uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
Kipato cha mke ni chako?MKE hana kipato?
Kama hana, benki 3 wa Nini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipato cha mke ni chako?MKE hana kipato?
Kama hana, benki 3 wa Nini.
Na mimi nimeshangaa hapa. Mpunguzie majukumu uyo mke au yeye ndio awe beki.MKE hana kipato?
Kama hana, benki 3 wa Nini.
Ni balaa sana.Hizo ni bei za kawaida za English Medium ,ukitaka kujua uliza bei za HOPAC.
So whatNna familia ya watu wazima 3, (mimi, wife, beki 3 na watoto 2)
Kula 15,000/siku - 450,000
Tv azam 35,000
Umeme 30,000
Maji dawasco 15000
Beki 3 - 50,000
Wazazi 80,000
Nauli job 4000/siku - 120,000
Ada 4m/mwaka = 330,000/mwezi
Silipi kodi
Total 1.1m
Income 1.3m
Mkuu kwa Dar hivyo vyakula bila 600k kwa mwezi ngumu sana kutoboaHapo kinachokuumiza zaid ni ada za watoto...... Pia kwenye chakula hapo hauna dicpline sana 450,000 ni pesa nying sana kwa kula tu ndani ya mwezi mmoja......... Jaribu kununua vitu vya jumla kam unga kg25, mchele kg20, mafta ya kula lt5, maharage kilo10, dagaa kg3, sukar kg5, ukipiga hesabu hapo haifik hata 200,000
Mabeki tatu wananyanyasika sana, sijui nini kifanyike.Beki 3 - 50,000
Apo umetaja nusu tu ya Matumiz ya binadamu wa kawaida.Nna familia ya watu wazima 3, (mimi, wife, beki 3 na watoto 2)
Kula 15,000/siku - 450,000
Tv azam 35,000
Umeme 30,000
Maji dawasco 15000
Beki 3 - 50,000
Wazazi 80,000
Nauli job 4000/siku - 120,000
Ada 4m/mwaka = 330,000/mwezi
Silipi kodi
Total 1.1m
Income 1.3m
Chakula cha 15,000 kwa watu watano ni matumizi mazuri sana.Hapo kinachokuumiza zaid ni ada za watoto...... Pia kwenye chakula hapo hauna dicpline sana 450,000 ni pesa nying sana kwa kula tu ndani ya mwezi mmoja......... Jaribu kununua vitu vya jumla kam unga kg25, mchele kg20, mafta ya kula lt5, maharage kilo10, dagaa kg3, sukar kg5, ukipiga hesabu hapo haifik hata 200,000
Nahisi Mtoto wangu wa miaka minne anapitia hii hali.
Anafundishwa ABCD wakati hajui kabisa AEIOU.
Na sasa hivi kuna pesa inatakiwa kwa ajili ya tour November.
Ni balaa sana!
Duh! kweli let me move, nahisi niko at ease nowUkiangalia daftar zake utaona kila swali kapata vema had michoro anayochora.. ila ukimfanyia assessment wa knowledge yake kwa umri wake ynaona kabisa something is not right.. unaona kabisa he/she has a pontetial ila kama anavyolisha ni vidogo sana
Wanangu walijifunza mengi kupitia program za TV tulizokuwa tunawawekea nyumban na kuwafundisha wenyewe kuliko wali walichokuwa wanapata shulen..
Ila kila wiki unatumiwa picha za mwanao akiwa class au mazingira ya shule na mbwembwe kibao na class teachers wao
Yaan wanafanya makusudi kuwateka wazaz kwa kuwaonyesha kuwa we know how to take of ur kids na wanajua wazaz wa kisasa concern yao ni usalama na comfortability ya mtoto wake wakiwa nje ya nyumban.. ndo hapo wanapotupigia ila academicaly wanakuwa very poor .. mzaz ukiwa "at ease" na "comfortable" unajikuta mtoto wako yuko nyuma kielimu kuliko watoto wengine wa umri wake wa shule zingine
Then wapigishe tuition zakutoshaToa watoto English medium rudisha kidumu na mfagio
Nchi ya fursa hii.Ukiangalia daftar zake utaona kila swali kapata vema had michoro anayochora.. ila ukimfanyia assessment wa knowledge yake kwa umri wake ynaona kabisa something is not right.. unaona kabisa he/she has a pontetial ila kama anavyolisha ni vidogo sana