Matunda ya Diaspora: Namna Wanawake Diaspora 2 walivyoweza kumuweka Kagame na Rwanda kwenye kona. Tanzania tuna la kujifunza

Che Guevara alikwenda Congo kusaidia mapinduzi ya kizalendo! Akakuta wanajeshi wanakula pombe na Waawake daily!

Congo ni chi ya Bata tu, Sio kazi kazi! Watatawaliwa milele!
Kwa ilivyo Congo, tungekuwa na Viongozi wenye akili ni fursa kwetu Tanzania kuwa Taifa tajiri na imara kiuchumi.

Shida Katiba mbovu inatupa Viongozi wa ajabu wasio na akili wala maono.

Hadi Congo anataka kutoa madini kwa Marekani, Taifa lililopo a thousand miles kutoka kwake wakati sisi tuko jirani tu hapa na Wanajeshi wetu saivi wanajenga fremu za Baa kwenye makambi yao.
 
Diaspora wetu hawa wa mama anaupiga mwingi? Au wapi hawa?
 
Angekuwa Tanzania angefukuzwa kazi kwani angeonekana ana akili kuliko Samia!! Remember alivyomfukuza Mulamula Kutoka wizara ya mambo ya nje because of inferiority complex!
Kweli kabisa.

Kwa Tanzania Katiba yetu mbovu iliyompa Rais mamlaka sawa na Mungu inatufanya tusipate watu makini kwa nafasi za maamuzi kwa masuala tu ya chuki, fitna na wivu.
 
Hatimaye Kagame kaisha
Tena kwa kazi ya wanawake wawili Diaspora.

Wakati huku tunawaminya Diaspora eti kuwapa hadhi maalum tu. Sijui tunashindwa nini kuwatambua rasmi fully kama raia na hata kutambua uraia pacha.
 
Utusi unakusumbua!
 
Muda wa Mungu wenu mnaemwabudu sana unafikia mwisho! katapigwa tu! ka nchi kenyewe maskini kanategemea wizi Congo ili ku survive. Ukizunguka hako ka nchi ndiyo utajua kumbe kelele nyingi kumbe si lolote wanajua propaganda za mitandaoni! Nchi yenu maskini sana acheni ujinga manaharibu future yenu!
 
I don't accept Tshekedi, bora zaidi aondoshwe, Akili zake anazijua mwenyewe kiuchumi. (Unforecasted)
 
Tena kwa kazi ya wanawake wawili Diaspora.

Wakati huku tunawaminya Diaspora eti kuwapa hadhi maalum tu. Sijui tunashindwa nini kuwatambua rasmi fully kama raia na hata kutambua uraia pacha.
Kagame alijisahau mno!
 
Unaota ndoto. Kale ugali ushibe uote ndoto zaidi.
Kagame ndiyo kaishia hapo. Congo ya Mobutu ilishakwisha. Ni kweli kabisa M23 trained by chinese, lakini baada ya siri hiyo kufunguka ndiyo mwisho. Lini umewahi kuona Taifa ambalo limesaidiwa na mkomunist liakendelea? Propaganda tu hizo. China needs the West for its Development, West doesn't need China. Nyie mmeoshwa akili hadi hamjui geopolitics za ulimwengu
 
Hivi lini umegeuka 180 degrees? Wewe ulikua supporter sana wa huu utawala wa CCM hasa kwenye DPWorld, vipi tena? Au siyo ID yako nimechanganya? Maana hii point inabidi uwe na IQ kubwa ndiyo uandike, Bi ushungi au JK thubutu.
 
Diaspora wa Tanzania ni kina Mange Kimambi, Maria Sarungi, unawaonaje ni namna gani wataisaidia nchi yetu
 
We ni banyamulenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…