi yangu ya mwezi

Matumizi yangu ya mwezi

Nna familia ya watu wazima 3, (mimi, wife, beki 3 na watoto 2)
Kula 15,000/siku - 450,000
Tv azam 35,000
Umeme 30,000
Maji dawasco 15000
Beki 3 - 50,000
Wazazi 80,000
Nauli job 4000/siku - 120,000
Ada 4m/mwaka = 330,000/mwezi
Silipi kodi
Total 1.1m
Income 1.3m
Hongera ila hapo kwenye maji 15k mnatumia toilet paper au majani ya miti? Maana huku bili inasoma mpaka 25k-30k mwendo wa kuflash kimba tu
 
Mabeki tatu wananyanyasika sana, sijui nini kifanyike.
Unataka walipwe sh ngapi? Na wanakula bure na kulala bure, na akiugua anatibiwa bure. Kwa Bakharesa/MO/GSM watu wanaolipwa elfu 5 kazi masaa 12 , na wanaolipwa 150K kwa mwezi lakini chakula kuanzia asubuhi mpaka jion wanajitegemea wanalipa Kodi, na wakiugua wanajitibu kwa pesa zao. Na kazi zao ningumu kuliko hata za beki 3.
 
Mkuu kwa Dar hivyo vyakula bila 600k kwa mwezi ngumu sana kutoboa

Jamaa inaoneka hana familia ,yaani 450k kwa mwezi anasema ni nyingi? Labda kama ana skip meal au anakula bora liende....Maandalizi ya Chakula yanahitaji Pia Nishati (Gesi+Mkaa+Maji).

-Nyama Kilo Elfu 9 hadi 10
-Sangara kilo elfu 10 hadi 11
-Kuku wa kisasa elfu 9 or kuku wa kienyeji elfu 15 na kuendelea
-Mchele Mzuri Kilo 2800 hadi 3000
-Sukari 3000 hadi 3200
-Supaget -Elfu 2
-Mafuta Alizeti Litre elfu 8 hadi 10 inategemea na brand
-Unga kilo moja 1400
-Mkaa Kiroba kidogo elfu 15
-Gezi Kilo 30 Mtungi( 15 gesi) = Elfu 54 hadi 56 ya bei ya chini
-Nyanya+Hoho+vitunguu(Maji,swaumu),etc
 
Nna familia ya watu wazima 3, (mimi, wife, beki 3 na watoto 2)
Kula 15,000/siku - 450,000
Tv azam 35,000
Umeme 30,000
Maji dawasco 15000
Beki 3 - 50,000
Wazazi 80,000
Nauli job 4000/siku - 120,000
Ada 4m/mwaka = 330,000/mwezi
Silipi kodi
Total 1.1m
Income 1.3m
Kaka Palmer upo? Ile nyumba yako ya milioni 7 nilikutembeleaga ,umeniinspire sana.Pamoja!!
 
Nna familia ya watu wazima 3, (mimi, wife, beki 3 na watoto 2)
Kula 15,000/siku - 450,000
Tv azam 35,000
Umeme 30,000
Maji dawasco 15000
Beki 3 - 50,000
Wazazi 80,000
Nauli job 4000/siku - 120,000
Ada 4m/mwaka = 330,000/mwezi
Silipi kodi
Total 1.1m
Income 1.3m
Huchepuki? Mbona hujaweka madeni yako? pole sana mkuuu
 
Mabeki tatu wananyanyasika sana, sijui nini kifanyike.
Sio mchezo.
Ila wana advantage flan hivi.
Kwasababu vitu vingi wanavipata for free.

Tukirudi kwenye hesabu za huyo mwamba, akipiga halisia, beki 3 anauwezo wakusave zaidi.

Wakwangu, anahudumiwa kila kitu, hadi nguo akiipenda ananunuliwa.

Pesa yake labda aweke bando tu
 
M
Hapo kinachokuumiza zaid ni ada za watoto...... Pia kwenye chakula hapo hauna dicpline sana 450,000 ni pesa nying sana kwa kula tu ndani ya mwezi mmoja......... Jaribu kununua vitu vya jumla kam unga kg25, mchele kg20, mafta ya kula lt5, maharage kilo10, dagaa kg3, sukar kg5, ukipiga hesabu hapo haifik hata 200,000
Mkuu, tsh 450,000 kwa watu watano ni nyingi kwa mwezi? Sijaona vitu vingi hapo.
 
Ni kwamba kipato hakikizi mahitaji.

Ulitakiwa uongeze streams kwanza kabla hata ya kua na Mjengo(kama umejenga).

Kwa sasa pambana, uongeze chem chem nyingine ya pesa
 
Nauli job 4000/siku - 120,000 ........... kuanzia tarehe mosi ya mwezi hadi 30 ? muda wa kupumzika waupata wapi?
 
Acha kupeleka pesa kwa wazazi, ukifa waonwatakua beneficiaries 1/3 ya mali zako,
Ila watembelee.

Kuhusu pesa unayopata iko poa kabisa ndugu,.
Hulipi ada kila mwezi hyo ya 330k.
Hivo unabserving ya kutosha.
Endelea kusave, hakikisha una bima za afya na bima za maisha.
Hakikisha una invest kwenye shughuli kadhaa, sijui utt, sanlam, au ujenzi wa nyumba na maduka.
Usiwaze maisha yako tena waza maisha ya familia yako.
Otherwise, have a good luck my brother
 
Kimsingi ndio maana tunaitwa nchi maskini...hapo ni mshahara wa mtumishi wa serikali aliyekazini miaka 10 na hajakopa kabisaa katika utumishi wake....Patia picha hapo mtu atajengaje bila kuwa Mwizi?
 
Nna familia ya watu wazima 3, (mimi, wife, beki 3 na watoto 2)
Kula 15,000/siku - 450,000
Tv azam 35,000
Umeme 30,000
Maji dawasco 15000
Beki 3 - 50,000
Wazazi 80,000
Nauli job 4000/siku - 120,000
Ada 4m/mwaka = 330,000/mwezi
Silipi kodi
Total 1.1m
Income 1.3m
Saving mbna sijaiona hapo?
 
Back
Top Bottom