Matunda ya Diaspora: Namna Wanawake Diaspora 2 walivyoweza kumuweka Kagame na Rwanda kwenye kona. Tanzania tuna la kujifunza

Che Guevara alikwenda Congo kusaidia mapinduzi ya kizalendo! Akakuta wanajeshi wanakula pombe na Waawake daily!

Congo ni chi ya Bata tu, Sio kazi kazi! Watatawaliwa milele!
Kwa ilivyo Congo, tungekuwa na Viongozi wenye akili ni fursa kwetu Tanzania kuwa Taifa tajiri na imara kiuchumi.

Shida Katiba mbovu inatupa Viongozi wa ajabu wasio na akili wala maono.

Hadi Congo anataka kutoa madini kwa Marekani, Taifa lililopo a thousand miles kutoka kwake wakati sisi tuko jirani tu hapa na Wanajeshi wetu saivi wanajenga fremu za Baa kwenye makambi yao.
 
Congo DRC ikiwa kwenye hatihati ya kutekwa na Rwanda na Uganda, Wanawake wawili Diaspora wanaibuka na kuisadia nchi yao kuishawishi Jumuiya ya Kimataifa kuchukua hatua stahiki dhidi ya Rwanda.

Sote tunafahamu namna Kagame alivyowekeza katika suala la Uhusiano wa Kimataifa.

Sote tunafahamu namna Kagame alivyofanikiwa kutengeneza picha chanya Kimataifa kuhusu nchi yake.

Kagame alifanya hayo kwa makusudi huku akiendelea kunufaika na kutotulia kwa Congo Mashariki.

Kazi kubwa iliyofanywa na Mawaziri Wawili wa Congo ambao ni wana Diaspora, Judith Suminwa Tuluka (Waziri Mkuu wa Congo) na Therese Kayikwamba Wagner ( Waziri wa Mambo ya Nje) imefanikiwa kumu outsmart Kagame na kumfanya awe uchi kwenye jumuiya ya Kimataifa hadi kufikia kuwekewa vikwazo na Mataifa ya Marekani, Canada, Uingereza, Ubelgiji na Ujerumani.

Mawaziri hawa kwa nyakati tofauti waliweza kutumia uzoefu wao kimataifa kuushawishi ulimwengu kuamini kuwa shida ya Congo Mashariki ni Kagame na sio siasa za ndani za Congo DRC.

Kwenye hili, Tanzania tuna la kujifunza sana hasa namna ya kuwatumia Diaspora ambao kwa nyakati tofauti wamekuwa branded kuwa sio Wazalendo.

Kwenye hili tumejifunza kuwa Diaspora wanaweza kuwa Wazalendo kwa kulipigania Taifa kuliko watu waliopo ndani. Mfano Congo Jeshi linakimbia na kuwaachia Rwanda /M23 maeneo wakati hawa mawaziri Diaspora wanapambana Rwanda awekewe vikwazo na wanafanikiwa.

Tanzania tujifunze namna ya kuwatumia Diaspora kwa Congo DRC.

Picha:
Waziri Mkuu wa Congo DRC Bi Judith Suminwa Tuluka na Waziri wa Mambo ya Nje wa Congo DRC Therese Kayikwamba Wagner!
View attachment 3264273View attachment 3264274
Diaspora wetu hawa wa mama anaupiga mwingi? Au wapi hawa?
 
Angekuwa Tanzania angefukuzwa kazi kwani angeonekana ana akili kuliko Samia!! Remember alivyomfukuza Mulamula Kutoka wizara ya mambo ya nje because of inferiority complex!
Kweli kabisa.

Kwa Tanzania Katiba yetu mbovu iliyompa Rais mamlaka sawa na Mungu inatufanya tusipate watu makini kwa nafasi za maamuzi kwa masuala tu ya chuki, fitna na wivu.
 
Hatimaye Kagame kaisha
Tena kwa kazi ya wanawake wawili Diaspora.

Wakati huku tunawaminya Diaspora eti kuwapa hadhi maalum tu. Sijui tunashindwa nini kuwatambua rasmi fully kama raia na hata kutambua uraia pacha.
 
Timueni vumbi zaidi muone na yeye ataleta nini uzuri jamaa sio wapiga makelele ila kuwa suprise watu wanajua.....upande ule ni makelele tu kama walivyozoea huyo ni mzee wa kimyakimya ....kwani kuna aliefikiria kua M23 itakuja kua na nguvu kiasi hiki, watu walipiga kazi kimyakimya akawaacha wapiga kelele wajifariji.......mchezo kwa sasa sio rahisi maana players wa sasa sio wa magharibi tu bado kuna kete za mashariki mchina na mrusi......na marekani kavamia maslahi ya mchina kwa Tshisekedi...........na wamagharibi wameshazoea vita za mijini na jagwani.....vita za msituni sio za lelemama kule Vietnam tu walielewa mziki na walikua wanapigana na kataifa kiuchumi kapokapo tu.....jamaa ameshawavuta raia wa mashariki ya kongo upande wake, kupambana na mtu ambae tayari ana sapot ya wananchi sio rahisi tena mazingira yenyewe msituni,, nyie pigeni makelele na mjipeleke tu huko ila kila mtu ana suprise package yake na wamefanya walilofanya kwa sababu wanajiamini
Utusi unakusumbua!
 
Muda wa Mungu wenu mnaemwabudu sana unafikia mwisho! katapigwa tu! ka nchi kenyewe maskini kanategemea wizi Congo ili ku survive. Ukizunguka hako ka nchi ndiyo utajua kumbe kelele nyingi kumbe si lolote wanajua propaganda za mitandaoni! Nchi yenu maskini sana acheni ujinga manaharibu future yenu!
 
I don't accept Tshekedi, bora zaidi aondoshwe, Akili zake anazijua mwenyewe kiuchumi. (Unforecasted)
 
Tena kwa kazi ya wanawake wawili Diaspora.

Wakati huku tunawaminya Diaspora eti kuwapa hadhi maalum tu. Sijui tunashindwa nini kuwatambua rasmi fully kama raia na hata kutambua uraia pacha.
Kagame alijisahau mno!
 
Timueni vumbi zaidi muone na yeye ataleta nini uzuri jamaa sio wapiga makelele ila kuwa suprise watu wanajua.....upande ule ni makelele tu kama walivyozoea huyo ni mzee wa kimyakimya ....kwani kuna aliefikiria kua M23 itakuja kua na nguvu kiasi hiki, watu walipiga kazi kimyakimya akawaacha wapiga kelele wajifariji.......mchezo kwa sasa sio rahisi maana players wa sasa sio wa magharibi tu bado kuna kete za mashariki mchina na mrusi......na marekani kavamia maslahi ya mchina kwa Tshisekedi...........na wamagharibi wameshazoea vita za mijini na jagwani.....vita za msituni sio za lelemama kule Vietnam tu walielewa mziki na walikua wanapigana na kataifa kiuchumi kapokapo tu.....jamaa ameshawavuta raia wa mashariki ya kongo upande wake, kupambana na mtu ambae tayari ana sapot ya wananchi sio rahisi tena mazingira yenyewe msituni,, nyie pigeni makelele na mjipeleke tu huko ila kila mtu ana suprise package yake na wamefanya walilofanya kwa sababu wanajiamini
Unaota ndoto. Kale ugali ushibe uote ndoto zaidi.
Kagame ndiyo kaishia hapo. Congo ya Mobutu ilishakwisha. Ni kweli kabisa M23 trained by chinese, lakini baada ya siri hiyo kufunguka ndiyo mwisho. Lini umewahi kuona Taifa ambalo limesaidiwa na mkomunist liakendelea? Propaganda tu hizo. China needs the West for its Development, West doesn't need China. Nyie mmeoshwa akili hadi hamjui geopolitics za ulimwengu
 
Kwa ilivyo Congo, tungekuwa na Viongozi wenye akili ni fursa kwetu Tanzania kuwa Taifa tajiri na imara kiuchumi.

Shida Katiba mbovu inatupa Viongozi wa ajabu wasio na akili wala maono.

Hadi Congo anataka kutoa madini kwa Marekani, Taifa lililopo a thousand miles kutoka kwake wakati sisi tuko jirani tu hapa na Wanajeshi wetu saivi wanajenga fremu za Baa kwenye makambi yao.
Hivi lini umegeuka 180 degrees? Wewe ulikua supporter sana wa huu utawala wa CCM hasa kwenye DPWorld, vipi tena? Au siyo ID yako nimechanganya? Maana hii point inabidi uwe na IQ kubwa ndiyo uandike, Bi ushungi au JK thubutu.
 
Congo DRC ikiwa kwenye hatihati ya kutekwa na Rwanda na Uganda, Wanawake wawili Diaspora wanaibuka na kuisadia nchi yao kuishawishi Jumuiya ya Kimataifa kuchukua hatua stahiki dhidi ya Rwanda.

Sote tunafahamu namna Kagame alivyowekeza katika suala la Uhusiano wa Kimataifa.

Sote tunafahamu namna Kagame alivyofanikiwa kutengeneza picha chanya Kimataifa kuhusu nchi yake.

Kagame alifanya hayo kwa makusudi huku akiendelea kunufaika na kutotulia kwa Congo Mashariki.

Kazi kubwa iliyofanywa na Mawaziri Wawili wa Congo ambao ni wana Diaspora, Judith Suminwa Tuluka (Waziri Mkuu wa Congo) na Therese Kayikwamba Wagner ( Waziri wa Mambo ya Nje) imefanikiwa kumu outsmart Kagame na kumfanya awe uchi kwenye jumuiya ya Kimataifa hadi kufikia kuwekewa vikwazo na Mataifa ya Marekani, Canada, Uingereza, Ubelgiji na Ujerumani.

Mawaziri hawa kwa nyakati tofauti waliweza kutumia uzoefu wao kimataifa kuushawishi ulimwengu kuamini kuwa shida ya Congo Mashariki ni Kagame na sio siasa za ndani za Congo DRC.

Kwenye hili, Tanzania tuna la kujifunza sana hasa namna ya kuwatumia Diaspora ambao kwa nyakati tofauti wamekuwa branded kuwa sio Wazalendo.

Kwenye hili tumejifunza kuwa Diaspora wanaweza kuwa Wazalendo kwa kulipigania Taifa kuliko watu waliopo ndani. Mfano Congo Jeshi linakimbia na kuwaachia Rwanda /M23 maeneo wakati hawa mawaziri Diaspora wanapambana Rwanda awekewe vikwazo na wanafanikiwa.

Tanzania tujifunze namna ya kuwatumia Diaspora kwa Congo DRC.

Picha:
Waziri Mkuu wa Congo DRC Bi Judith Suminwa Tuluka na Waziri wa Mambo ya Nje wa Congo DRC Therese Kayikwamba Wagner!
View attachment 3264273View attachment 3264274
Diaspora wa Tanzania ni kina Mange Kimambi, Maria Sarungi, unawaonaje ni namna gani wataisaidia nchi yetu
 
Timueni vumbi zaidi muone na yeye ataleta nini uzuri jamaa sio wapiga makelele ila kuwa suprise watu wanajua.....upande ule ni makelele tu kama walivyozoea huyo ni mzee wa kimyakimya ....kwani kuna aliefikiria kua M23 itakuja kua na nguvu kiasi hiki, watu walipiga kazi kimyakimya akawaacha wapiga kelele wajifariji.......mchezo kwa sasa sio rahisi maana players wa sasa sio wa magharibi tu bado kuna kete za mashariki mchina na mrusi......na marekani kavamia maslahi ya mchina kwa Tshisekedi...........na wamagharibi wameshazoea vita za mijini na jagwani.....vita za msituni sio za lelemama kule Vietnam tu walielewa mziki na walikua wanapigana na kataifa kiuchumi kapokapo tu.....jamaa ameshawavuta raia wa mashariki ya kongo upande wake, kupambana na mtu ambae tayari ana sapot ya wananchi sio rahisi tena mazingira yenyewe msituni,, nyie pigeni makelele na mjipeleke tu huko ila kila mtu ana suprise package yake na wamefanya walilofanya kwa sababu wanajiamini
We ni banyamulenge
 
Back
Top Bottom