cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Aliyeshiba, hamjui mwenye njaa.Ila wadada wa kazi za nyumbani mnawaoneaga sana asee.
Unakuta mtu yuko ofisini,kukiwa na kazi ambayo posho ni 50k kwa siku analalamika ni ndogo ila anaona inatosha kabisa kumlipa mtu mwingine kwa mwezi.