Matunda ya Diaspora: Namna Wanawake Diaspora 2 walivyoweza kumuweka Kagame na Rwanda kwenye kona. Tanzania tuna la kujifunza

Mimi nakwambia huko mbeleni tutakuja kupata akina Kabila kwenye ikulu yetu na wakati huo Rwanda itakuwa ndio biggest exporter wa tanzanite... na hakuna kitu watanganyika watafanya, maana muda huo hata cdf atakuwa ni mtu mwenye vinasaba vya huko huko rwanda.
Sasa na nyie mngekomaa kwenye mifumo yenu kutengeneza na kuweka watu competent hasa kwenye ile idara nyeti ila wengi walivyokua viazi wakaamua kucheza nayo kama walivyokua wanacheza na mashirika ya uma ....wakajaza ndugu zao wengi hata weledi wa hicho kitengo hawana, yani mambo yakawa ni undugu na connection tu umepita......haya sasa hali inakuja kama sasa huyu kajipanga hivi huyu vile na hili jambo lilianza kuonekana muda tu sema watu wakawa wanajali matumbo yao na koo zao
 
Hio congo jeshi hata combat tu hawana endeleeni kuota na mjinyee humohumo kwenye ndoto zenu,,,,,,,game ni ile ile ambush hadi hao walio nyuma ya Tshisekedi waisome namba
Watusi mnateseka sana

Sema raisi wenu anawajengea Chuki sana Kila sehemu.

Tanzania hamhitajiki, Congo, Burundi na hata Kila sehemu mnatazamwa Kwa jicho la kiumakini hamkubaliki
 
Nyie si mnao wakina shilole nk
😄

Ova
 
Sasa na nyie mngekomaa kwenye mifumo yenu kutengeneza na kuweka watu competent hasa kwenye ile idara nyeti ila wengi walivyokua viazi wakaamua kucheza nayo kama walivyokua wanacheza na mashirika ya uma ....wakajaza ndugu zao wengi hata weledi wa hicho kitengo hawana, yani mambo yakawa ni undugu na connection tu umepita......haya sasa hali inakuja kama sasa huyu kajipanga hivi huyu vile na hili jambo lilianza kuonekana muda tu sema watu wakawa wanajali matumbo yao na koo zao
Wanawajaza vimada wao
Nafasi muhimu hii nchi inacheza
Aise

Ova
 
Nyie si mnao wakina shilole nk
😄

Ova
Ukiwafananisha Jokate Mwegelo au Shangazi yake Jenista Mhagama na hiki kichwa Theresa Wagner unaweza sema sie kweli tuna utani na masuala ya taifa.
 
Uwezo wao mdg kwanza hata wakikaa meza moja sjui kama
Wataweza elewana!

Mzee wa Kino huyo Jokate ni kichwa cha hatari sema kwa huu mfumo wetu ulivyo ni ngumu kuonyesha akili zake. Jokate anastahili kazi za kitaalamu. Jokate alichaguliwa shule ya vipaji Msalato kusoma PCB ila hakwenda na kuamua kusoma Arts Loyola. Huwa namwonea huruma nikikumbuka boss wake ni komredi Kawaida.
 
Ukimwangalia yule Waziri wa Mambo ya Nje wa Congo alafu ukimlinganisha na huyu wa kwetu unajisemea tu Mungu ihurumie Tanzania. Fanya jambo.
Shida tunachukia watu competent. Sio kwamba hawapo, tunao wa kutosha ila hatutaki kuwatumia na kutumia weledi wao kwa ajili ya maendeleo ya taifa letu. Tunawalazimisha wawe machawa na kufanana akili na bongo movie. Wapo waliojaribu kujipambanua lakini wakaishia kua discouraged na baadae kuwaondoa kwenye uongozi kwasababu hatutaki kusikia sauti ama kuona nguvu ya weledi wao zaidi ya wenye nchi. Over!
 
Kumbe kweli we ni Mnyarwanda mtutsi mke wa mkuu wa mkoa x, duuh! sasa tahadhari ni muhimu.
Tshekedi ni hatari kwa uchumi wa Tanzania, ndiye kimbele mbele wa reli ya Angola, usikurupuke Tulia!
 
Mzee wa Kino huyo Jokate ni kichwa cha hatari sema kwa huu mfumo wetu ulivyo ni ngumu kuonyesha akili zake. Jokate anastahili kazi za kitaalamu. Jokate alichaguliwa shule ya vipaji Msalato kusoma PCB ila hakwenda na kuamua kusoma Arts Loyola. Huwa namwonea huruma nikikumbuka boss wake ni komredi Kawaida.
Unaandika haya alafu unasema hukubaliani na uzi wangu. Kweli wewe ni poyoyo😅😅😅
 
Mzee wa Kino huyo Jokate ni kichwa cha hatari sema kwa huu mfumo wetu ulivyo ni ngumu kuonyesha akili zake. Jokate anastahili kazi za kitaalamu. Jokate alichaguliwa shule ya vipaji Msalato kusoma PCB ila hakwenda na kuamua kusoma Arts Loyola. Huwa namwonea huruma nikikumbuka boss wake ni komredi Kawaida.
Jokate angetulia na kutojiiingiza kwenye ule upuuzi wa ma celebrity wa kibongo angeenda kupiga elimu yake angekuwa groomed angedika viwango vya huyu Foreign Minister wa Congo DRC.

Ila Jokate alishapuyanga na sasa hivi ni wale wale tu kama kina Gigi money, Wema na wapuuzi wengine
 
Watusi mnateseka sana

Sema raisi wenu anawajengea Chuki sana Kila sehemu.

Tanzania hamhitajiki, Congo, Burundi na hata Kila sehemu mnatazamwa Kwa jicho la kiumakini hamkubaliki
We mwenyewe mtutsi hapo sema hujajitambua bado
 
Kwa tanzania hii diaspora hana tofauti na muahini.

Yaani kitendo tu cha wewe kuishi nje ya nchi hata kama kila unachofanya huko ni halali, serikali automatically inakosa imani na wewe na kukuona wewe ni potential enemy kwa ustawi wa taifa hili lenye lahana.

Yaani kibaka anayeishi pale kwenye viunga vya Manzese anaonekana ni mzalendo kuliko wewe mtanzania unayeishi ughaibuni unafanya shughuli zako halali na unatuma na remittance hapa nyumbani...😅😅

Kasumba hii ndio imepelekea mpaka kupata passport au visa imekuwa ni suala zito na gumu sana kulinganisha na nchi zingine zilizotuzunguka.

Watu wengi huwa wanamsifia Samia kuwa eti ni mwanadiplomasia mzuri, anajua umuhimu wa interactions kwa watu wa mataifa tofauti tofauti kwenye kuboost uchumi, lakini nashangaa mpaka leo hii mifumo ya mtu kupata visa,passport bado ni ile ile..

Pia nilitegemea yeye baada ya kukabidhiwa Kijiti kwa upeo wake mkubwa na exposure aliyonayo basi ataona umuhimu wa kuwathamini diaspora lakini mambo bado ni yale yale tu....

Binafsi naamini nchii hii bado haijakomboka hasa kifikra hili kuendana na dunia.
Taifa lenye lana tena we jamaa unashida kichwani … au wewe sio Mtanzania
 
Jokate angetulia na kutojiiingiza kwenye ule upuuzi wa ma celebrity wa kibongo angeenda kupiga elimu yake angekuwa groomed angedika viwango vya huyu Foreign Minister wa Congo DRC.

Ila Jokate alishapuyanga na sasa hivi ni wale wale tu kama kina Gigi money, Wema na wapuuzi wengine
Kukosea kwenye maisha kupo mkuu... ila bado ana nafasi ya kufika mbali kupitia siasa.
 
Taifa lenye lana tena we jamaa unashida kichwani … au wewe sio Mtanzania
Yes, taifa hili lina laana kubwa sana kutokana na watu kuukubali na kuukumbatia utawala mbovu wa ccm ambayo ndio chanzo cha uozo wote unaoendelea nchini.

Labda kama wewe ni chawa pro-max wa maccm ndio hutakubaliana na mimi kuwa taifa hili lina laana kutoka kwa Mungu.
 
Laaana unaijua wewe ? tuzungumzie iyo laana unayoiyona hapa Tz tokea umezaliwa na kupata akili zako timamu nitajie alau laana moja tu with fact .
 
Back
Top Bottom