zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Hongera ila hapo kwenye maji 15k mnatumia toilet paper au majani ya miti? Maana huku bili inasoma mpaka 25k-30k mwendo wa kuflash kimba tuNna familia ya watu wazima 3, (mimi, wife, beki 3 na watoto 2)
Kula 15,000/siku - 450,000
Tv azam 35,000
Umeme 30,000
Maji dawasco 15000
Beki 3 - 50,000
Wazazi 80,000
Nauli job 4000/siku - 120,000
Ada 4m/mwaka = 330,000/mwezi
Silipi kodi
Total 1.1m
Income 1.3m
Unataka walipwe sh ngapi? Na wanakula bure na kulala bure, na akiugua anatibiwa bure. Kwa Bakharesa/MO/GSM watu wanaolipwa elfu 5 kazi masaa 12 , na wanaolipwa 150K kwa mwezi lakini chakula kuanzia asubuhi mpaka jion wanajitegemea wanalipa Kodi, na wakiugua wanajitibu kwa pesa zao. Na kazi zao ningumu kuliko hata za beki 3.Mabeki tatu wananyanyasika sana, sijui nini kifanyike.
Unataka walipwe shingapi?.Ila wadada wa kazi za nyumbani mnawaoneaga sana asee.
Unakuta mtu yuko ofisini,kukiwa na kazi ambayo posho ni 50k kwa siku analalamika ni ndogo ila anaona inatosha kabisa kumlipa mtu mwingine kwa mwezi.
Mkuu kwa Dar hivyo vyakula bila 600k kwa mwezi ngumu sana kutoboa
Walau waanzie 150kUnataka walipwe shingapi?.
Kaka Palmer upo? Ile nyumba yako ya milioni 7 nilikutembeleaga ,umeniinspire sana.Pamoja!!Nna familia ya watu wazima 3, (mimi, wife, beki 3 na watoto 2)
Kula 15,000/siku - 450,000
Tv azam 35,000
Umeme 30,000
Maji dawasco 15000
Beki 3 - 50,000
Wazazi 80,000
Nauli job 4000/siku - 120,000
Ada 4m/mwaka = 330,000/mwezi
Silipi kodi
Total 1.1m
Income 1.3m
Huchepuki? Mbona hujaweka madeni yako? pole sana mkuuuNna familia ya watu wazima 3, (mimi, wife, beki 3 na watoto 2)
Kula 15,000/siku - 450,000
Tv azam 35,000
Umeme 30,000
Maji dawasco 15000
Beki 3 - 50,000
Wazazi 80,000
Nauli job 4000/siku - 120,000
Ada 4m/mwaka = 330,000/mwezi
Silipi kodi
Total 1.1m
Income 1.3m
Sio mchezo.Mabeki tatu wananyanyasika sana, sijui nini kifanyike.
Ushauri mzuri sana huu.Toa watoto English medium rudisha kidumu na mfagio
Mkuu, tsh 450,000 kwa watu watano ni nyingi kwa mwezi? Sijaona vitu vingi hapo.Hapo kinachokuumiza zaid ni ada za watoto...... Pia kwenye chakula hapo hauna dicpline sana 450,000 ni pesa nying sana kwa kula tu ndani ya mwezi mmoja......... Jaribu kununua vitu vya jumla kam unga kg25, mchele kg20, mafta ya kula lt5, maharage kilo10, dagaa kg3, sukar kg5, ukipiga hesabu hapo haifik hata 200,000
Unyama mwingiView attachment 3120426Nipo kwenye umri wa kuangalia TV kwa style hii hata muda wa kukaa kupiga hesabu sina mimi bora sina nachodaiwa maisha yanaenda,ukipiga sana hesabu mwisho utaona kama unaibiwa.
Ushasema MKE.Kipato cha mke ni chako?
Ww unaweza yani akakae tena chini sio kweli.Toa watoto English medium rudisha kidumu na mfagio
Saving mbna sijaiona hapo?Nna familia ya watu wazima 3, (mimi, wife, beki 3 na watoto 2)
Kula 15,000/siku - 450,000
Tv azam 35,000
Umeme 30,000
Maji dawasco 15000
Beki 3 - 50,000
Wazazi 80,000
Nauli job 4000/siku - 120,000
Ada 4m/mwaka = 330,000/mwezi
Silipi kodi
Total 1.1m
Income 1.3m