Matumizi yangu ya mwezi

Matumizi yangu ya mwezi

Hapo kinachokuumiza zaid ni ada za watoto...... Pia kwenye chakula hapo hauna dicpline sana 450,000 ni pesa nying sana kwa kula tu ndani ya mwezi mmoja......... Jaribu kununua vitu vya jumla kam unga kg25, mchele kg20, mafta ya kula lt5, maharage kilo10, dagaa kg3, sukar kg5, ukipiga hesabu hapo haifik hata 200,000
Mkuu kwa Dar hivyo vyakula bila 600k kwa mwezi ngumu sana kutoboa
 
Nna familia ya watu wazima 3, (mimi, wife, beki 3 na watoto 2)
Kula 15,000/siku - 450,000
Tv azam 35,000
Umeme 30,000
Maji dawasco 15000
Beki 3 - 50,000
Wazazi 80,000
Nauli job 4000/siku - 120,000
Ada 4m/mwaka = 330,000/mwezi
Silipi kodi
Total 1.1m
Income 1.3m
Apo umetaja nusu tu ya Matumiz ya binadamu wa kawaida.
kwa kawaida Emergence ndogo ndogo ndio zinakula hela kuliko hata kula
 
Punguza..
Kula...chukua 350k nenda sokoni nunua vitu kwa jumla weka ndani..
Azam tv...nunua kifurushi cha 25k kama kipo
Hicho kiasi hapo save
 
Hapo kinachokuumiza zaid ni ada za watoto...... Pia kwenye chakula hapo hauna dicpline sana 450,000 ni pesa nying sana kwa kula tu ndani ya mwezi mmoja......... Jaribu kununua vitu vya jumla kam unga kg25, mchele kg20, mafta ya kula lt5, maharage kilo10, dagaa kg3, sukar kg5, ukipiga hesabu hapo haifik hata 200,000
Chakula cha 15,000 kwa watu watano ni matumizi mazuri sana.

Ni sawa na kila mtu anatumia 3,000 kula kwa siku. Kuna bajeti chini ya hapo kwa maisha ya mjini?
 
Nahisi Mtoto wangu wa miaka minne anapitia hii hali.
Anafundishwa ABCD wakati hajui kabisa AEIOU.

Na sasa hivi kuna pesa inatakiwa kwa ajili ya tour November.

Ni balaa sana!

Ukiangalia daftar zake utaona kila swali kapata vema had michoro anayochora.. ila ukimfanyia assessment wa knowledge yake kwa umri wake ynaona kabisa something is not right.. unaona kabisa he/she has a pontetial ila kama anavyolisha ni vidogo sana

Wanangu walijifunza mengi kupitia program za TV tulizokuwa tunawawekea nyumban na kuwafundisha wenyewe kuliko wali walichokuwa wanapata shulen..

Ila kila wiki unatumiwa picha za mwanao akiwa class au mazingira ya shule na mbwembwe kibao na class teachers wao

Yaan wanafanya makusudi kuwateka wazaz kwa kuwaonyesha kuwa we know how to take of ur kids na wanajua wazaz wa kisasa concern yao ni usalama na comfortability ya mtoto wake wakiwa nje ya nyumban.. ndo hapo wanapotupigia ila academicaly wanakuwa very poor .. mzaz ukiwa "at ease" na "comfortable" unajikuta mtoto wako yuko nyuma kielimu kuliko watoto wengine wa umri wake wa shule zingine
 
Mkuu mboresheee maslahi huyo beki tatu at least iwe 1M Kwa mwaka badala ya 600k kwa mwaka
 
Duh! kweli let me move, nahisi niko at ease now
 
Tengeneza side source of income, manake hapo hamvai, hamfanyi maendeleo yoyote, wala kutoa msaada kwa muhitaji
 
Umesahau kuweka dharura, pombe na piss....
Au nasema uongo nduguzangu...🙄
 
Ukiangalia daftar zake utaona kila swali kapata vema had michoro anayochora.. ila ukimfanyia assessment wa knowledge yake kwa umri wake ynaona kabisa something is not right.. unaona kabisa he/she has a pontetial ila kama anavyolisha ni vidogo sana

Wanangu walijifunza mengi kupitia program za TV tulizokuwa tunawawekea nyumban na kuwafundisha wenyewe kuliko wali walichokuwa wanapata shulen..

Ila kila wiki unatumiwa picha za mwanao akiwa class au mazingira ya shule na mbwembwe kibao na class teachers wao

Yaan wanafanya makusudi kuwateka wazaz kwa kuwaonyesha kuwa we know how to take of ur kids na wanajua wazaz wa kisasa concern yao ni usalama na comfortability ya mtoto wake wakiwa nje ya nyumban.. ndo hapo wanapotupigia ila academicaly wanakuwa very poor .. mzaz ukiwa "at ease" na "comfortable" unajikuta mtoto wako yuko nyuma kielimu kuliko watoto wengine wa umri wake wa shule zingine
Nchi ya fursa hii.
 
Back
Top Bottom